Huyu mbunge Buchosa baada ya kuona ma post yake ya kijingajinga yanajibiwa huko Instagram kaamua kufunga kabisa na koment.
Watu wa Buchosa inabidi mumfundishe adabu huyu aliyewazarau kwa kusema eti kuwatimiza ahadi ya kuwaletea tshirt
Mimi natembelea wall yadada wa Taifa iliyopo instagram jambo ambalo linanifikirisha sana hivi wale watu ni wazima kweli wanompelekea malalamiko yao mtu anayeishi marekani hivi wanajitambua kweli mbona tun watu waajabu sana
Jambo ambalo watanzania wanatakiwa wajue hatima ya nchi yao ipo mikononi...
WanaJF habari za wakati?
Nimeamka Leo tangu asubuhi kwa ajili ya harakati za hapa na pale , ghafura nashangaa Simu yangu inakua nzito kwenye upande wa mtandao, Whatsapp nikituma message haziendi, Facebook same to Instagram hili jambo limenishangaza sana mpaka nimejiuliza labda bando limeisha...
Kuna watu wanauza bidhaa Instagram,lakini kumbe ni matapeli na wezi. Nashauri kuwa makini sana na watu wote wanaofanya biashara online. Mimi binafsi nimetapeliwa na Dada anajiita queen Zipporah IG.
Anonymous
Thread
bidhaa
instagram
mitandaoni
mtandaoni
wafanyabiashara
wezi
wizi
wizi wa mtandaoni
Watanganyika mwaka huu wameamua kudadadeki!!!
Muda mchache uliopita ITV wamepost kwenye page yao ya Facebook taarifa hii;
Watangayika bila hofu yeyote, Vijana, Wazee, Wamama na Wababa, Wakristo na Waislamu wameamua kumpika na kumfinyaaaa kisawasawa Bw. Gerson Msigwa.
Angalia mwenyewe kwa...
Wakuu
Huyu kijana anatakiwa akapewe somo na Vijana wa UDOM, ameshindwa kusemea changamoto zisizokoma za wanafunzi huko vyuoni anatuletea uchawa, na hao vijana wanaomshangilia wakicheleweshewa boom wanatoa milio 24/7.
===
Rais wa Jumuiya ya Taasisi za Wanafunzi Wa Elimu ya Juu, TAHLISO...
Wakuu!
Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii.
Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
ccm
comments
gani
hali
inaweza
instagram
kisasi
kuelekea 2025
kung'atuka
kura
kusitishwa
magufuri
makamu
mikutano
na rais
ndani
no reforms
no reforms no election
picha
post
rais
rekodi
samia
samia suluhu hassan
siku
spika
spika tulia
wake
wapinzani
wasiwasi
Nimecheka sana,
Mdogo wangu yupo Chuo Kikuu Dodoma kaniambia muda huu vijana wa CCM vyuoni wameelekezwa kuingia kwenye pages za Samia, Ikulu Mawasiliano na CCM kutuma jumbe nyingi kuonesha Samia na CCM inaungwa mkono. Jumbe hizo ni pamoja na za kumsifia na kuonesha kuwa anapendwa na atapigiwa...
Katika hali ya kushangaza, kauli mbiu ya "No Reforms, No Election" inachipuka kwa kasi kubwa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, jukwaa ambalo lilizoea kudharauliwa na wachambuzi wa kisiasa kama sehemu ya "wajinga", wasiojali siasa wala mustakabali wa taifa. Instagram, mtandao wa picha...
Wakuu
Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) linaloendeshwa kwa kodi zetu watanzania limethubutu kufunga comments kwenye mtandao wake wa Instagram eti kwa sababu tu wananchi wanaihubiri "NO REFORMS NO ELECTION" Kwa kutoa maoni kwenye taarifa wanazozipakia.
Shirika linaloendeshwa kwa kodi zetu...
Hapa Afrika kuna watu wanafahamika kama Jeshi la Mashambulizi. Hao ukianzisha ugomvi nao huko X (Twitter) jihesabie umepoteza pambano kabla hata halijaanza. Watu hao ni Wakenya wa Twitter (X) au kwa jina Maarufu Kenyans on Twitter.
Baada ya kudharauliwa kwa muda mrefu Watanzania sasahivi...
kilal msanii akipost anaandikiwa no reform nk election 😀🤣 kila chawa akipost hoja ni hyo mpaka wengine wamejamm kufungia X kumeleta changamoto instagram
huu mwaka wa moto sana
endeleeni kupiga spana watanzania tuungane tupeleke moto🔥🔥
Katika ulimwengu wa kidijitali, biashara nyingi Tanzania zinaanza kuelewa nguvu ya matangazo ya Facebook na Instagram. Lakini si matangazo yote yanayoleta matokeo. Ili matangazo yako yafanye kazi — yaweze kuuza, kuingiza leads, au kukuza brand yako — lazima uyatengeneze kwa ustadi.
Leo...
Baba Mtakatifu Leo XIV ameandika Kupitia Mitandao yake ya Kijamii ya Instagram na X, kuwashukuru Waafrika.
"Bara la Afrika linatoa ushuhuda mkubwa kwa
ulimwengu mzima. Asante kwa kuishi imani yenu
katika Yesu Kristo. Ni jinsi gani ilivyo muhimu
kwamba kila mbatizwa ajisikie kuitwa na Mungu...
Wakuu,
Katika pitapita zangu mjini Instagram nimekutana na hii post ya St Bongo TV inayohoji, Unaonaje hali ya siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu? Na haya ni majibu ya baadhi ya wanamioto
Ni kama serikali inakili zile documents zilizopakiwa Instagram ni za kweli, hali ambayo inaonesha nchi inapoteza pesa nyingi sana za walipa kodi.
Soma hapo chini inasomeka kama ifuatavyo: This is because we complied with a legal request from Tanzania Communication Regulatory Authority to...
Wakuu
Wazee wa mioto kutoka Instagram na Facebook wameruka na post ya TBC iliyouliza Je, una sifa za kupiga kura? Na hizi ndiyo comments zao
Na hawa ni wadau wa Facebook wanataka uchaguzi huru na haki
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: https://ikulu.go.tz
Aliyekuwa Mkurugenzi wa zamani wa FBI, James Comey alichapisha picha kwenye Instagram ikionyesha magamba ya bahari yakiwa yamepangwa kuunda namba 8647. Baada ya chapisho hilo, kulikuwa na mjadala mkubwa mtandaoni, hasa kutoka kwa wahafidhina, wakidai kuwa namba hizo zinaweza kuwa na maana ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.