Ni mwanajeshi kamili,tena tegemezi kwenye idara ya usalama..ni kijana mdogo mwenye kipaji cha ajabu pengine kuliko wote chini ya jeshi la india..amepikwa kwenye kujilinda akaiva..
..Kipaji chenyewe ni ngumi...ndio surya anatoka jeshini akiwa na medali ya mapambano ya ana kwa ana..amepewa adhabu...