india

  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kushuka athari za Corona India kwawashangaza Wataalam wa Afya

    Imeelezwa kuwa athari za corona nchini India ikiwemo idadi ya maambukizi na vifo imeshuka kwa kiwango cha juu bila kupatiwa maelezo ya kitaalamu. Awali ugonjwa huu ulipoanza hapo mwaka jana ilikisiwa kuwa taifa hilo la pili kwa idadi ya watu duniani lingeathirika zaidi.Kuna kipindi maambukizi...
  2. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania India yafungia kwa muda akaunti za Twitter za wanaharakati wa mageuzi ya kilimo

    Mtandao wa kijamii wa Twitter umezifungia kwa muda akaunti za baadhi ya watu waliojihusisha na maandamano ya kutaka mabadiliko katika sekta ya kilimo, ikiwamo akaunti ya gazeti maarufu la Caravan linaloandika kuwatetea wakulima, mwanaharakati Hansraj Meena na mwigizaji Sushant Singh. Hatua...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania India: Wakulima waandamana kudai mageuzi ya kilimo

    Maelfu ya wakulima wamekuwa wakiandamana kudai mageuzi katika sekta ya kilimo wamepigana na kulazimisha kuvuka kizuizi cha polisi na gesi za kutoa machozi kuingia katika eneo la kihistoria la Delhi -Red Fort Walikua wakiandamana kwa miguu na wengine wakiwa ndani ya matrekta wakiwa ni sehemu ya...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania India: Wafanyabiashara waomba WhatsApp na Facebook vizuiwe kutokana na sera mpya

    Shirikisho la Wafanyabiashara wa India (CAIT) limeiomba serikali izuie mtandao wa WhatsApp, Facebook na Facebook Messenger kutokana na sera mpya ya Faragha. Wafanyabiashara wamemuandikia Waziri wa Habari na Teknolojia kuwa India inawatumiaji zaidi ya milioni 200 hivyo kuchukua taarifa zao kwa...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wakulima India wabomoa minara 1500 ya simu

    Maandamano ya wakulima yanayoendelea nchini India hasa hasa jimbo la Punjab yamepelekea minara ya simu ipatayo 1500 kuharibiwa. Uharibifu huo ni kwa kuiba majenereta yanayoendesha mitambo hiyo na kukatwa kwa nyaya za mawasiliano zinazoiunganisha na minara mingine. Katika moja ya video...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Huduma za Google, kama Gmail na YouTube zimeonekana kusumbua kwa baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania na India

    Mtandao wa TechCrunch umeripoti kuwa huduma zinazotolewa na google kusumbua kwa baadhi ya nchi hasa nchi za Ulaya, Uingereza na India. Huduma za kampuni ya Google kama Gmail na Youtube zimeonekana kutofanya kazi. Hata hivyo imeripotiwa kuwa google wapo katika harakati za kurudisha mtandao huo...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa India wawatahadharisha raia wake dhidi ya ajira za MeTL

    Ubalozi wa India nchini Tanzania umewatahadharisha raia wake wote kutokubali kuajiriwa na kampuni ya MeTL ya Mo Dewji. Hatua hiyo imekuja baada ya kupata taarifa za manyanyaso kwa wafanyakazi hao ikiwemo kulazimishwa kulazimisha kujaza kesi za uwongo na kukamatwa. Katika taarifa yao Ubalozi...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali ya India yafungia App ya AliExpress na nyingine 42

    Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanategemea kusafiri kwenda nchini India basi ni muhimu kujua kuwa Apps mbalimbali ambazo zinamilikiwa na kampuni za kichina ikiwemo TikTok na nyingine kama AliExpress zote zitakuwa hazifanyikazi. Kwa mujibu wa serikali ya India, Sababu za kufungiwa kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Reuben Singh Singasinga 'Ginimbi' kutoka India

    Inakuwaje! Huyu singanga mwenye asili ya India haoni aibu kabisa kuanika utajiri wake kwenye social media. Reuben Singh mwenye umri 44 ni Entrepreneur na CEO wa alldayPA and private equity firm Isher Capital. Alizaliwa 20 September 1976 Yorkshire Uingereza. Anapenda sana kujionesha na Rolls...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania India: Maofisa wa Polisi wafukuzwa kazi baada ya kuharibu ushahidi wa tukio la binti kubakwa na kuuawa

    The victim, a 19-year-old Dalit woman, died earlier this week from injuries sustained during an alleged gang rape by four upper-caste men. Local police have been accused of mishandling the investigation. India's Central Bureau of Investigation has taken over the case of a 19-year-old Dalit woman...
  11. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania India: Watu 10 wafariki baada ya jengo la ghorofa tatu kuporomoka

    Takriban watu 10 wamepoteza maisha baada ya jengo la makazi ya watu lenye ghorofa tatu kuporomoka mapema leo asubuhi katika eneo la Bhiwandi lililopo katika viunga vya jiji la Mumbai, India. Zaidi ya watu 25 wanahofiwa kukwama chini ya vifusi vya jengo hilo, kwa mujibu wa Kitengo cha Taifa cha...
  12. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Akaunti ya Twitter ya Tovuti ya Waziri Mkuu wa India yadukuliwa

    Mtandao wa Twitter umethibitisha kudukuliwa kwa akaunti hiyo na kueleza kuwa wadukuzi wakuwa wakiwaomba wafuasi michango ya fedha kupitia sarafu za mtandaoni (cryptocurrency) Tukio hili linajiri ikiwa ni wiki kadhaa tangu akaunti za Twitter za watu mashuhuri zidukuliwe Uongozi wa Twitter...
  13. K

    JamiiForums Tanzania India turns to prayers as Coronavirus numbers surge

    India has turned to prayers as Coronavirus numbers have gone up. India now reports tens of thousands of new corona cases every day. In many places, there is hardly any medical care. But the government sees itself armed and is relying on a very special “cure”. Every day he is in his little...
  14. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USA, mataifa mengi Ulaya na India ni miongoni mwa ambao ndege zao bado haziruhusiwi kuingia Kenya, natumai hawatalialia kama Watanzania

    Ilipotolewa orodha ya ndege zinazoruhusiwa kuingia Kenya, na humo Watanzania wakaona zao hazimo, jamaa wamelialia sana ikiwemo hata wale ambao hawajawahi kukaribia uwanja wa ndege na wala hata siku moja hawategemei kuiona ndege wachilia mbali hata kuabiri. Taifa lote kuanzia walalahoi mitaa ya...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa China na India, Airtel kuachana na Huawei

    Baada ya India kuingia kwenye mgogoro wa China, kampuni ya mawasiliano ya Airtel inatarajia kuachana na kampuni ya Huawei. Airtel imeikaribisha kampuni ya Errickson kutoka Sweden kupata vifaa vya mawasiliano ya 4G na 5G. Je Huawei itaweza kuishi ama kupambana na vikwazo vya kimarekani...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Virusi vya Corona: Dawa za kuokoa maisha ya wagonjwa wa Covid-19 zauzwa kwa magendo India

    Uchunguzi wa BBC umebaini kuwa aina mbili za dawa ambazo zilitumika kutibu wagonjwa wa corona nchini India - remdesivir na tocilizumab - zimekuwa zikiuzwa katika soko la magendo kwa bei ya juu ndio maana kuna upungufu mkubwa sana wa dawa hizo.Mwandishi wa BBC, Pandey anaripoti kutoka mji mkuu wa...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya vikwazo vya Marekani, India kuiondoa Huawei kwenye majaribio ya 5G

    Juzi waziri wa mambo ya nje wa Marekani bwana Pompeo alisema upepo umeanza kuwabadilikia Huawei. Pompeo anasema kutokana na kampeni ya Marekani sasa watu wengi ulimwenguni wameanza kuona hatari ya Huawei na kuanza kuachana nayo. India imesema itaiondoa Huawei kushiriki kwenye majaribio ya 5G...
  18. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara weusi Tanzania, pelekeni watoto India wasome shahada za family business ili mkifa biashara zisife

    Biashara nyingi za wafanyabiashara ngozi nyeusi hufa mwanzilishi akifa tofauti na za wahindi,waarabu na wapemba Wahindi ndio wanaongoza duniani kwa uwezo mkubwa wa familia kuweza kuendesha biashara. Nashauri wafanyabiashara wa ngozi nyeusi wapeleke watoto vyuo vikuu vya India wakachuke degree...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kwanini India katika kila vita hushindwa vibaya sana

    India inatajwa kuwa ni moja ya mataifa yenye idadi kubwa ya wanajeshi na moja ya nchi zenye kumiliki silaha za nyuklia.Hata hivyo kila inapotokea kupigana na kushambuliana na majirani zake basi hushindwa vibaya mpaka ikabidi kuonewa huruma na adui yake. Mfano katika mashambulizi mwishoni mwa...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania India na China wakinukisha, wanajeshi watatu wa India wauawa, dunia inatamani sana damu

    Kawaida ya dunia baada ya kama miongo kadhaa lazima iingie kwenye reset mode, pale ambapo kunakua na maafa makubwa na maangamizi kila mahali, hii huwa haikwepeki, corona imeanza kwa kubip ila ndiko tunakokwenda, India na China waanza chokochoko na ikumbukwe wote wawili ni wababe wa nyuklia...
Back
Top Bottom