Mgogoro wa China na India, Airtel kuachana na Huawei

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,457
17,239
Baada ya India kuingia kwenye mgogoro wa China, kampuni ya mawasiliano ya Airtel inatarajia kuachana na kampuni ya Huawei.

Airtel imeikaribisha kampuni ya Errickson kutoka Sweden kupata vifaa vya mawasiliano ya 4G na 5G.

Je Huawei itaweza kuishi ama kupambana na vikwazo vya kimarekani?

Tusubiri.

Airtel | Boycott Chinese products: Huawei may lose Airtel’s Tamil Nadu 4G circle to Ericsson

China angetulia kidogo angekuwa superpower ndani ya miaka mitano. Lakini kwa tabia aliyoionyesha wamestuka ataota usuperpower
 
Ukionekana una bidii utachukiwa na wengi,hakuna msingi wa vikwazo kwa China,wivu tu wa maendeleo
Ina maana kabisa hujui kwamba India na China hivi karibuni walipambana mpakani na wanajeshi aa India kufariki? Au hujui kuwa Bharti Airtel ni kampuni ya India. Yaani ukiwaza kwa hisia shida sana!
 
Inawezekana ila sio haraka kiivyoo.. kubadiri miundombibu ya mawasiliano..ni gharama kubwa sana
Najua ila kwa hili zengwe analofanyiwa China na USA plus mgogoro wao na India mwezi uliopita,hili jambo lishapitishwa bado utekelezaji.

Hata UK wameplan mpaka 2027 kampuni zote ziwe zimeshaondoa devices zote za Huawei.
 
Najua ila kwa hili zengwe analofanyiwa China na USA plus mgogoro wao na India mwezi uliopita,hili jambo lishapitishwa bado utekelezaji.

Hata UK wameplan mpaka 2027 kampuni zote ziwe zimeshaondoa devices zote za Huawei.
Kuanzia sass mpka hio 2027 miaka yakushato MKUU hapo kati kati lolote linaweza kutokea

Kiufupi hakuna utekelezaji hapo MKUU
 
Back
Top Bottom