Reuben Singh Singasinga 'Ginimbi' kutoka India

The Stress Challengerr

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
2,392
6,547
Inakuwaje!

Huyu singanga mwenye asili ya India haoni aibu kabisa kuanika utajiri wake kwenye social media.

Reuben Singh mwenye umri 44 ni Entrepreneur na CEO wa alldayPA and private equity firm Isher Capital. Alizaliwa 20 September 1976 Yorkshire Uingereza.

Anapenda sana kujionesha na Rolls Royce japokuwa anamagari mengine ya kifahari kama Bugatti Veyron thamani 1.7 m$.
5c5e19a42184e.image.jpg
The-London-based-entrepreneur-has-recently-added-six-new-cars-worth-500-million-to-his-elite-v...png
hqdefault.jpg
cindiafoto06reuben-singh7.jpg
rolls-royce-singh-4.jpg.image_.784.410.jpg
Reuben-Singhs-Car-Collection-9.jpg


@Cc Waziri wa Kaskazini
 
Gambling hakuna kitu mkuu....lile lilikua chaka tu

Real Money alipata kwenye zile product zake za IGNITE.....sasa,investors waliweka hela ya hatari akawa anakula anajaza ni "Marketing Costs"

Mwisho wa siku kampuni ikafa,mfilisi akaja na kesi nyingi mahakamani

Kumbe hadi ile nyumba aliyokua anafanyia parties na yatches,nk zote za kukodi

Mpaka wale models walikua wanadai pesa zao wakarushwa,nao wakafungua makesi kibao

The nigga is mathematically broke,sema ki-insta insta lazima aoneshe bado yupo matawi
According to forbes ana utajiri wa dola million 200 wakati deni alilonalo kwenye kampuni ni $50 milion, so hawezi filisika mkuu na yeye bado kakomaa kuwa hizo habari hazina ukweli
 
Inakuwaje!

Huyu singanga mwenye asili ya India haoni aibu kabisa kuanika utajiri wake kwenye social media.

Reuben Singh mwenye umri 44 ni Entrepreneur na CEO wa alldayPA and private equity firm Isher Capital. Alizaliwa 20 September 1976 Yorkshire Uingereza.

Anapenda sana kujionesha na Rolls Royce japokuwa anamagari mengine ya kifahari kama Bugatti Veyron thamani 1.7 m$. View attachment 1633833View attachment 1633834View attachment 1633835View attachment 1633836View attachment 1633837View attachment 1633838

@Cc Waziri wa Kaskazini
Kwa hivyo sasa hv kazi yako ni kutuanzishia nyuzi sisi matajiri.....
 
Maisha hayo ya wenzetu kibongobongo haiwezekani labda utie pamba ktk masikio kabisa...ukoo mzima wenye watu elfu moja unakutegemea ww kudadeki hapo bado vipapai kwa majirani..safari n ndefu mda hautoshi
Sasa mimi ndio wataniua
Kwa hivyo sasa hv kazi yako ni kutuanzishia nyuzi sisi matajiri.....
Tulia wewee mgerasi Jikite kwenye mada iliyopo jamvini
 
Nani kamfilisi mkuu maana jamaa ni professional gambler, mimi uwa naona matusi yake kwenye page ya hyper luxury mkuu
Professional gambler ndo kitu gani?..unasomea wapi hii kitu?

Hakuna kamari professional
 
Professional gambler ndo kitu gani?..unasomea wapi hii kitu?

Hakuna kamari professional
Professional gambler ana experience anajua jinsi ya kuweka stakes zake. Jamaa anakwambia leo anaweza poteza dollar milion 3 kesho akala milion 15
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom