India na China iko siku kitawaka

mtarimbo

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,529
3,919
Haya mataifa mawili yamekua na uhasama wa mda mrefu sana.
China baada ya kutoa toleo lao jipya la aircraft carrier ,India nao wamefyetua yao ili kujibu mapigo.
Hahaaaa inachekesha sana mchina na mhindi kuchapana ,ukichek muvi zao ni katuni tupu hazina hata uhalisia ,je wakichapana si ndio vituko
NEW DELHI (AP) — India commissioned its first home-built aircraft carrier Friday as it seeks to counter regional rival China's much larger and growing fleet, and expand its own indigenous shipbuilding capabilities.

The INS Vikrant, whose name is a Sanskrit word for “powerful" or "courageous," is India's second operational aircraft carrier, joining the Soviet-era INS Vikramaditya that it purchased from Russia in 2004 to defend the Indian Ocean and Bay of Bengal.

The new 262-meter (860-foot) carrier, designed by the Indian navy and built at the Cochin shipyard in southern India, was launched by Prime Minister Narendra Modi as part of the country's commemoration of 75 years of independence from British
 
India anampango wa kupiga marufuku simu za kichina sinaua soko la ndani
 
Haya ni mataifa ambayo China akitia kidole tu, atapigwa kama ngoma, na wote ni mahasimu wake.

1. India
2. Japan
3. Taiwan

Hizo namba mbili za mwanzo hazifai hata chembe.
Huyo mhindi wanajeshi wake walipigwa vibaya mpakani na PLA mpaka wengine wakawa mahututi ndio aje kutunushiana misuli na PLA , mchina sio kwamba hawezi kupigana ila yupo kwenye mpango wake wa 2025, 2050 na 2100 yeye anawaza uchumi hicho ndicho kitu kinacho mzuia kupigana kwa sasa ila huyo ROC hana huo ubavu wa kupigana na kaka yake PRC labda kama atakuwa amesahau makofi kaka yake aliyo mpiga 1949. Na huyo jirani Kanjibai akumbuke kwanza PLA ailicho wafanya wanajeshi wake mpakani na sio kusema ana huo uwezo wa kumkoromea PRC.
 
Wakati huo ni leo au jana South Korea imeonekana itasitisha kwanza mpango wake wa kutengeneza aircraft carrier badala yake inaenda kuweka juhudi kuunda submarines nyingine. Tatizo la carrier ukiwa nayo moja inaweza isikufae sana wakati ina gharama. Inabidi uwe nazo mbili au tatu ili moja iwe deployed at any time wakati muda wa kuunda zaidi ya moja haupo. Kwa kuwa South Korea lengo lake ni North Korea ambao wanapakana ardhini haina haja sana kuwa na carrier
 
Haya mataifa mawili yamekua na uhasama wa mda mrefu sana.
China baada ya kutoa toleo lao jipya la aircraft carrier ,India nao wamefyetua yao ili kujibu mapigo.
Hahaaaa inachekesha sana mchina na mhindi kuchapana ,ukichek muvi zao ni katuni tupu hazina hata uhalisia ,je wakichapana si ndio vituko
NEW DELHI (AP) — India commissioned its first home-built aircraft carrier Friday as it seeks to counter regional rival China's much larger and growing fleet, and expand its own indigenous shipbuilding capabilities.

The INS Vikrant, whose name is a Sanskrit word for “powerful" or "courageous," is India's second operational aircraft carrier, joining the Soviet-era INS Vikramaditya that it purchased from Russia in 2004 to defend the Indian Ocean and Bay of Bengal.

The new 262-meter (860-foot) carrier, designed by the Indian navy and built at the Cochin shipyard in southern India, was launched by Prime Minister Narendra Modi as part of the country's commemoration of 75 years of independence from British
PRC anaongeza utengenezaji wa submarine na aircraft carrier kwa ajili ya ulinzi wa bahari yake na mipaka yake na sio kutunishiana misuli na wakina Kanjibai.
 
Sio rahisi kama unavyodhani
Unabisha tu ila India imetaka kuzuia simu za Kichina za bei chini ya $150 ili kuruhusu makampuni ya Kihindi yauze hizo. Kampuni za Kihindi kama Jio ile ya bilionea Ambani zitashika kasi baadae, kuna brands nyingi za China zinaunda simu ndani ya India ili kushika soko.

Mfano Xiaomi wana Redmi Note 10 na Pro yake hizo ni made in China ila wana Pro Max yake ni made in India. Tofauti zao ni main camera sensors ila vingine ni sawa.

India ina restrictions fulani za importation na sio kwenye simu tu, hili ni tatizo lao la kiuchumi kwamba uchumi wao bila kudekezwa products zao hazipambani kwenye free market.
 
PRC anaongeza utengenezaji wa submarine na aircraft carrier kwa ajili ya ulinzi wa bahari yake na mipaka yake na sio kutunishiana misuli na wakina Kanjibai.
Nadhani ni Dalian shipyard ambako nimeona picha kuna construction ya destroyers 5 kwa wakati mmoja inaendelea. Wakati shipyards nyingi duniani hutengeneza warship kubwa mojamoja kwa wakati mmoja ambao often huwa sio chini ya mwaka.
 
Hebu twende mbele kisha turudi nyuma any way twende mbele india hii ndio ipigane na mvimba macho? Acheni masiahara kiukweli mchina ana karoho fulani hivi ka ukatili ila ana tabia ya kukaficha kwenye tabasamu wakati wazee wa kachori katmandu na masala wanaendeshwa sana na hisia lakini physic ya askari wake wengi hata kwa kuwaangalia wamekaa kimovie movie sana nb angalia lile pigano la man to man combat la mpakani juzi kati walikufa kanjibai wengi sana kwa mkono tu
 
Unabisha tu ila India imetaka kuzuia simu za Kichina za bei chini ya $150 ili kuruhusu makampuni ya Kihindi yauze hizo. Kampuni za Kihindi kama Jio ile ya bilionea Ambani zitashika kasi baadae, kuna brands nyingi za China zinaunda simu ndani ya India ili kushika soko.

Mfano Xiaomi wana Redmi Note 10 na Pro yake hizo ni made in China ila wana Pro Max yake ni made in India. Tofauti zao ni main camera sensors ila vingine ni sawa.

India ina restrictions fulani za importation na sio kwenye simu tu, hili ni tatizo lao la kiuchumi kwamba uchumi wao bila kudekezwa products zao hazipambani kwenye free market.
Kilio Cha makampui ya india makampuni ya china yanapewa subsidy na Chinese government

Ulichoongea ni kweli India haiwezi pambana na India sababu china wanatechnologia kubwa
 
Hebu twende mbele kisha turudi nyuma any way twende mbele india hii ndio ipigane na mvimba macho? Acheni masiahara kiukweli mchina ana karoho fulani hivi ka ukatili ila ana tabia ya kukaficha kwenye tabasamu wakati wazee wa kachori katmandu na masala wanaendeshwa sana na hisia lakini physic ya askari wake wengi hata kwa kuwaangalia wamekaa kimovie movie sana nb angalia lile pigano la man to man combat la mpakani juzi kati walikufa kanjibai wengi sana kwa mkono tu
Hata china walikuja ku-comfirm wanajeshi wao walikufa, Leo hii India imeipita u.k kwenye GDP sio watu wa kudharau hata kidogo
 
Kilio Cha makampui ya india makampuni ya china yanapewa subsidy na Chinese government

Ulichoongea ni kweli India haiwezi pambana na India sababu china wanatechnologia kubwa
Na wakati huo India haiwezi kupiga marufuku bidhaa za China, labda kwenye teknolojia muhimu za kiusalama kama data. La sivyo wajiandae kuharibika kiuchumi, hawaipendi ila wanalazimika ndio maana kwenye mgogoro wa Ladakh mwaka 2019 waliweka vikwazo bidhaa chache sana.

China haiwezi pigwa na India tuache utani. Wala Taiwan haiwezi kuipiga China. Kuna tofauti kati ya kudhibiti nchi isikupige na kuipiga hiyo nchi. China anakuwa underestimated kisa eti hajawahi pigana modern warfare. Kwa sasa China ina uwezo mkubwa sana wa kupambana na Urusi, sembuse India na Taiwan. Hata Taiwan yenyewe inajua fika kuwa bila Marekani with time itapigwa na PRC
 
Huyo mhindi wanajeshi wake walipigwa vibaya mpakani na PLA mpaka wengine wakawa mahututi ndio aje kutunushiana misuli na PLA , mchina sio kwamba hawezi kupigana ila yupo kwenye mpango wake wa 2025, 2050 na 2100 yeye anawaza uchumi hicho ndicho kitu kinacho mzuia kupigana kwa sasa ila huyo ROC hana huo ubavu wa kupigana na kaka yake PRC labda kama atakuwa amesahau makofi kaka yake aliyo mpiga 1949. Na huyo jirani Kanjibai akumbuke kwanza PLA ailicho wafanya wanajeshi wake mpakani na sio kusema ana huo uwezo wa kumkoromea PRC.
India na China wana makubaliano ya kutotumia silaha mpakani Ladakh pale hivyo ilipotokea fujo wanajeshi wao walipigana ngumi, mawe, fimbo na vitu vya ncha kali. Ndio maana zaidi iliitwa brawl wala sio attack. Na kwa kawaida brawl hutegemea nani ana msuli zaidi, sio nani ana silaha kali kwani hazitumiki. Ule ugomvi walitoka suluhu acha utani kuna Wachina waling'oka meno na footage nyingine zilionekana baadae. Wote kwa pamoja wana propaganda kali si rahisi kujua nani alipigwa pale, official data zinapingwa na ushahidi
 
Haya ni mataifa ambayo China akitia kidole tu, atapigwa kama ngoma, na wote ni mahasimu wake.

1. India
2. Japan
3. Taiwan

Hizo namba mbili za mwanzo hazifai hata chembe.
Kwa sasa China ana nguvu za kijeshi na kiuchumi kuliko hayo mataifa uliyoyataja.

Labda nchi za Magharibi ziingilie kati kuzisaidia ndo watamweza Mchina
 
Back
Top Bottom