inaweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel inaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano - Donald Trump!!!

    Trump amesema "Netanyahu anaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano na yeye nitaongoza kipigo hicho!! Katika mahojiano na jarida la Time linaloadhimisha siku 100 tangu arejee Ikulu ya White House, Rais wa Marekani alidai kuwa hakusimamisha Shambulizi dhidi ya vituo vya...
  2. Peter Mwaihola

    JamiiForums Tanzania Serikali inaweza kulinda madaraka yake?

    "Serikali ni watu waliochaguliwa na watu kwa manufaa ya watu" Kwa mantiki hii serikali ni mali ya wote na haipaswi kumilikishwa kwa watu wachache. Kikundi cha watu "Chama Cha siasa" kinachoshinda kuongoza serikali hakipewi hatimiliki ya taifa kuwa kitaongoza milele. Iwapo serikali itawajibika...
  3. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kama ChatGPT inaweza kuhubiri Injili namna hii - basi ni kweli hizi ni siku za mwisho!

    Soma mpaka mwisho maongezi haya kati ya Interviewer na ChatGPT - utacheka, lakini pia utakubaliana nami kwamba hizi ni siku za mwisho. Injili inahubiriwa kwa kila njia, kwa mataifa yote, kama Yesu alivyotabiri(Mathayo 24:14) :) -------------- Swali: We chatGPT ni mbishi sana. Kila mahali, watu...
  4. KENZY

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa akili mnemba "kumbe serikali inaweza Kutengeneza fedha hewa?".

    Nimeiuliza akili mnemba (WhatsApp chatGPT), kama serikali inaweza kuzalisha ama Kutengeneza fedha hewa..? Na haya ndio majibu iliyonipa.. Baada yakusoma majibu haya nitahitaji nawewe unijibu swali hilo. [22/04, 16:24] Akili mnemba: Swali lako ni la msingi sana, na linaingia kwenye uchambuzi wa...
  5. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ikipewa nchi inaweza kuiendesha kweli ?

    Kuna ndugu hapa ni mwana Chadema mzuri Sana na ni mwenezi wa TAWI. nimekaa nae nikamwuliza hili swali Ila amefeli kabisa kunipa hoja akaanza kunitolea maneno ya dhihaka badala ya kujibu swali. Binafsi sababu nnashida na majib kwa uthabiti nimeona nilete swali lang hapa JF. Swali: Je, Chadema...
  6. Nyaubikra

    JamiiForums Tanzania Miamvuli gani original inaweza kukaa muda mrefu katika misimu miwili ya mvua?

    Ndugu katika mapambano. Leo jumatatu nimestuka saa tisa usiku naona mvua ipo kidogo nimejilaza naamka saa 11 mapema haijapoa. Nimeshindwa kutoka mpka naandika huu Uzi hapa na nmesogea nilipo weka mwamvuli Toka mwaka jana nmeufungua vyuma vyote vimeachia Kwa kutu. Nyie mnanunua miamvuli gani...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Muhtasari wa Hoja: Madhara ya kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi

    1. Maadili ya Uchaguzi ni Suala la Kisheria Yameainishwa katika Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, 2024. Tume ya Uchaguzi hutunga kanuni hizo kwa mashauriano na vyama vya siasa na Serikali, kisha huzichapisha kwenye Gazeti la Serikali. 2. Nani hupaswa...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mshtakiwa asema Bado AKILI YAKE HAIPO SAWA. Inaweza FYATUKA MUDA WOWOTE kesi ISIENDELEE

    Hapa kisheria wanasheria mnadhani mwanasheria wa mshtakiwa nakusudia nini? Mpango hapa ni nini?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Epuka mazoea ya kulala na aina hii ya wanawake, kitu kizito kitakuja kukupiga bila kutarajia

    Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo Under age / Chini ya miaka 18 - Wala haihitaji kufumaniwa red handed, yaani habari zikisambaa tu unatembea na mwanafunzi halafu...
  10. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania CRISPR-Cas9: Je, Teknolojia hii Inaweza Kuondoa Magonjwa ya Kurithi kabisa?"

    Leo nilikuwa napitia tovuti ya The New England Journal of Medicine, na nikakutana na taarifa muhimu iliyotolewa mwaka 2020 kuhusu utafiti wa CRISPR-Cas9. Ripoti hiyo inaelezea jinsi wagonjwa wawili waliopokea matibabu kwa kutumia CRISPR-Cas9 walivyoonesha matokeo mazuri. Kwa wale ambao...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 iliopita mtu angekuambia kuwa kuna watu Tz hii hawaamini Mungu yupo ungemcheka sana ila sasa idadi imekuwa maradufu. Ipi inaweza kuwa sababu?

    Exposure ktk elimu, sayansi na Tech? Kuathirika na utapeli wa kidini? Exposure ktk Atheism literature? Globalism na World wide sharing? ????????????????????????????????
  12. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Punyeto Inaweza Kusababisha Ugumba?

    Kupiga Punyeto: Punyeto (kujichua) ni kitendo cha kusisimua kiungo cha uzazi (uume/uke) kwa kutumia kitu tofauti na kiungo cha uzazi kwa lengo la kujiridhisha kingono. Madhara Ya Punyeto: Ikiwa kitendo hicho kitafanyika mara kwa mara na ikawa ni tabia huchangia madhara kwa mwanaume na...
  13. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Nyumba kama hii inaweza kugharimu kiasi gani?

    Wazoefu wa ujenzi naombeni makadirio
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Rais Dr. Samia, Tanzania Inaweza Kuzalisha Petroli, Dizeli, Jet Fuel, Methanol, Amonia na Urea Kutoka Kwenye Gesi – Tutauza Haraka Sana

    Barua ya Wazi kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Na Elia Wilinasi Sikanyika Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan, Kwa heshima, taadhima, na unyenyekevu mkubwa, ninakutakia afya njema, hekima, na mafanikio katika kuiongoza nchi yetu...
  15. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Uzi Mahsusi kwa Wadau wa Siasa (Chadema/CCM): Malezi na Madaraka, Kwa Nini Familia Yako Inaweza Kutabiri Mwelekeo wa Taifa

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya mataifa yanafuata demokrasia, mengine yanapendelea udikteta, na mengine yana mfumo wa kijamaa? Kwa mtazamo wa haraka, tunaweza kudhani kuwa sababu kuu ni historia, uchumi, au hata ukoloni. Lakini, tafiti zinaonesha kuwa mizizi ya mifumo ya kisiasa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Toyota Rumion inaweza kitumika kama gari ya bolt?

    Wakuu, nipeni ufafanuzi juu ya hii gari Kwa matumizi ya bolt inafaa?
  17. immortanity

    JamiiForums Tanzania Lake Zone ni zone pekee nchini inaweza jitegemea na kuwa nchi

    Amini kwamba hii zone imebarikiwa kila aina ya rasilimali hata pia idadi ya watu . Ni dhahili kua inaweza kua nchi na kujitegemea
  18. Faana

    JamiiForums Tanzania Hii inaweza kuwa suluhisho la mwendo kasi kwenye maeneo yasiyoruhusiwa bila kubagua

    Tazama video
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: CCM inaweza kujaza mikutano bila wasanii

    Wakuu, Thubutuuu, toa wasanii, toa hizo buku kumi kumi na af sabasaba mnazohonga wananchi tuone kama mtapata watu kama si CCM vikongwe pekee?😂😂 Bila wasanii na hela hata wale wamama waliokuwa wanaitukutuza CCM hawatokei. Vijana hawa tunaowana wanajitoa akili saivi hata vumbi lao hutaliona...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Maridhiano yanahitajika haraka sana ndani ya uongozi mpya wa chadema, hali inaweza kua mbaya zaidi mbeleni hilo lisipo tiliwa maanani

    Body languages, tones na facial expressions za viongozi waandamizi wa chadema hususani wa kamati kuu, zinaonyesha kabisa bado kuna migawanyiko na uhasama ndani ya chadema. Lakini pia jana pale Ikungi Singida tumeshuhudia kwa uwazi zaidi kwamba umoja ni changamoto ndani ya uongozi mpya wa...
Back
Top Bottom