inaweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Google play store sasa inaweza kujibu maswali yako yote kuhusu app unayotaka kudownload

    Kampuni ya Google kupitia program yao ya Google play store imefanikiwa kuzindua feature mpya inayotumia muundo wa akili bandia (AI), kwa kuweza kumruhusu mtumiaji wa play store kuweza kuuliza app wanayotaka kuipakua ikoje kama hajaamua kuwa nayo kwenye simu yake. Feature hii inatumia...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Picha ya mbunge bashiru bungeni inaweza kutupa nini kilichopo bungeni

    Hapa ndio ufahamu kuwa CCM imejaza vilaza na propaganda zao. Bungeni unaweza kuona mpita njia anauliza mpita njia kuwa na wewe unapita.
  3. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Unajua kauli moja inaweza kubadilisha joto la kisiasa nchini?

    Hata kama siyo wote , lakini wengi wataweza kuelewa wakiona mtuhumiwa ameamua kubadilika toka moyoni! Fikiri, kwa mfano, alkijitokeza na kusema, "Ndugu Watanzania wenzangu, naomba mnisamehe! Nimetambua makosa yangu, na ninayajutia sana. Mnisamehe, na mnipe muda nirekebishe nilikoharibu" Kwani...
  4. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Sheria gani inaweza tumika kumhukumu mke wa huyu jamaa?

    https://www.tiktok.com/@samonsojuri68/video/7504665112372956447
  5. S

    JamiiForums Tanzania Chadema tumieni siku arobaini za mwanzo kwa usahihi ili kumpata mdude ile damu aliyomwaga inaweza kuwasaidia

    Watu wengi tumepofushwa sana siku hizi! Ile nguvu yetu ya asili tumeweka kapuni tukiamini ni dhambi! Zamani wazee walilinda mashamba kwa nguvu za asili, wezi walikipata cha moto! Damu ya mdude iliyomwagika inaouwezo wa kuwapa ushirikiano ndani ya siku 40! Iteni wataalam na muiambie ile damu...
  6. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kwa kilichopo, Yanga itasusia kucheza ligi kuu Tanzania Bara, inaweza kuhamia Zanzibar

    Tunzeni post hii, Yanga wanadai kwanini tarehe ya mwanzo Simba waliamua tuu kua hawachezi na bodi ya ligi wakawaunga mkono bila sababu ya msingi? Yani inaonekana kama Simba yeye ndio anapanga ratiba anacheza akitaka. Kwa ninavyoona siion yanga ligi ya NBC msimu ujao, wanaweza kuhamia Zanzibar...
  7. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Je wajua shepu ya pua inaweza kukuelezea wewe ni mtu wa tabia zipi?

    Haya twende kazi, 1. Hawa wa pua za hivi wanapenda kuangalia mambo yao. Hawasumbuliwi na mambo ya watu wengine. 2. Hawa wengi wao wana sifa za uaminifu na uvumilivu. 3. Hawa hawapendi kujibebisha wala kubebishwa, wengi wao ni mabandidu toka ndani ya sakafu ya roho zao, ni watu wakuchukua...
  8. Msakuzi Ad

    JamiiForums Tanzania Media ni platforms ambayo inaweza kukuza ama kubomoa na kuleta majanga

    Sasa Hivi SAJENTI anaomba kukutanishwa Na PATENI, Hata kama walikuwa na kutoelewana ila kwa namna moja ama nyingine Media zinachochea ugomvi wa hawa madogo. Hawana experience ya kuhojiwa kila watakachoulizwa hata kma ni chonganishi wanajibu bila kufikiria swali lina maanisha nini.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Rwanda ni tafsiri halisi ya vile reli ilivyo ndogo ila inaweza kubeba matreni, uwezo wao katika medani za kivita unakuwa kwa kasi, sio wa kuwabeza.

    Hawa jamaa wanazidi kujijenga kijeshi kwa speed ya radi, uwezo wao wa sasa sio wa miaka 10 au 20 iliyopita, wame transform mambo mengi, Jeshi la Rwanda limewezesha kuondoka kwa wanajeshi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kutoka eneo la mashariki mwa DRC, kwa kuwasindikiza...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel inaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano - Donald Trump!!!

    Trump amesema "Netanyahu anaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano na yeye nitaongoza kipigo hicho!! Katika mahojiano na jarida la Time linaloadhimisha siku 100 tangu arejee Ikulu ya White House, Rais wa Marekani alidai kuwa hakusimamisha Shambulizi dhidi ya vituo vya...
  11. Peter Mwaihola

    JamiiForums Tanzania Serikali inaweza kulinda madaraka yake?

    "Serikali ni watu waliochaguliwa na watu kwa manufaa ya watu" Kwa mantiki hii serikali ni mali ya wote na haipaswi kumilikishwa kwa watu wachache. Kikundi cha watu "Chama Cha siasa" kinachoshinda kuongoza serikali hakipewi hatimiliki ya taifa kuwa kitaongoza milele. Iwapo serikali itawajibika...
  12. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kama ChatGPT inaweza kuhubiri Injili namna hii - basi ni kweli hizi ni siku za mwisho!

    Soma mpaka mwisho maongezi haya kati ya Interviewer na ChatGPT - utacheka, lakini pia utakubaliana nami kwamba hizi ni siku za mwisho. Injili inahubiriwa kwa kila njia, kwa mataifa yote, kama Yesu alivyotabiri(Mathayo 24:14) :) -------------- Swali: We chatGPT ni mbishi sana. Kila mahali, watu...
  13. KENZY

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa akili mnemba "kumbe serikali inaweza Kutengeneza fedha hewa?".

    Nimeiuliza akili mnemba (WhatsApp chatGPT), kama serikali inaweza kuzalisha ama Kutengeneza fedha hewa..? Na haya ndio majibu iliyonipa.. Baada yakusoma majibu haya nitahitaji nawewe unijibu swali hilo. [22/04, 16:24] Akili mnemba: Swali lako ni la msingi sana, na linaingia kwenye uchambuzi wa...
  14. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ikipewa nchi inaweza kuiendesha kweli ?

    Kuna ndugu hapa ni mwana Chadema mzuri Sana na ni mwenezi wa TAWI. nimekaa nae nikamwuliza hili swali Ila amefeli kabisa kunipa hoja akaanza kunitolea maneno ya dhihaka badala ya kujibu swali. Binafsi sababu nnashida na majib kwa uthabiti nimeona nilete swali lang hapa JF. Swali: Je, Chadema...
  15. Nyaubikra

    JamiiForums Tanzania Miamvuli gani original inaweza kukaa muda mrefu katika misimu miwili ya mvua?

    Ndugu katika mapambano. Leo jumatatu nimestuka saa tisa usiku naona mvua ipo kidogo nimejilaza naamka saa 11 mapema haijapoa. Nimeshindwa kutoka mpka naandika huu Uzi hapa na nmesogea nilipo weka mwamvuli Toka mwaka jana nmeufungua vyuma vyote vimeachia Kwa kutu. Nyie mnanunua miamvuli gani...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Muhtasari wa Hoja: Madhara ya kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi

    1. Maadili ya Uchaguzi ni Suala la Kisheria Yameainishwa katika Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, 2024. Tume ya Uchaguzi hutunga kanuni hizo kwa mashauriano na vyama vya siasa na Serikali, kisha huzichapisha kwenye Gazeti la Serikali. 2. Nani hupaswa...
  17. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mshtakiwa asema Bado AKILI YAKE HAIPO SAWA. Inaweza FYATUKA MUDA WOWOTE kesi ISIENDELEE

    Hapa kisheria wanasheria mnadhani mwanasheria wa mshtakiwa nakusudia nini? Mpango hapa ni nini?
  18. R

    JamiiForums Tanzania Epuka mazoea ya kulala na aina hii ya wanawake, kitu kizito kitakuja kukupiga bila kutarajia

    Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo Under age / Chini ya miaka 18 - Wala haihitaji kufumaniwa red handed, yaani habari zikisambaa tu unatembea na mwanafunzi halafu...
  19. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania CRISPR-Cas9: Je, Teknolojia hii Inaweza Kuondoa Magonjwa ya Kurithi kabisa?"

    Leo nilikuwa napitia tovuti ya The New England Journal of Medicine, na nikakutana na taarifa muhimu iliyotolewa mwaka 2020 kuhusu utafiti wa CRISPR-Cas9. Ripoti hiyo inaelezea jinsi wagonjwa wawili waliopokea matibabu kwa kutumia CRISPR-Cas9 walivyoonesha matokeo mazuri. Kwa wale ambao...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 iliopita mtu angekuambia kuwa kuna watu Tz hii hawaamini Mungu yupo ungemcheka sana ila sasa idadi imekuwa maradufu. Ipi inaweza kuwa sababu?

    Exposure ktk elimu, sayansi na Tech? Kuathirika na utapeli wa kidini? Exposure ktk Atheism literature? Globalism na World wide sharing? ????????????????????????????????
Back
Top Bottom