Jaribu charge nyingine uone kama ishu ni chaja au mashine yenyewe Kuna mifumi imefeliHabarini wakuu natumia laptop hp lakini ghafla tu ukichomeka chaja hairespond chochote wala haiwaki chochote tatizo linaweza kua nini hapa
Duh hapo sijui itakuwa ni shida ya pc au chrgerSawa nimejaribu imegima mkuu
PC hiyo mzeeDuh hapo sijui itakuwa ni shida ya pc au chrger