inaweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Muda huu euro moja = 0.99 USD, naomba kujua inaweza kuwa imechangiwa na nini?

    Kama kichwa kinavosema wakuuu,mdaa huu saa 12 na dk 16 Eur moja ni sawa na 0.99 usd hii inaweza kuwa inachangiwa na nini hasa?
  2. Kitaalamu ( kiafya ) inaweza kuwa na shida?

    Tunafahamu undugu wa watu huunganishwa kwa dam ( genetics ). Je ikitokea mtu kachangiwa damu na watu ambao sio familia moja na ikitokea wakapendana tuseme aliyechangiwa damu ( me ) na mtoto wa mchanga damu (ke) na wakafanya mapenzi, je kunaweza kuwa na shida juu ya mtoto atakayezaliwa na kiimani...
  3. L

    Afrika inaweza kujifunza nini kutokana na uzoefu wa China?

    Na Umaru Napoleon Koroma, Katibu mkuu wa Chama cha Umma cha Sierra Leone Kwenye hotuba iliyotolewa na Makhtar Diop, Naibu Mkuu wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika, alisema mwaka 1978 China ilikuwa miongoni mwa nchi maskini zaidi duniani. Kuanzia mwaka huo, mapato halisi ya kila mtu wa China...
  4. C

    Je, Saratani ya damu (multiple myeloma) inaweza kupona?

    Naombeni kufahamu kama kuna tiba yeyote inayoweza kumponya mtu mwenye hii saratani ya damu kitaalamu wanaita multiple myeloma au plasma cancer!
  5. Je, yanayoendelea Urusi, Ukraine, China na Taiwan yanaweza kusababisha Vita ya Tatu ya Dunia?

    Je, mizozo inayo endelea katika mataifa mbalimbali kama Russia na Ukraine, China na Taiwan inaweza pelekea vita ya tatu ya dunia?
  6. Swali chokonozi: TFF inaweza kumfungia mtanzania kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi?

    Shirikisho la soka hapa nchini almaarufu kama TFF linaratibu, kuongoza na kusimamia soka ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. CAF ni kwa Afrika nzima na FIFA ni kwa dunia. TFF inatekeleza majukumu yake, pamoja na mambo mengine, kupitia Kamati na uongozi wake. Jana, Kamati ya Maadili...
  7. Kwakuwa kesi ya Mbowe iliishia njiani na inaweza kurejeshwa, Kingai aisuke tena

    Kesi ya Mbowe iliondolewa kwa nolle prosequi, serikali ikiondoa kesi kwa mfumo huo, inaweza kuirejesha. Sasa Kingai ndio Yuko jikoni akikarangiza upelelezi. Ikimpendeza aisuke ili twende raundi ya pili
  8. M

    Uovu wa Marekani umekithiri! Bila aibu inadhani inaweza kuishawishi India na China kudhulumu mafuta ya Urusi

    Marekani ni taifa ovu kupiltiliza!! Marekani imepokonya mabilioni ya dola za marekani mali ya urusi! Kama hiyo haitoshi imepokonya mabilioni ya dola za marekani zikiwa ni pesa binafsi za raia matajiri wa Urusi, na imepokonya mali za raia hao kama majumba, ndege, mashua za starehe nk. Kwa...
  9. Ushauri wa biashara: Duka la rasta, stationery na duka la dawa muhimu

    Naomba kunishauri, biashara gani kati ya hizo haina complication Nahitaji kufungua biashara, akili yangu inawaza biashara tatu lakini moja tu ndo inabidi nichague kati ya hizo.
  10. Hivi hyperinflation, kama iliyotokea Zimbabwe au Venezuela inaweza kutukuta?

    Ile habari ya kubeba pesa kwenye toroli kwenda kununua mikate inaweza kutupata. Maana wanasema inasababishwa na watu kupoteza imani na pesa. Nini linasababisha hilo? Ishu kama ile inaweza kutokea hapa kwetu?
  11. Miili 6 ya familia moja iliyouawa Kigoma inaweza kufukuliwa, mtoto aliyefariki maziko yake yasitishwa

    Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limezuia maziko ya James Januari (4) aliyejeruhiwa usiku wa kuamkia Jumapili na kufariki dunia Julai 5, 2022 katika Hospitali ya Rufaa Morogoro. Aidha, kuna uwezekano wa kufukua miili sita iliyozikwa Jumapili Julai 3, 2022 baada ya tukio la mauaji ya watu sita wa...
  12. M

    Naomba ushauri: Ni antivirus ipi ni nzuri na inaweza kuweka ulinzi mzuri dhidi ya virus na harkers ikiwezekana?

    Sokoni kuna antivirus nyingi na kila moja inajinasibu kuwa ni nzuri. Kwa yule mwenye uzoefu na antivirus mbalimbali naomba ushauri nitumie antivirus vipi kwenye laptop yangu?
  13. Kumbe bajeti ya Tanzania inaweza kuwa Tsh. Trilioni 2 na chenji ikabaki? Inafikirisha!

    Mwanzoni mwa utawala wa mama Samia, kuna mkopo wa trilioni 1.3 wa masharti nafuu ambao ulikopwa kwa ajili ya kupambana na janga la korona. Huu mkopo ulipata umaarufu zaidi baada ya aliyekuwa spika wa bunge mh. Job ndungai kuhoji kwanini mkopo huo umeombwa wakati tunaweza kutumia hela zetu za...
  14. Kwahiyo kuna Serikali isiyokuwa na Rais? Serikali inaweza Kukopa bila idhini ya Rais? Hopeless Phd Holder wa Awamu ya Sita

    Wala usiumize kichwa kutaka kujua limekopwa lini, kwa sababu anayekopa si Rais, inakopeshwa serikali, mikopo yote ya nchi yetu haikopeshwi kwa awamu, kuna nchi ambazo zinakopa kwa awamu, lakini kabla hujamaliza awamu yako uwe umeshalipa".Waziri Nchemba. Chanzo: ITV Tanzania Yaani...
  15. Inshu ya Tupac inaweza kuwa nzito kuliko tunavyofikiria, ushahidi huu hapa

  16. Ni CCM pekee ndiyo inaweza kuleta Katiba Mpya

    Harakati za kudai Katiba Mpya Tanzania ni harakati za muda mrefu sana, takribani miaka 30 iliyopita baada ya Tanzania kuingia rasmi katika mfumo wa vyama vingi. Watu wengi wamefungwa, kuteswa na wengine kupoteza hata maisha yao kutokana na kupaza sauti katika kudai Katiba Mpya. Licha ya damu...
  17. J

    Mahakama inaweza kuliamuru Bunge?

    Nakumbuka wakati Tundu Lissu anatetea ubunge wake baada ya kufukuzwa na Spika Ndugai Mahakama ilisema haiwezi kuingilia maamuzi ya Spika. Kwanini leo Spika anaisubiri Mahakama imuongoze? Huku siyo kuingilia Uhuru wa Bunge?!!
  18. Ngono ya kinywa inaweza ambukiza Saratani ya Koo

    Human Papilloma Virus (HPV) ndicho kirusi ambacho inaaminika kinatajwa kuwa kinasababisha Saratani ya Kizazi, ambayo kwa asilimia kubwa inawaathiri wanawake. Pamoja na hivyo wanaume na wanawake wote wanaweza kuathirika na kirusi hicho kwa kupata saratani ya koo ikiwa watashiriki ngono ya kinywa...
  19. Mambo ambayo Biblia inaweza kukusaidia hata kama hutaki kwenda Mbinguni

    1: UTAWALA: Watawala waliotawala dunia zamani walitumia maandiko ya Mungu wa kiebrania kama miongoni mwa machapisho yao. 2: Ndoa. Kanuni za ndoa zinazosisitizwa katika biblia zitakufanya ufurahie ndoa hadi mwisho wako. Mke mtii Mume, mume mpende mke. 3: Muda. Tabia ya kujali Muda inayoleta...
  20. Walimu wa Hisabati, hii inaweza kutusaidia kufaulisha Wanafunzi na kulipenda somo hili

    Habarini za humu JF Elimu, Leo nimekuja kutoa nami mawazo na mitazamo ni namna gani tunaweza kuwasaidia hawa watoto katika hili somo rahisi kabisa! MAMBO YA MSINGI KWA MWANAFUNZI NA KWA MWALIMU 1. Lugha adhimu ya kiingereza iwe mikononi mwa wanafunzi kwa vyovyote vile hasahasa grammatical and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…