inaweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ni kweli manifestation inaweza kukuletea maisha unayotaka?

    Jamani ndugu zangu naomba mtu anieleweshe MANIFESTION INAHUSISHA NINI? Na je inaweza kunisaidia kupata ninachotaka maishani mwangu? Mfano nataka kazi au pesa au maisha mazuri nawezaje kupata kwa njia ya kumanifest? Naomba kuelekezwa njia za kumanifest : unafumba macho au unafanyaje? Kuna mdada...
  2. Utafiti: Mitindo ya kujamiiana Inaweza kuvunja Uume Wako

    Utafiti wa Madaktari wa Idara ya Magonjwa ya Mfumo wa Mkojo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa umebainisha kuwa mitindo mbalimbali ya kujamiiana inaweza kusababisha uume uliosimama kwa muda mrefu kuvunjika ukiwemo mtindo wa Mwanaume kukaliwa juu na Mwanamke mwenye uzito mkubwa. Utafiti wa...
  3. Prof. Pembe: Utoaji mimba usio salama unaweza kuchangia kizazi kupasuka

    Jamii imetakiwa kuwa makini na matumizi ya vidonge na njia mbalimbali zinazotumiwa kwa lengo la kutoa mimba kuwa zinaweza kuwa na madhara makubwa kiafya na hata kusababisha kifo. Baadhi ya dawa ambazo zimekuwa zikitumiwa na watu wengi kwa matumizi ya utoaji mimba ni Misoprostol ambapo imeelezwa...
  4. Nani kaua kwa michano katika hii ngoma mpya ya Izzo Bizness inayoitwa "Nilipotoka”

    Wazee wazee wazee, recently hizo bizness kaachia chuma ambacho ndani yake kuna wakali kibao wa hip hop waliotupia verse zao. Versa ya kwanza kabisa unakutana na one the incredible akiwa kafanya yake, verse ya pili anaipokea izzoo naye katupia swagger zake pale verse ya tatu ni mnyama chaba...
  5. Nimegundua hili kuhusu wake za watu. Inaweza kukatisha tamaa kuoa

    Kwa uzoefu wangu mdogo tu katika mahusiano kwa umri wangu mdogo wa miaka 50+ kuna mambo ambayo nimeyagundua ambayo huwa yananifikirisha sana. Shughuli zangu za kikazi hunifanya nisafiri kuhama hama kila wakati. Ingawa familia ilisha settle Dar. Mimi huwa nasafiri sana ndani na nje ya nchi. Mara...
  6. Application Gani Inaweza Kukusaidia Kuangalia Salio Line Ikiwa Kwenye Modemu

    Kichwa hapo juu chaeleza, naomba anayefahamu app yenye uwezo wa kuangalia Salio line ikiwa kwenye modemu.
  7. J

    Anna Tibaijuka: Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential, tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga!

    Prof Anna Tibaijuka anasema Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential so tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi...
  8. H

    Hivi ukitoa hela kwenye ATM halafu ukaiacha pale kwenye kibox chake inaweza kurudi ndani kama card?!

    Salam.. Sijawahi kujaribu au kama kuna mtu imewahi kumtokea akachelewa kuitoa hela baada ya kutoka, je itadumbukia tena ndani au itakaa hapo hapo itaganda tu inasubiria. Na kama ikirudi mahesabu yatakuwaje kwenye account yatajirudi tena kama awali au balance itapungua. Changamsheni kichwa kidogo.
  9. Je simu iliyofanya Factory reset inaweza kurudisha faili zake?

    Kama kicha cha habari kinavyouliza je inawezekana? Kwa bahati mbaya simu yangu katika kubonyeza bonyeza nikafanya Factory Reset na ndani kuna vitu muhimu sana na sikuwahi kufanya Backup ya chochote. Kwa mwenye uelewa wowote anisaidie tafadhali
  10. Hili la bandari kuuzwa likipita utumwa unarudi na Zanzibar inaweza peperuka

    Wasalaam, 👇👇👇 Habari ndiyo hio, bandari ikiuzwa kama msemavyo wabongo tetesi basi jiandaeni kwa utumwa usiomithirika, sioni Tanzania iliyosalama, sioni muungano ukiendelea. Mkimuangalia mtavuna mabua alianza ngorongoro, sasa kalekea chumbani kwenye roho ya nchi. Endeleeni kumchekea Hali si...
  11. M

    Je, Serikali inaweza Kubinafsishwa? Kwanini Serikali yetu isibinafsishwe ili kuleta ufanisi kiutendaji?

    Kuna wimbi kubwa la kubinafisishwa kwa Taasisi za serikali na mashirika ya umma ili kuleta ufanisi katika taasisi hizo. Mfano wa hivi karibuni ni Bandari yetu ya Dar es Salaam. Hoja inayotolewa na wenye mamlaka ni kuongeza ufanisi wa bandari yetu ama kwa lugha rahisi ni kwamba serikali haiwez...
  12. Issa Haji Gavi: Kadi ya CCM ina uwezo wa kutoa hela benki

    Wakuu nimekutana na hii clip, Issa Haji Gavi Katibu wa Oganaizesheni wa CCM Iringa anaonekana akieleza kuwa kadi ya CCM ina uwezo wa kutoa pesa Benki. Sikiliza mwenyewe kisha uweke maoni yako. --- Kadi za kielekroniki za CCM kutumika kama ATM Iringa. Katibu wa Oganaizesheni wa CCM, Issa...
  13. Kisheria, serikali ya kijiji inaweza kugawa chini ya ekari 50, Mpina alitoa rushwa akagawiwa ekari 1000?

    Kwa mujibu wa sheria ya ardhi ya Kijiji, (The Village Land Act, Cap 114) na kanuni zake, serikali ya Kijiji hairuhusiwi kugawa ardhi ambayo inazidi ekari 50. Mpina amegawiwa ekari 1000, kubwa zaidi mara 20 kuliko Ile ambayo Kijiji wanaruhusiwa. Ni wazi kwamba Mpina alihonga viongozi wa serikali...
  14. Nimeambiwa kuna Goli 2 kwa 0 au 1 kwa 0 tu ila Draw ya 0 kwa 0 inaweza ikawepo

    Kila la Kheri mno Yanga SC na Kila la Kheri sana USM Alger FC leo.
  15. Katibu Mkuu ANC: Hali ya Uchumi ni mbaya, nchi inaweza kufeli

    Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama Tawala cha African National Congress (ANC) cha #AfrikaKusini, Fikile Mbalula ambaye ametaja sababu kuwa ni kukatika kwa Umeme kunakotishia kuzorotesha Ukuaji wa Uchumi. Mbalula amsema "Kama baadhi masuala hayatopatiwa suluhu, tutakuwa Nchi...
  16. Je, technology ya V.A.R inaweza kutumika kwenye udanganyifu?

    Nimefuatilia kwa karibu matumizi ya V.A.R katika mashindano ya CAF na kusema ukweli huwa sina imani na jinsi zinavyotumika hasa pale timu mojawapo ni ya Afrika Kaskazini. Kwa mfano najiulizaga kwa nini siyo kila replay ya V.A.R huwa inaonyeshwa? Nimeona matukio mengi ambayo mpira unasimama ili...
  17. Ethics/Moral philosophy inaweza kua suluhisho ya matatizo yako

    Wakuu, Moral philosophy ni tawi la falsafa linalohusu nadhalia za maadili (Ethics) na kanuni za maisha. Falsafa hii inamtaka mtu mtu kufanya maamuzi yake kwa kuangalia/kupima faida na hasara, uzuri na ubaya, Haki na dhuruma, na jinsi maamuzi yake yanaweza kuathiri wengine. NB: mtu...
  18. Ushauri: Hii tabia yake imekuwa kero na inaweza hatarisha maisha ya mtu

    Naombeni ushauri wenu. Demu anakula pesa zangu jinsi atakavyo. Ikifika wakati wa mimi sasa kumla anakuwa na masharti Kuna styles hazitaki. Anasema hawezi fanya mapenzi kwa style hatarishi kwake. Na anasema nyingine ni za kimalaya wakati yeye ni mtu wa dini. Sasa nikamwambia basi awe mtu wa...
  19. Ushauri: Rais Samia inaweza kuwa ni maamuzi magumu lakini hapa tulipofikia hakuna budi

    Mheshimiwa Rais Nakuamkua kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tunajua kuna juhudi unafanya tena kubwa ili kuivusha Tanzania kutoka kwenye hali ya uchumi wa chini kuelekea uchumi wa juu. Lakini sisi wakosoaji wako, tuna lengo la kukussidia kuona nyufa zinazotengenezwa kwa makusudi na...
  20. Ni vipi akili bandia kama ChatGP inaweza kuathiri kazi miaka ijayo?

    'Ubunifu huu umefanya wakati wetu wa burudani kufurahisha zaidi. Lakini haijafanya wakati wetu wa kufanya kazi kuwa muhimu zaidi. Imeondoa uzoefu wa kibinadamu wa kuchoka. Lakini je, imekufanya uwe na manufaa zaidi kazini? Wataalamu fulani wa teknolojia wanasema kwamba 'huenda usiwe na akili ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…