Profesa Janabi: Bei ya sukari imepanda juu, take advantage

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amezungumza kuhusu ongezeko la wagonjwa wa kusafisha figo ambapo amesema kwa siku hospitali hiyo inahudumia wagonjwa 120 hadi 130, hivyo ameihimiza jamii kuchukua tahadhari na kufuata mtindo bora wa maisha.

Profesa Janabi amesisitiza kwamba vitu hatari zaidi kwa afya ya mwili ni sukari na wanga na wala sio mafuta kama wengi ambavyo hudhani, na kwamba mwili hautunzi wanga wala sukari, badala yake huvibadilisha kuwa mafuta. Hivyo, amewataka watu kupunguza matumizi ya vyakula vyenye sukari na wanga.

“Sukari ni ugonjwa hausababishwi na fangasi, hausababishwi na bacteria, unasababishwa na lishe, lazima tubadilishe mtindo wa maisha, mtakaopata nafasi mzungumze na mtu anayefanyiwa dialysis (kusafisha figo) ndio mtafahamu umuhimu wa kutunza figo,”amesema.

Profesa Janabi ameeleza kuwa kuepuka ugonjwa huo ni jambo linalowezekana kwa kubana matumizi ya chakula, kutembea kwa hatua 10,000 kwa siku, na kupunguza vyakula vyenye sukari. “Bei ya sukari imepanda juu, take advantage.”
 
Janabi anataka tuwe tunakula hivi sasa 😃
images (4).jpeg
 
Kula fanya mazoezi, si lazima uende gym.
 
Namwelewa Sana Prof.Janabi
 
mwili kuwa na kiwango kikubwa cha acid ndio mwanzo wa uhondo wa kujua hujui. high level of acid is entry door to all cancers. na usipofanya mazoezi ujanani utalipia uzeeni
 
Kwenye hili nakubaliana nae, sukari sio nzuri. Najisikia vibaya ninapomuona mtu mkononi ameshika soda.

Mafundisho yake mengine unaweza kuona kila mlo haufai kwa binadamu
Ni vizuri kama unaumwa tafuta tiba badala ya kusingizia vyakula iwe wanga,,nyama,sukari,Mafuta au soda

Afya ikiwa migogoro tafuta tiba.Waachie wenye Afya zao waendelee navyo
 
Siku chokaa iliponiwekea kovu mguuni ndio niliamini sukari ni mbaya. Chokaa ni kiungo muhimu kwenye uzalishaji wa sukari
 
Back
Top Bottom