Bei ya chai kwenye mighahawa imepanda maradufu

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Wanakambi, kuna mghahawa mmoja nilizoea kupata chai ya asubuhi na vitumbua maarufu kama "Kwa Mama P" ni hapa Mwenge jijini Dar es salaam. Siku zote tulikuwa tukiuziwa kikombe cha Chai Shilingi 150. Leo nimeshitushwa baada ya kumaliza kunywa chai yangu na vitumbua vinne (200@) badala ya kulipa Shilingi 950 nikaambiwa nilipe 1,100/=. Hapa nadaiwa. Kulikoni?
#BasheLiveTheOfice
 
tumia juice
 
Chai
 
Siyo lazima kunywa chai.

Chai siyo hitaji muhimu kwa binadamu.

Suala ka sukari linakuzwa bila sababu ya msingi.

Sukari siyo muhimu kiasi hicho.

Sukari ni bidhaa tu na siyo huduma muhimu kwa watu.
 
Nashangaa sana watu wanavyohangaika sukari ikiadimika au kupanda bei? Kwani ni lazima unywe chai? Unaweza kuamka asubuhi ukala ugali, wali, au chakula kingine chochote kisichohitaji hiyo sukari.

Watu ambao naweza kuwaelewa wakilalamika kuadimika kwa sukari ni wauza vitumbua, wauza maandazi, wapishi wa keki, watengenezaji wa juisi na wengine wanaoihitaji kwenye biashara zao. Sisi wengine kama tungeondokana na huu upuuzi wa kukariri kuwa ni lazima tunywe chai asubuhi basi sukari isingeadimika na ingeshuka bei mpaka hata kufikia 1000 kwa kilo.
 
Wanakambi, kuna mghahawa mmoja nilizoea kupata chai ya asubuhi na vitumbua maarufu kama "Kwa Mama P" ni hapa Mwenge jijini Dar es salaam. Siku zote tulikuwa tukiuziwa kikombe cha Chai Shilingi 150. Leo nimeshitushwa baada ya kumaliza kunywa chai yangu na vitumbua vinne (200@) badala ya kulipa Shilingi 950 nikaambiwa nilipe 1,100/=. Hapa nadaiwa. Kulikoni?
#BasheLiveTheOfice
Mama anaupiga mwingi
 
Huo mgahawa wa kuuza kikombe cha chai kwa 150/= ni mgahawa kweli au kwa mama ntilie?
 
Back
Top Bottom