Imani Hakim (born August 12, 1993) is an American actress. She is best known for her role as Tonya Rock on the UPN/CW sitcom Everybody Hates Chris as well as portraying Olympic gold medalist Gabrielle Douglas in the 2014 Lifetime original movie The Gabby Douglas Story.
Kama mkewe angekuwa katika kongmano huko amsterdam, basi angewaambia wazungu kuwa mume wake alimuomba Mungu ili afike salama mahali pa kuchukulia gesi maana muda ulikuwa ni giza kali usiku na alifika salama.
Ila kwa sababu amekaa na wenzake ambao amezoea kula pesa zao kwa mazigaombwe basi acha...
Kinyume na WENGI wanavyo dai, idadi ya wanaume ni kubwa kuliko WANAWAKE. Hii ni kwa mujibu wa takwimu za mwaka hii 2025.
https://m.statisticstimes.com/demographics/world-sex-ratio.php
Kanali wa Kikosi cha Walinzi wa Kifalme wa Saudi Arabia ameshiriki safari yake ya kusisimua na ya kihisia kutoka kuwa mtetezi mwaminifu wa Ufalme wa Kiislamu hadi kuwa mfuasi wa Yesu Kristo — uamuzi uliokaribia kumgharimu maisha yake.
Katika video hii, Muhammad, aliyewahi kuwa afisa...
Waheshimiwa wanajamii wa JamiiForums, nawasalimuni kwa heshima na taadhima.
Natumai wote hamjambo na shughuli za kila siku zinaenda vyema. Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, na kwa muda sasa nimekuwa nikikumbwa na matukio ya ajabu yanayohusiana na ombaomba mitaani—matukio yaliyonifanya nianze...
Chama cha ACT-Wazalendo kinaonesha wazi kutowathamini wanawake na kukosa imani nao katika nafasi za juu za uongozi. Hali hii imejidhihirisha baada ya kumtangaza Luhaga Mpina kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya chama hicho kwa Uchaguzi Mkuu wa 2025, licha ya kuwepo kwa Dorothy Semu ambaye tayari...
Juhudi za kimwili na akili tulizonazo binadamu wote hazitoshi kuwa ushahidi wa imani ya Mungu mwenye nguvu kupita wote.
Kuna Mungu na miungu.
Viumbe kama miungu vina nguvu, na nguvu hiyo tunaita nguvu ya kiroho (maarifa ya kiroho)
Tunafahamu Mungu aliyetuumba ndie ana nguvu kubwa ya kiroho...
“Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani. Naye akisitasita, sina furaha naye.”
Waebrania 10:28
👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿
Hiyo ni KANUNI. Ikifuatwa hata na mtu asiyemuamini Mungu anaona matokeo.
Mungu na KANUNi zake ambazo zinaendesha dunia hazimsapoti mtu anayefanya mambo KWA kusitasita.
Anataka au...
Kama ilvyoandikwa
1👉 Kama vile inzi waliokufa huacha harufu mbaya kwenye manukato,
ndivyo upumbavu kidogo huzidi nguvu hekima na heshima.
2 👉 Moyo wa mwenye hekima huelekea kuume,
lakini moyo wa mpumbavu huelekea kushoto.
3👉 Hata anapotembea barabarani, mpumbavu hukosa ufahamu na kudhihirisha...
Kabla ya kufika dini zilizoingia nchini kwa meli, waafrika, wa hapa Tanzania ya sasa walikuwa tayari wana imani zao za asili. Ambazo zilitamalaki na watu wakaziamini kwa uwazi kabisa nazo zikaongoza maisha yao koroho.
Sasa zinaonekana zimepotea, na kufyekelewa mbali na dini za uislamu na...
Hivi wote tunapitia kipindi kigumu kuelekea oktoba sijui ndo no reform no election.Yani na jirani yangu ana biashara vifaa vya msibani na anauza majeneza na ndio biashara yake iliyompa paka nyumba ila na yeye ana lalamika .
Inakuaje mtu mpaka anaanza kumwamin mtu kama Tonny na wengine wa aina yake kiasi cha kumpa hela ati akiita sadaka, kwenda kushinda na kukesha huko?
Kwa akili ya kawaida haikuji, hawa huwa wanalogwa kwanza...🤔
Uzembe wa viongozi wetu wa Simba.
Leo Balla Conte amesaini Yanga
Pendekezo la Fadlu Davids limepuuzwa na viongozi
Viongozi wao wanahitaji Kagoma
Hakika Rage alikuwa sahihi kutuita mbumbumbu
Klabu ya Simba Sc imetozwa faini ya jumla ya Tsh milioni tatu kwa makosa matatu waliyoyafanya katika mchezo namba 184 wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga Sc uliomalizika kwa Yanga Sc kushinda 2-0 katika dimba la Benjamin Mkapa mnamo Juni 25, 2025.
Kwa mujibu wa taarifa ya leo Julai 17, 2025 ya...
Kuishi kwingi ni kuona mengi,nimemuona Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani,akiwa na thamani kubwa kwa jamii,nikamuona Lipumba akiwa CUF,tulikuwa tunaambiwa tukiwa wadogo ni kati ya watu kumi duniani waliyosomea mambo ya uchumi,tukaaminishwa ni mshauli wa rais wa Uganda katika masuala ya...
Muhammad Ali alizaliwa tarehe 17 Januari 1942 huko Louisville, Kentucky, Marekani, akiwa amepewa jina la Cassius Marcellus Clay Jr. Alizaliwa katika familia ya Kiafrika-Amerika, na tangu akiwa mtoto alikumbana na changamoto za ubaguzi wa rangi. Ali alikuwa na roho ya kupambana tangu utoto wake...
Wakuu,
naombeni ,msaada wa ushauri,
Hivi ni sahihi kubadili dini kisa mahusiano? nimekua nikipitia wakati mgumu wa kufanya maaumuzi binafsi ya kubadili dini na kufuata imani ya mwenza wangu ninaempenda, tumeshindwa kufikia muafaka wa ndoa maana yeye hawezi kubadili dini ni mwanaume na kwa...
Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko kubwa la watu wanaodai kuwa ni watumishi wa Mungu au waumini wa dini fulani wakijitokeza kwenye mitandao ya kijamii Hasa tiktok, instragram na X, Kwakutoa mafundisho, maombi, na ushauri wa kiroho kwa watu. Je Kwa mtazamo huo wa juu juu, hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.