imani

Imani Hakim (born August 12, 1993) is an American actress. She is best known for her role as Tonya Rock on the UPN/CW sitcom Everybody Hates Chris as well as portraying Olympic gold medalist Gabrielle Douglas in the 2014 Lifetime original movie The Gabby Douglas Story.

View More On Wikipedia.org
  1. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mungu hamfurahii mtu anayesitasita. KANUNi za kimUngu zinazoendesha Dunia hazitakuunga mkono

    “Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani. Naye akisitasita, sina furaha naye.” Waebrania 10:28 👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿 Hiyo ni KANUNI. Ikifuatwa hata na mtu asiyemuamini Mungu anaona matokeo. Mungu na KANUNi zake ambazo zinaendesha dunia hazimsapoti mtu anayefanya mambo KWA kusitasita. Anataka au...
  2. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Neno langu la Imani kutoka kitabu Cha wanabii

    Kama ilvyoandikwa 1👉 Kama vile inzi waliokufa huacha harufu mbaya kwenye manukato, ndivyo upumbavu kidogo huzidi nguvu hekima na heshima. 2 👉 Moyo wa mwenye hekima huelekea kuume, lakini moyo wa mpumbavu huelekea kushoto. 3👉 Hata anapotembea barabarani, mpumbavu hukosa ufahamu na kudhihirisha...
  3. nasrimgambo

    JamiiForums Tanzania Imani Asili za Kiafrika, kufa kwake na kubaki kwake

    Kabla ya kufika dini zilizoingia nchini kwa meli, waafrika, wa hapa Tanzania ya sasa walikuwa tayari wana imani zao za asili. Ambazo zilitamalaki na watu wakaziamini kwa uwazi kabisa nazo zikaongoza maisha yao koroho. Sasa zinaonekana zimepotea, na kufyekelewa mbali na dini za uislamu na...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu anabiashara za kuuza majeneza pamoja na vifaa vya kuhudumia na yeye analalamika biashara ngumu ni meshindwa cha kumjibu.

    Hivi wote tunapitia kipindi kigumu kuelekea oktoba sijui ndo no reform no election.Yani na jirani yangu ana biashara vifaa vya msibani na anauza majeneza na ndio biashara yake iliyompa paka nyumba ila na yeye ana lalamika .
  5. Papaah

    JamiiForums Tanzania Hivi kwenye imani kuna Uchawi eeh?

    Inakuaje mtu mpaka anaanza kumwamin mtu kama Tonny na wengine wa aina yake kiasi cha kumpa hela ati akiita sadaka, kwenda kushinda na kukesha huko? Kwa akili ya kawaida haikuji, hawa huwa wanalogwa kwanza...🤔
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Coach Fadlu Davids alimhitaji Balla Conte, viongozi wa Simba wana Imani na Kagoma

    Uzembe wa viongozi wetu wa Simba. Leo Balla Conte amesaini Yanga Pendekezo la Fadlu Davids limepuuzwa na viongozi Viongozi wao wanahitaji Kagoma Hakika Rage alikuwa sahihi kutuita mbumbumbu
  7. Magodi Katuni

    JamiiForums Tanzania Maisha Na Imani

  8. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Simba yatozwa milion 3 kwa imani za kishirikina kwenye mchezo dhidi ya Yanga ilipofungwa 2-0

    Klabu ya Simba Sc imetozwa faini ya jumla ya Tsh milioni tatu kwa makosa matatu waliyoyafanya katika mchezo namba 184 wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga Sc uliomalizika kwa Yanga Sc kushinda 2-0 katika dimba la Benjamin Mkapa mnamo Juni 25, 2025. Kwa mujibu wa taarifa ya leo Julai 17, 2025 ya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Thamani ya mtu siyo pesa bali ni imani yake kwa jamii iliyompa imani zao

    Kuishi kwingi ni kuona mengi,nimemuona Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani,akiwa na thamani kubwa kwa jamii,nikamuona Lipumba akiwa CUF,tulikuwa tunaambiwa tukiwa wadogo ni kati ya watu kumi duniani waliyosomea mambo ya uchumi,tukaaminishwa ni mshauli wa rais wa Uganda katika masuala ya...
  10. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Muhammad Ali: Safari ya Mshindi Aliyepigana Ndani na Nje ya Ulingo – Hadithi ya Ujasiri, Imani na Urithi Usiofutika

    Muhammad Ali alizaliwa tarehe 17 Januari 1942 huko Louisville, Kentucky, Marekani, akiwa amepewa jina la Cassius Marcellus Clay Jr. Alizaliwa katika familia ya Kiafrika-Amerika, na tangu akiwa mtoto alikumbana na changamoto za ubaguzi wa rangi. Ali alikuwa na roho ya kupambana tangu utoto wake...
  11. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli kwamba Wale waliosilimu na kutaka kurejea katika imani yao ya asili lazima wauawe kwa mujibu wa sheria ya Kiislamu?

    hamis77
  12. U

    JamiiForums Tanzania Nimefarijika sana kusikia kwa Mchungaji kuwa kumbe makahaba na watoza ushuru wataurithi Ufalme wa Mungu

    Ni kwenye mahubiri ya wiki iloisha nimefarijika sana
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kubadili dini kisa mahusiano ni usaliti wa imani au ni Upendo?

    Wakuu, naombeni ,msaada wa ushauri, Hivi ni sahihi kubadili dini kisa mahusiano? nimekua nikipitia wakati mgumu wa kufanya maaumuzi binafsi ya kubadili dini na kufuata imani ya mwenza wangu ninaempenda, tumeshindwa kufikia muafaka wa ndoa maana yeye hawezi kubadili dini ni mwanaume na kwa...
  14. V

    JamiiForums Tanzania Je, Kuongezeka kwa Watu wa Imani Tofauti Kwenye Mitandao ya Kijamii wakifundisha Iman ni Dalili ya Nchi Kubarikiwa sana?

    Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko kubwa la watu wanaodai kuwa ni watumishi wa Mungu au waumini wa dini fulani wakijitokeza kwenye mitandao ya kijamii Hasa tiktok, instragram na X, Kwakutoa mafundisho, maombi, na ushauri wa kiroho kwa watu. Je Kwa mtazamo huo wa juu juu, hali...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Madaraka haya madaraka! Sasa hapa ni imani gani? Uislamu - Ukristo? Kisa Ikulu!

    AMEN, BWANA ASIFIWE
  16. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Wadau napoteza imani sana na imani ya kanisa langu

    Kiukweli muda unavyoenda na mimi napoteza imani sana kwenda kanisani kama ilivyo desturi kumuomba Mungu . Sababu inayonifanya kupuuzia kanisani ni Aina ya mafundisho yanayofundishwa.. throughout mwinjilisti au mchungaji ni kugusia mambo ya pesa mwanzo mwisho.. ni toa ndugu toa ndugu...
  17. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania “Kuondoka Kwenye Imani ya Dini: Kutoroka Mfungo au Kukosa Uelewa?”

    Kuna kipindi kijana anakua kwenye familia ya dini, amelelewa vizuri, kila Jumapili au Ijumaa yupo kanisani au msikitini, anajua kusali, anajua kusamehe, anajua kujizuia na makatazo ya imani… lakini ikifika miaka ya 20s, game inabadilika. Ghafla unamkuta yuko TikTok akisema “Mimi sio mtu wa dini...
  18. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Chaumma walisahau siasa ni imani

    Wakati Jon mrema na wenzake wako bize na press conference baada ya kuondoka chadema niliwashangaa sana Kwanini nasema hivi siasa ni imani ambayo unatakiwa uwajengee wananchi kwa mda mrefu na ina gharama sasa wakina Jon mrema na wenzake wakataka kutumia shortcut naamini wameona game lilivyokuwa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka kimekupata nini? It is a pity kuwa mtu aliyekuwa shujaa wa IMANI kutete haki leo Unatetea utekaji!

    Madeleka kugombea Ubunge Tabora kumekutoa akili kweli? Mbona ulikuwa shujaa wa IMANI katika Mungu na mkeo kaokoka? Leo unasema utekaji umepungu/haupo? Kweli? Umeshakuwa "chawa" wa ACT, but remotely chawa wa CCM! KWELI HAKUNA UTEKAJI?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ni ukosefu wa busara za kiuongozi kufanya uchaguzi wakati kuna section kubwa ya umma haina imani na uchaguzi huo

    Ni jambo la kushangaza, tena la kushangaza kwelikweli. Najiuliza iko wapi busara ya kiuongozi ya kuweza kuona kuwa Uchaguzi siyo jambo la kishabiki, siyo jambo la kuwa na camp ya "ufanyike" au "osifanyike". Mimi nilitegemea kuwa ingekuwa ni jambo la busara sana kwa uongozi kuona kuwa kamakuna...
Back
Top Bottom