imani

Imani Hakim (born August 12, 1993) is an American actress. She is best known for her role as Tonya Rock on the UPN/CW sitcom Everybody Hates Chris as well as portraying Olympic gold medalist Gabrielle Douglas in the 2014 Lifetime original movie The Gabby Douglas Story.

View More On Wikipedia.org
  1. Sijali

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya imani

    Nimeonelea badala ya mawazo ya kulaumu, kulalamika, kulaani…...nitoe mawazo ya kujenga angalau kujaribu kuepusha matatizo makubwa yanayoisogelea Tanzania. Ni matumaini yangu wakuu watayaona na angalau kuyafikiria. Kila mfuatiliaji atajua uchaguzi uliopita, mithili ya chaguzi zote zilizopita...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa wahimiza kuheshimiana kwa dini zote na imani ili kukuza utamaduni wa udugu na amani

    Mwakilishi Mkuu wa Muungano wa Umoja wa Mataifa (UN), Miguel Angel Moratinos, amehimiza kuheshimiana kwa dini zote na imani na kukuza utamaduni wa udugu na amani. Moratinos, katika taarifa yake ya maandishi, ameelezea wasiwasi mkubwa juu ya visa vinavyoongezeka na mvutano uliosababishwa na...
  3. Dotto Kajole Fimbo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Imani yangu kwa Rais Magufuli hiyo kesho tarehe 28/10/2020

    Licha ya kwamba Rais Magufuli hajafanya vizuri katika suala la ajira ila binafsi bado nna Imani naye kuelekea tarehe 28/10/2020 hivyo anastahili kupewa miaka mitano tena katika utawala wake. Kafanya mengi mazuri yakujivunia ukilinganisha na suala zima la uhaba wa ajira nchini. Ni ukweli...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kilimanjaro, Arusha na Manyara warudisha imani kwa CCM

    Hali ya mambo 2015 ilikuwa ngumu kwa CCM hasa baada ya Mh. Edward Lowassa kuhamia CHADEMA jambo lilolopelekea kura ya hasira dhidi ya CCM. Mwaka huu ni tofauti kwani Upinzani umekosa mwanaCCM maarufu na mwenye mtandao ndani ya CCM ambaye angeweza kuyumbisha chama. Wakazi wa Kaskazini wameamua...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Nimekosa imani na Msemaji Mkuu wa Serikali

    Inawezekana hata picha za SGR anazotuletea ni za uongo. Hali halisi.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rose Mhando: Magufuli tubebe watanzania tuna imani nawe!

    Jukwaa la wasanii katika kampeni za CCM limezidi kuimarika baada ya kuongezeka msanii wa nyimbo za Injili Rose Mhando. Rose amekuja na wimbo mpya wa kampeni "Magufuli Tubebe" Siasa ni sayansi. Maendeleo hayana vyama!
  7. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtu msafi kiroho hahitaji nguvu kubwa kushawishi watu bali kazi zake zitaonekana tu...

    Imani yangu inanikataza kushirikiana na watu au vitu viovu sasa ninapoona watu wakipanda jukwaani kutuhubiria mambo mazuri alafu watu haohao wanatumia watu ambao si wasafi kiroho kuvutia umati ujae ili kuwakiliza napata taabu sana kuwaelewa watu hawa tena utawasikia wakitoa ahadi na viapo...
  8. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sina imani na CHADEMA na Lissu tena, hata wakishindwa itakuwa sawa tu

    Mimi ni mpenzi wa Chadema wa kufa Mtu, naichukia CCM kuliko kitu chochote. Ndio kitu kinachoongoza kati ya vitu ninavyovichukia. Lakini ikatokea Chadema ikashindwa kihalali kabisa bila hila wala wizi wa kura wa Aina yeyote, yaani Watanzania wakaichagua CCM kwa moyo mweupe kabisa bila mashakani...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu hana uchungu hata kidogo na rasilimali za taifa hili

    Huyu namfananisha na Rais ambaye ni nazi, kwani nazi ukiiangalia nje inalangi nyeusi ukiipasua ndani ni nyeupe. Rais wetu mtarajiwa ni mweusi kwa nje ila ndani mawazo, fikra, utamaduni na hisia ni kuwa mzungu. Mwanzoni alipatakusikika akimsema vibaya Magufuli kwa kupuuzia mikopo kutoka ulaya na...
  10. Rajab_Omar

    JamiiForums Tanzania Sisi Timu ya Wananchi Hatuna Imani Tena na Kigwangwala kwa alichotufanyia

    Salaam Wananchi Wezangu Sisi Washabiki wa Dar Young Africans tunatangaza Wazi kuwa alichotufanyia Hamisi Kigwangwala ni Hujuma dhidi ya Wananchi, Alijitengezea Mgogoro na MO Dewj akatuhadaa sisi Wananchi tukaamua kumuunga mkono na kukomaa na yeye tukajisahau kama na sisi tuna Timu inahitaji...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

    Rais Magufuli amehudhuria misa takatifu ya uzinduzi wa Kanisa la parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino jijini Dodoma. Misa hii inarushwa mubashara TBC na Channel ten. Maendeleo hayana vyama! ========= Baba askofu mkuu amewataka waumini kuzusha macho kuuona uzuri wa kanisa na kuwaasa...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kama kweli CCM itawatia adabu waliotoa rushwa itajenga imani kubwa kwa wapiga kura (Watanzania)

    Taarifa zinasema kumekuwa na rushwa katika chaguzi za CCM kwa miongo kadhaa lakini wadadavuaji wa mambo ya kisiasa wanasema safari hii ilikuwa ni balaa, kwani kura zilipelekwa katika soko kama la hisa au mnadani wa kura kwani mwenye dau kubwa ndiyo alifanikiwa kununua kura za ushindi na mwenye...
  13. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sikubaliani na imani hii potofu ya kisiasa hasa wakati wa Uchaguzi kama huu

    Kila unapofika wakati wa Uchaguzi kama huu, yanasemwa na kufanywa mengi. Moja kati ya maneno yanayosemwa sana ni kugawana/kugawa kura kwenye Uchaguzi. Kauli hii ndiyo imekuwa hoja hata ya kuwataka wapinzani waungane. Pamoja na kukiri kuwa umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu, kwenye Uchaguzi...
  14. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na Humphrey Polepole

    KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA? Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana. Mwananzila alishika nafasi ya...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya jana imenisaidia kuitafakari imani yangu kwa dakika kadhaa

    Jana nilipanda treni kwa safari ya masaa manne. Mlangoni alikuwepo mhudumu na kipima joto na kuhakikisha wote tuna barakoa kabla ya kuingia ndani pia kulikua na meza yenye sanizer pembeni. Tuliambiwa tukae mbali na abiria wengine la kama mmetoka nyumba moja mnaweza kukaa pamoja. Sasa alikuja...
  16. MAMESHO

    JamiiForums Tanzania Usiweke imani yako kwa mtu au kitu

    Habari wakuu. Natumai mu wazima wa afya na bado mnachukua tahadhari za COVID 19. Pengine kichwa cha habari kimekuvuta upite hapa. Karibu sana. Kati ya vitu ambavyo vimenisaidia kukomboa fikra moja wapo ni hiki ninachokueleza leo. Umewahi kuwaamini watu ukawapa dhamana ya jambo fulani na hata...
  17. TandaleOne

    JamiiForums Tanzania ITIKADI ni imani; Membe amepotoka na amefanya uamuzi wa kijinga

    Watu wameendelea kutoa maoni yao kuhusu uamuzi wa aliyekuwa Kada na Kiongozi mwandamizi wa Chama na Serikali, Mzee wangu Bernerd Membe kujitoa rasmi katika Chama cha Mapinduzi, nimeonelea kuwa ni jambo lenye manufaa nami nikaungana na watanzania wengine katika kutoa mtazamo wangu katika kadhia...
  18. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania Ndoa ilivyoteteresha imani yangu (Kisa Cha Kweli)

    Mkasa : NDOA ILIVYOTETERESHA IMANI YANGU Mwandishi: IRENE MBOWE (Irene Mbowe Kungwi Lao) Imeletwa kwenu na: BURE SERIES Hiki ni kisa cha ukweli kabisa, anachokielezea Flora, Mwanamke ambaye anakiri Imani yake kutereteka kwa sababu ya Ndoa yake. Alikuwa na alilelewa kwenye familia yenye...
  19. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ummy Fussi wapiga kura wa jimbo la Mpwapwa tuna imani kubwa kwako usituangushe.

    Sisi wananchi wa jimbo la uchaguzi la Mpwapwa tuna imani kubwa na wewe Mhe. Ummy Fussi kwani tunategemea utampokea kijiti cha uongozi wa uwakilishi Mhe. George Malima Lubeleje ambaye amefanya kazi kubwa sana ya kutuwakilisha kwa zaidi ya miaka 30 lakini sasa utu uzima umemfika. Mhe mtalajiwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Bunge zima wakiwemo wabunge wa CHADEMA na NCCR Mageuzi waimba "Tuna Imani na Magufuli"

    Rais Magufuli ni chaguo la Mungu. Bunge zima lilisimama wakiwemo wabunge wote na wageni wote na kuimba wimbo wa " Tuna Imani na Magufuli" Bunge limewaomba wananchi wajitokeze mwezi Oktoba na kumchagua Dr. Magufuli na wabunge na madiwani wanaoendana na kasi ya Hapa Kazi Tu Chanzo: Eatv...
Back
Top Bottom