ilala

Ilala is an ancient town in Irepodun LGA, Kwara State. It is situated in the northeastern region of Kwara State and ruled by a monarch usually referred to as Aala of Ilala. The present Aala of Ilala is Oba Abd'Wahab Osuolale Adeyemi, Oyebamire II.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Biashara kufanyika ndani ya Barabara yenye msongamano wa magari na Watu Gongolamboto, TANROADS na Manispaa ya Ilala mkoa wapi?

    Baada ya ujenzi wa barabara ya mwendokasi kukamilika maeneo ya Gongolamboto, wafanyabiashara ndogo yaani Machinga sasa wameamua kupanga biashara zao hadi katikati ya barabara, matokeo yake sasa kuna foleni kubwa nyakati za asubuhi na jioni. Dalili ya kuongezeka kwa wafanyabiashara katika eneo...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 DC Ilala ahimiza ujenzi upya wa Ofisi zilizoharibiwa wakati wa Vurugu Oktoba 29

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka watumishi wa umma katika wilaya hiyo kuendelea kutoa huduma kwa wananchi licha ya changamoto zilizojitokeza baada ya baadhi ya ofisi zao kuharibiwa. Akizungumza wakati wa kufanya tathmini ya maeneo yaliyoharibiwa, Mpogolo alisema kuwa Serikali...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2002 nilitupiwa Majini pale Ilala. Yakaja yakakuta nakula kitimoto

    Hii hadithi ni ya kweli kabisa. Kwa wakazi wa Ilala wachache wanaweza kuwa wanaikumbuka. Sitotaja details nyingi lakini kwa wale wanaofahamu maeneo yale ya Shariff. Nilipanga kule Si haba miaka hiyo nina kausafiri kangu kama mnazifahamu Toyota Baloon. (Kama sasa vijana wanavyohangaika na Toyota...
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zungu awashukuru wajumbe wa Ilala kwa kumpigia kura

    Anafikika kwa urahisi kabisa na wanajimbo wake, iwe usiku au mchana, mpigie nauguliwa pah, 50,000/- tayari kwenye simu, kuna kadaraja hapa kanasumbua wananchi pah, kesho saa ine asubuhi amefika, barabara yetu mbovu sana mara pah, amefika mnajadili kwa ushirikiano na madiwani, infact sikuwahi...
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Ilala, DC Ilala fuatilieni Shule maeneo ya Vituka, Watoto wanabebeshwa Matofali na Michanga kwa ajili ya Ujenzi

    Kwako Afisa Elimu Ilala, Poleni na majukumu ya kila siku. Kuna shule moja ambapo mtoto wa rafiki yangu amehamia mwaka huu. Kwa wanachoona watoto, inasikitisha sana sana. Ile shule inaonekana ujenzi unaendelea wa mabweni na mengineyo. Wanachofanya shule ni kubana matumizi. Kila jioni...
  6. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Njia ntakayotumia kuboresha maeneo kama Magomeni, Mburahati, Kigogo, Mabibo, Manzeshe, Kinondoni, Mwananyamala, Kijitonyama, Sinza, Ilala, Keko n.k

    Hayo maeneo ni sehemu ya city centre kwa hiyo yanatakiwa yaboreshwe Zifuatazo ni njia ntakazotumia kuboresha na kuyafanya ya kisasa ntatumia njia zifuafazo Hayo maeneo yatajengwa gorofa kuanzia 5 na mpaka 100 Wale wote wenye maeneo watatoa maeneo hayo na kuwapa madeveloper Madeveloper watajenga...
  7. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mussa Zungu atia nia kugombea ubunge jimbo la Ilala

    Mussa Zungu, alikuwa Mbunge wa Jimbo la Ilala na Naibu Spika amechukua fomu kuomba nafasi kwa mara nyingine kwenye jimbo hilo la Ilala. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Hongera sana daughter kwa kuchaguliwa form 5 first selection. Shule ipo Ilala ( Sema ni Day)

    Hongera sana binti wa Likud kwa kuchaguliwa first selection form five. Shule ni ya day, ipo Ilala, Dsm. Ada elfu 20 kwa mwaka... Duh wacha nikimbie zangu One Point ya Chax nikajipongeze na kawine kangu ka elfu arobaini. Duh my budget was 50 Cents. Matokeo yamekuwa Jay Z. Sio kawaida kwa mtoto...
  9. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mshangazi wa Ilala alivyowasambaratisha kwa ugonjwa hatari wanamuziki wabendi kubwa nchini

    Kuna bendi moja kongwe ya muziki wa dansi, sitaitaja jina. Wanamuziki wake walipukutika kama Uyoga ndani ya miongo miwili ni kama walikwisha. Unajua sababu? Jimama la Kimanyema mixer Kiarabu shombeshombe, mshangazi white mkazi wa Ilala Sharifu Shamba ni kama alitumwa, aliwagawia dozi mmoja...
  10. iddy mweka

    JamiiForums Tanzania Usaili wa ajira za polisi 2025

    Jamani naomba nisaidieni location ya ofisi ya polisi wanapofanyia usaili (kuanzia kesho) kwa watu wa kidato cha nne na sita wilaya ya ilala. siku na muda kamili kwa ziada ya maelezo nitashukuru
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Ilala ni kubwa igawanywe ipatikane wilaya ya Ukonga

    Wilaya ya Ilala ni kubwa ambayo inahusisha mjini kwa maana ya kariakoo na posta pamoja na miji ya pembezoni kama Tabata, Segera, Kinyerezi, Maramba, Kitunda yote hadi Kivule,Ukonga, Gongo la mboto na vitongoji vyake ikiwa ni pamoja na chanika na maeneo mengine kama majohe pugu bomba mbili bwera...
  12. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kifahari inauzwa mbondole wilaya ya ilala dsm bei ya kutupa

    🏠NYUMBA INAUZWA MILIONI 33 📍ipo MBONDOLE DAR-ES-SALAAM🇹🇿 Ni njia ya Chanika ukitokea MBAGALA rangi 3 kujia CHAMAZI AZAM COMPLEX Pia unaweta kutokea Njia PANDA YA KIVULE AU KUPITIA MOMBASA YA GONGOLAMBOTO NJIA PANDA YA KIVULE ZOTE NI NJIA KUJIA MBONDOLE ✅ ✍🏻Ina Vyumba vitatu ✍🏻SEBULE ✍🏻JIKO...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC Mpogolo: Miaka minne Ilala imepokea zaidi ya bilioni 317 ya miradi mbalimbali ya maendeleo

    Mkuu wa wiyala ya Ilala Edward Mpogolo amemshukuru Rais Dkt. Samia kwa kuendelea kutoa pesa Halmashauri ya Ilala na kuweza kutekeleza Miradi mbali Mbali katika wilaya hiyo Mpogolo amesema katika kipindi cha miaka 4 ya Rais Dkt. Samia zaidi ya Bilioni 317 zimetolewa kwenye wilaya ya Ilala na...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Serikali kujenga vituo vya polisi Ilala kuimarisha usalama

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema serikali itaendelea kusimamia na kutekeleza maagizo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu ujenzi wa vituo vya polisi ili kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao. Mpogolo amepongeza hatua za Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es...
  15. dorge

    JamiiForums Tanzania Serikali inashindwaje kuongeza EMS zake? Temeke kuna ipi, Ilala ipo ipi? Kwanini zinejaa mjini?

    Wizara ya elimu ina maprofesa wapuuz mno. Inaamini maskini wa Tabata, Buza, Goba, mbezi hawawez kupeleka watoto shule za laki 5? Mkenda na wezako wa TAMISEMI mnashida ipi? Mkiigeuza Jica primary mnashindwa nini? Acheni hizo. Hii nchi ni as if tuanza kiushi nyumba ya kupanga.
  16. edwin89

    JamiiForums Tanzania KERO Eneo la Magole kwa Mpemba mchafu Kumekuwa na changamoto ya umeme mdogo

    Kilio hiki ni Cha wakazi wa magole, kitunda dar es salaam. Kumekuwa na changamoto ya umeme mdogo kwenye eneo la magole kwa mpemba mchafu . Hili tatizo linadumu zaidi ya miaka 2 sasa. Matumizi yameongezeka lakn Tanesco hawajabadili transforma, umeme ni mdogo hata friji na pampu za maji haziwaki...
  17. V

    JamiiForums Tanzania NAUZA MABALO YA MTUMBA NAPATIKANA ILALA BOMA 0657710078

    Karibuni sana vunjabeimtumbagrade1 wauzaji wa balo za mtumba grade 1 tuna balo za nguo aina zote Leo nawapa Bei ya nguo baadhi tu ✅Jeans kiume 450000 kike 320000 PC 80 mpk 90 ✅nguo ya mtoto 400000 PC 350 ✅ gauni 400000 PC 130 ✅blouse 380000 pc 280 ✅shati 900000 PC 200 ✅viatu 250 PC 40 ✅ school...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania DC wa ILALA Asubuhi kaja na "HALA BI MKUBWA" akishirikiana na Mwijaku, Jioni anakuja na CCTV za zaidi ya Million 500 !!

    Mbwembwe za kumtumia Mwijaku na Yale Makamera, Lengo lake Sasa ni hili la CCTV Kwa zaidi ya Milion 500 . Hapo anajua Kamtekenya Mama, kwahiyo Hatoulizwa hiiii gharama vipi? Sawa ni Cameras, kuwepo na Center ya uchakataji wa Taarifa , bado Milioni 500? Jamaa anakula na Kupuliza. sOMA: Pre...
  19. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC wa Ilala na Mwijaku wasema kampeni ya 'Hala Bi Mkubwa' itanadi kazi zilizofanywa na Rais Samia

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Dar es salaam Edward Mpogoloe amesema kampeni ya ‘Hala Bi Mkubwa” iliyoanzishwa na Mtangazaji Barton Mwemba maarufu Mwijaku itasaidia kunadi kazi nzuri zilizofanywa chini ya Uongozi wa Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Katika uzinduzi...
  20. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Kimara Temboni Mbaliii... Ilala na Nyumba Kali

    https://youtu.be/vOANYMxL3uE?si=pmkUckiKzMBay6eh
Back
Top Bottom