ilala

Ilala is an ancient town in Irepodun LGA, Kwara State. It is situated in the northeastern region of Kwara State and ruled by a monarch usually referred to as Aala of Ilala. The present Aala of Ilala is Oba Abd'Wahab Osuolale Adeyemi, Oyebamire II.

View More On Wikipedia.org
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wazazi walalamikia walimu Ilala, kisa chakula cha shule

    BAADHI ya wazazi katika Kata ya Kivule, Ilala - Dar es Salaam wametupia lawama Shule ya Msingi Anex, Serengeti na Kivule kwa madai ya kuwatenga, kuwanyanyapaa wanafunzi ambao wazazi wao wameshindwa kuchangia shilingi 1,500 ya gharama ya chakula na masomo ya ziada katika shule hizo. Wakizungumza...
  2. Mr Why

    JamiiForums Tanzania KERO Natamani kupata majibu kutoka TANESCO Chanika, Ilala kulikoni mnakata sana umeme huko? Shangazi yangu anaishi huko anadai umeme unakatika hata mara 10

    TANESCO Chanika, Ilala tunaomba ufafanuzi wa kwanini umeme unakatika sana Chanika mwisho pale eneo lote la Stand ya Mbagala Nina shangazi yangu anaishi Chanika mwisho anadai umeme unakatika sana kiasi kwamba wakazi wengi wanachoshwa sana na hilo tatizo Alinieleza umeme unakatika hata mara 10...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka na Watu wa Afya ya Mazingira mpo wapi kusimamia Soko la Vyakula Ilala Boma jijini Dar?

    Hii ni picha ya watu Wanafanyabiashara juu ya maji taka yanayosambaa eneo hilo la soko. Kwa Hali hii tutapona milipuko ya magonjwa? Au tunasubiri mlipuko uanze kisha ziundwe Kamati kufuatilia? Kipindupindu kikianza kinaharibu shughuli zote na uchumi wa mtu mmoja mpaka familia.
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maafisa biashara Ilala wanashurutusha wafanyabiashara kulipa fine kwa kutumia nguvu

    Hii imenitokea Niliandikiwa fine ya laki 3 Nikaomba control number Ila niliwaomba niwalipe siku inayofata wakakataa na kunilazimisha nilipe siku hiyohiyo. Baadae wakanipakia Kwa Bajaj peke yangu na kunipeleka stakishari police huku njian nikipewa vitisho na kuwekwa ndani usiku kucha bila utetezi...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA, Ilala: Mbowe atoe tamko kuhusu wapambe wake

    Mwanachama wa Chadema, Waziri Mwanyevyale, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama hiko Mkoa wa Ilala, amemtaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe kutoa tamko, kuhusu baadhi wa wanachama wa Chama hiko wanaotukana wenzao mtandaoni, kwa baadhi ya watu ambao wameonesha nia ya kugombea.
  6. A

    JamiiForums Tanzania KWA UAMUZI HUU, KWA NINI NISIAMINI HAKIMU ZENAS TARIMO WA MAHAKAMA YA MWANZO ILALA AMEPEWA RUSHWA NA TIGOPESA (HONORA TZ MOBILE SOLUTI KUPINDISHA HAKI

    Ndugu wana jamvi kwa uamuzi wa hovyo hivi ni kwa nini nisiamini kuwa huyu hakimu ni mla rushwa? Amehongwa na kampuni ya honora tz mobile solutions ili kufuta kesi hii. Ni utaratibu kuwa watoa huduma za fedha wanasimamiwa na benki kuu chini ya sheria ya Bot Act na Bot financial consumers...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uozo na ukiritimba Mahakama ya Mwanzo Ilala

    Ni jambo la kusikitisha kwamba mahakama ya Mwanzo Ilala haina njia mbadala ya kufanya shughuli zanazotegemea umeme kuendelea kama kawaida pale umeme unapokatika. Kuna watu waliahidiwa kufuata nakala za hukumu ila wameshindwa kupata kwa kuwa umeme hakuna. Kinachokera zaidi kituo cha polisi...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded DAWASA: Chemba ya maji taka iliyokuwa inamwaga maji ya taka Ilala sokoni, imetengenezwa

    DAWASA Wametengeneza Chemba iliyokuwa inamwaga maji taka Ilala Sokoni. Awali Mdau wa JamiiForums.com alisema, "Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana kutokana na chemba ya maji taka kuziba na kutiririsha maji taka yenye kinyesi barabarani ambapo wafanyabiashara wa soko la mbogamboga na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded DAWASA shughulikieni hii chemba ya maji taka inayomwaga maji ya kinyesi ILALA sokoni, Mtaa wa TABORA na UHURU mkabala na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

    Taarifa hii iende moja kwa moja kwa mamlaka ya Maji safi na maji taka mkoa wa Dar-es-salaam, DAWASA na wadau wote wa mazingira na Afya kwa ujumla. Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana kutokana na chemba ya maji taka kuziba na kutiririsha maji taka yenye kinyesi barabarani ambapo...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Eneo la Ilala Sokoni karibu na Ofisi ya RC na DC hali ni mbaya, maji ya kinyesi yanatiririka eneo la kufanyia biashara

    Kipande cha barabara inayopita kwenye Soko la Ilala Boma Jijini Dar es Salaam, Mtaa wa Tabora hakipitiki kipo kwenye hali mbaya kutokana na kuwa na mashimo makubwa huku maji huku pia majitaka kwenye mashimo hayo. Lakini katika hali ya kushangaza katika eneo hilo biashara ya vyakula hususani...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mkuu Wa Wilaya Ya Ilala Edward Mpogolo apiga kura kuchagua mwenyekiti wa mtaa na wajumbe

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo amewasili na kutimiza Haki yake ya Msingi ya Kikatiba ya Kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao Leo Novemba 27, 2024 unafanyika Tanzania Bara. DC Mpogolo amepiga kura yake katika Mtaa wa Karume uliopo Kata ya Ilala, akiwa hapo amewahimiza...
  12. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Afisa Maendeleo ya Jamiii Ilala Bi Rhoda Mwanyangala apata ajali na Kufariki

    Jioni ya Tarehe 25/11/2024 imetuletea simanzi mara baada ya Mtumishi huyu Mwema atisa Maendeleo ya Jamiii Segerea Rhoda Mwanyangala kuaga dunia. Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Luguruni akiwa kwenye bodaboda kurejea Nyumbani kwake mara baada ya Gari lililobeba wanafunzi kufeli break muda ambao...
  13. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Amos Makalla: Mitaa 59 Ilala kusimama bila Wapinzani

    Kwa mujibu wa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Amos Makalla amesema kati ya mitaa 159 ya Wilaya ya Ilala, Jumla ya Mitaa 59 hakuna mpinzani hivyo wagombea wa CCM watapigiwa kura ya ndio na hapana wenyewe. Makalla ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni...
  14. F

    JamiiForums Tanzania KERO Malamiko ya wagonjwa Hospitali ya Mnazi Mmoja Ilala

    Nimefika Hospitali ya Mnazi Mmoja Ilala Jijini Dar esa salaam. Baadhi ya wagonjwa wanalalamikia ucheleweshaji wa huduma mbalimbali zitolewazo hospitalini hapo. Tusikilize baadhi ya wagonjwa akiwemo mama huyu mgonjwa ambaye amefika hospitalini hapo kwa ajili ya kupata huduma toka asubuhi ya saa...
  15. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ilala: 2 Storeys Warehouse for Sale - Dar

    • Direction: Shariff Shamba • Plot/Floor Area: 367 sqm • Document: Title deed • Price: TZS 550 million • Viewing charge: TZS 30,000 . ✓ jengo ni la ghorofa 1 ✓ ghala lipo chini na juu ✓ ofisi zipo ✓ kiwanja kimejaa ✓ gari inaingia ndani ya ghala ✓ umeme 3 phase ✓ lipo kwenye barabara ya lami ...
  16. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Rent Ilala: 3rd Floor 3 Bedrooms Apartment For Rent - Dar

    • Direction: Sharifu Shamba • Rent: USD 500/month (payment in TSh is accepted) • Terms: 6/12 months • Brokerage fee: USD 500 • Viewing charge: TZS 20,000 . ✓ unfurnished ✓ lift & power backup generator ✓ 1 masters & 2 common bedrooms, sitting room, dining room, modular kitchen, common...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kati ya Ilala dar es salaam na nyamagana mwanza . Wilaya ipi imeendelea?

    Habari wadau . Nataka kufaham kati ya wilaya ilala (Jiji) dar es salaam na wilaya ya nyamagana (Jiji) mwanza. Ip imeendelea kimajengo, miundombinu, mapato na huduma za kijamii
  18. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale House4Sale Ilala: House/Plot For Sale - Dar

    • Direction: Sharifu Shamba • Facilities: 3 bdrm, 2 washrooms • Plot Area: 240 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 260 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ inajitosheleza vyumba master 1 na kawaid 2 ✓ mitaa imetulia na imepangika . • In Real Estate We Connect ☎💬 +255767157788 •...
Back
Top Bottom