Ilala is an ancient town in Irepodun LGA, Kwara State. It is situated in the northeastern region of Kwara State and ruled by a monarch usually referred to as Aala of Ilala. The present Aala of Ilala is Oba Abd'Wahab Osuolale Adeyemi, Oyebamire II.
Licha ya Serikali kutangaza kuibuka kwa Ugonjwa wa Kipindupindu katika Wilaya ya Ilala, bado hali ya Masoko ya Vyakula ni mbaya kwenye suala la Usafi kutokana na miundombinu mibovu ikiweko kukosekana mifereji ya kupitisha Maji Machafu, Uhaba wa Vizimba unaosababisha Wafanyabiashara kupanga...
Wakuu, kwa wakazi wa jiji la Dar tunatumia SOKO la Ilala kujipatia mahitaji yetu pale, ni aibu na udhalilishaji wa binadamu kuona binadamu anaweza kununua kitu cha kwenda kula toka pale.
SOKO hili lipo kama mita 150 toka ofisi ya mkuu wa mkoa Dar es Salaam na km 5-6 toka Ikulu ya Magogoni...
Waziri wa Mazingira upo? Mbunge upo, Diwani upo, Jiji mpo, Waziri wa Afya upo, NGO mko wapi, wakazi wa maeneo haya tunaangamia?
Mbona hamumsaidii Rais wetu mpendwa Samia, ilihali amewaamini kuwaweka kwenye nafasi hizo?
Wananchi wakianza kufa msiseme hamkuambiwa.
Hapa Mwanagati wilayani, Ilala...
MBUNGE MHE. NANCY NYALUSI AMETOA SHILINGI MILIONI 10 KUSAIDIA UJENZI WA WODI YA WANAWAKE ILALA SIMBA.
MBUNGE wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Iringa Mhe. Nancy Nyalusi ametoa Shilingi Milioni 10 kwa uongozi wa kijiji cha Ilalasimba kilichopo katika kata ya Nzihi kwenye Halmashauri ya wilaya ya...
Wana JF nimeanza kuitangaza barabara hii ni kivutio ambacho kinavutia kwa maana kuwa inavutia.
Kwanza tunatakiwa kujua utalii ni kutoka sehemu moja kuelekea sehemu tofauti kwa nia ya kuona yaliyopo huko na kwamba binadamu anaweza kuvutiwa kuona na mambo mabaya na mazuri, ila mara nyingi...
Wakuu salama
Mwenye uzoefu wa maeneo ya kata ya MSONGOLA wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam aniambie juu upatikanaji wa viwanja na bei zake zipo vipi.
Naamini humu jukwaani kuna watu wana maeneo huko naombeni msaada wenu wakuu...
Nawasilisha.
Habari zenu!
Jana wakati narudi zangu nyumbani usiku nikakatisha mtaa wa Nzasa unapokutana na Mtaa wa Morogoro hapa ilala ,jijini dar-es-salaam nikakutana na rundo la takataka .Ni muda takribani wiki sasa halmashauri ya jiji imeshindwa kazi ya kulifanyia usafi soko kuu la mbogamboga la ilala...
Habari zenu wakuu!
Siku ya jana nilifanikiwa kupita mitaa ya Soko la ILALA, jijini Dar-es -salaam,maarufu kwa uuzaji wa mbogamboga na matunda. Nilikuta hali ya usafi wa soko hilo ni mbaya kabisa kiasi kuhatarisha afya za wauzaji na wanunuzi wa bidhaa za matunda na mboga mboga. Yapata miezi...
Habari za wakati huu wadau, mimi ni mwanachuo niliyemaliza mwaka huu masomo Physics na Mathematics, katika pita pita zangu nimekutana na hii kwamba manispaa ya Ilala inatoa ajira za mkataba kwa walimu wa sayansi.
Nilitamani kuielewa hii kwa undani kwa watu wenye kulijua hili kwasababu pia...
Na ukitaka 'Kitoweo' chako chochote kichinjwe vyema jitahidi sana umtafute Muislamu halafu awe ni Mwarabu wa 'Kisudani' utafurahia show yake ya uchinjaji ambayo mara nyingi huianzia Saa 3 kamili usiku baada ya kumaliza kuswali saa 2 kamili usiku.
Leo nimejikuta nimekumbuka maisha ya zamani miaka 80 mpaka mwanzoni wa 2000 kwa wale tuliokulia Ilala.
Jana usiku nimepita Ilala mitaa ya sokoni nikashangaa mabadiliko makubwa niliyoyaona.
Kwa wale wanaijua ilala magorofa yalikuwa yanahesabika ilala. Kulikuwa na gorofa la Kidevu, Mzee Makaranga...
Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa shughuli za umma na ufisadi ulitamalaki.
Katika utawala wake, hakuna mradi wowote wa maendeleo...
Jeshi la Polisi limemkamata Gamariel Swai (43) mfanyabiashara na mkazi wa Mbezi kwa tuhuma za kuuza spea za magari zilizoibwa kwenye magari ya watu mbalimbali. Duka lake lipo Mtaa wa Songea, Ilala.
Awali, Jeshi la Polisi tarehe 23 Julai 2022 lilipokea taarifa ya wizi wa vifaa vya gari huko...
Mpaka usiku huu mkubwa bado watu wanatupigia makelele kisa kudhulumiwa matokeo au kukataa kutolewa matokeo kwa uongo wa simu /maelekezo kutoka juu.
Maelekezo yenyewe yana kanganya hivyo huenda hayajatoka juu.
Kata ya Ukonga wamelazimisha kupita Batenga ilhali haishi ukonga. Mgombea mwenzake wa...
Kwa wakazi wa Gongo la Mboto mitaa ya Mzambarauni kuna kunguru wengi sana kila siku jioni huwa wanakusanyika wakitoka kwenye mahangaiko ya kila siku sasa sijajua kama wakazi wa Gomz wanafuga kunguru hawa au wameamua tu kuchangua pale ndo pawe makao makuu kwa upande wa Ilala.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamtafuta mtuhumiwa ZHENG s/o LINGYAO, 42, raia wa China Mkazi wa Dar es Salaam kwa tuhuma za kumuua FU s/o NANNAN, 26, Raia wa China, mfanyabiashara na mkazi wa Kalenga Ilala Dar es salaam.
Tukio hilo limetokea tarehe 11/06/2022, Mtaa wa Kalenga...
Walimu wa Biology na Chemistry wa Shule ya sekondari ya Ilala, kwanini mnawauzia wanafunzi notes badala ya kuwapa bure?
Wenyewe mnaita vitini mnauza Tsh. 200/= kwa 500/=, nyie mnatutia hasara wazazi kulipia kitu ambachoo mlitakiwa kuwapa bure na ni wajibu wenu kukuandika notes ubaoni ili...
CCM kiko katika chaguzi zake za ndani (kuanzia ngazi za mashinq, Malawi, Kata, Wilaya, na Mikoa) nchi nzima katika kipindi hiki. Ni Utaratibu mzuri wa Chama Tawala uliojiwekea ambapo wanachama wake katika maeneo husika hutumia fursa hii ya kidemokrasia ndani ya chama kugombea nafasi mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.