igp

IGP is an online retailer of personalised, floral, gourmet and handmade gifting products. The company is headquartered in Mumbai, India and has offices in India, Singapore and the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Said Mwema ni IGP pekee aliyejikita ku-transform jeshi kutoka Ulimwengu wa Tatu kulipeleka Ulimwengu wa Kwanza, (community policing is global agenda)

    Mzee Said Mwema live long, you did what IGP suppose to do. Ulifanya Kwa uelewe na maarifa makubwa. Ulifanya jamii kuwa sehemu ya ulinzi wa nchi, ulitenganisha kazi ya Polisi na kazi ya siasa. Ulitambua wapi Kuna siasa na uingieje katikati ya wanasiasa nakuwadhibiti wasikulazimishe kutenda...
  2. John Haramba

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ex. SACP. Jacob Massawe Mwaruanda afariki Dunia

    IGP Simon Nyakoro Sirro ametangaza msiba wa Ex. SACP. Jacob Mwaruanda uliotokea jana Februari 15, 2022 katika Hositali ya Benjamini Mkapa, Dodoma alikokuwa akipatiwa matibabu. Sirro ameeleza taratibu za mazishi za marehemu ambaye aliwahi kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa zinaendelea kwa...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Ni aibu sana kuruhusu jambazi kutawala nchi yetu

    My Take 1 Sirro anapenda sana kuita-ita neno gaidi. Naona anarahisisha sana mziki wa magaidi. My Take 2 Sirro kama hawezi kuondoka mwenyewe aondolewe kwa nguvu. Kashfa ya askari wake kufanya ujambazi haisafishiki ====== Kamanda Sirro: Ni viongozi ambao tunawategemea kwenda kuwasaidia...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro, yanayoendelea kwa Jeshi la Polisi siyo dalili nzuri kwako na kwa taifa

    Matukio makubwa yanayoendelea hapa nchini Tanzania ni kuhusu mauaji, wapo wanaowaua wengine na wengine wanajiua, daa! Bongo hali mbaya. Lakini upande wa pili kuna kesi na taarifa kadhaa kuhusu askari polisi kuua raia na wengine kuuana wao kwa wao. Mtwara kule kuna kesi ya askari kuua...
  5. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Benedict Wakulyamba amrithi IGP Sirro

    Salamu kwenu wadau!!! Nchi yetu kupitia jeshi la polisi imeingia dosari kubwa baada ya polisi kuhussishwa na mauaji mengi ya RAIA nchini, hii nikutokana na aidha majukumu yao au ni ishara ya kuhitaji uongozi mwingine mpya. Au bahati mbaya yawezekana. Rejea maujaji ya Mtwara ya mfanyabiashara...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Waziri kaambiwa na Rais ajitafakari, yeye na IGP hawauelewi msamiati huu?

    Jana Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Mwanza, amemuambia Waziri wa Mambo ya Ndani, Yusuph Masauni ajitafakari kwa mauaji yanayoendelea nchini. Hadi Sasa waziri yupo kimya. Je yeye na IGP hawauelewi msamiati huu wa kiswahili?
  7. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania CP Salum Hamduni anastahili kuwa IGP Mpya

    Wajameni sihitaji kuongelea sura ya mtu, Imani, rangi au ukanda, hapa nazungumzia weledi na hofu ya Mungu. Huyu bwana ana busara, mweledi, mwelewa, ana hofu ya Mungu na ni Mchapakazi. Kutokana kama kashfa nzito zinazolikabili jeshi la polisi hivi sasa, ni kweli linahitaji mtu aina ya Salum...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Suzan Kaganda unaenda kuwa IGP, usije kutugeuka Wananchi. Umsaidie Rais Samia kuleta mabadiliko chanya

    Salaam Wakuu, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP) Suzan Kaganda tunaomba usituangushe, Usituabishe. Tumefanya kazi kubwa kuelezea sifa zako na umahili wako hasa wa kutenda haki. Sasa usimuangishe Rais Samia. Simamia kile unachokiamini. Mimi najua baadhi ya Malengo yako. 1)...
  9. kapikita

    JamiiForums Tanzania Dar: Trafiki wa Tegeta kwa ndevu wanatunyanyasa

    Kumekuwapo na unyanyasaji mkubwa na usumbufu unaofanywa na askari pamoja na mgambo eneo la Tegeta kwa ndevu barabara ya bagamoyo. Askari hawa huvamia bodaboda kwa nguvu na kuchomoa funguo ukiwa katikati ya barabara suala linaloweza sababisha ajali. Wakishakukamata kipaumbele chao cha kwanza...
  10. K

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro hatoki kwenye hili la Jeshi la Polisi kuhusishwa kwenye mauaji ya raia

    Raisi Samia sasa ndiyo anaamka usingizini na kugundua Sirro sio IGP mzuri. Sirro aliwekwa kwa ajili la kuwapiga na kuwanyanyasa wapinzani wakati wa Rais Magufuli lakini hakuwa na uwezo wala busara za kuwa IGP. Polisi ndiyo walikuwa wabebaji wa kura za wizi kila mahali kwenye uchaguzi 2020...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kilindi, Tanga: Watu watano wauawa kwenye mapigano ya Wakulima na Wafugaji

    Mkuu wa wilaya ya Kilindi, Abel ameongoza kamati ya ulinzi na usalama wilayani kusaka miili ya marehemu waliouawa katika mapigano ya Wakulima na Wafugaji wilayani Kilindi. Tayari miili mitano imeshapatikana na polisi wameweka ulinzi mkali. Chanzo: ITV habari ===== Watu watano akiwemo...
  12. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro unasubiri nini kujiuzulu kwa kashfa hizi za Jeshi la Polisi?

    Mzee Siro kutokana na uzoefu wako wa Operations mbalimbali ulizosimamia nchini kwa mafanikio makubwa tulijua unaweza kuliongoza jeshi la Polisi katika weledi mkubwa lakini matokeo yake umeonekana kushindwa kabisa kuja na mbinu mpya na za kisasa kuendesha jeshi hili. Jeshi linakuwa na kashfa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Suzan Kaganda awe IGP ajaye

    Ingekuwa maoni yangu! Ningeshauri nafasi ya IGP ateuliwe mama mmoja anaitwa SUZAN! Huyu mama ukiweka pembeni madhaifu ya kimfumo, anaouwezo mkubwa sana wa kusimamia maswala ya usalama wa raia na Mali zake! Huyu mama hapendi kabisa kuona magwanda ya jeshi yanatumiwa na watu wenye roho za...
  14. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro soma alama za nyakati, jiuzulu

    IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkombozi wa jeshi la polisi. Tunayakumbuka mapambano yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani. Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Force Unit, FFU. Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za...
  15. Olaigwanani lang

    JamiiForums Tanzania Kwa matukio maovu ya jeshi la Polisi, IGP Sirro alipaswa awe amejiuzulu siku nyingi

    Ndugu zangu, watanzania na wanaJF wenzangu, Matukio mfululizo ya aibu yanayoendelea dhidi ya jeshi la polisi Tunashangaa kumuona IGP akiendelea kuwa ofisini, ni vema sasa ndugu zake ama waliopo karibu naye kumueleza wazi kubwa hapaswi kuwa katika nafasi hiyo.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kama wasaidizi wa Kingai wamepandishwa vyeo, siku si nyingi mamlaka ya RAIS itampandisha cheo kuwa SACP/DCP/CP au IGP

    Siyo watu wote waliofanya uovu uadhibiwa na mamlaka za kibinadamu. Wengi wa wahalifu ufanya uhalifu baada ya kuingia mkataba wa uhalifu na wanapendezwa na huo uhalifu. Yawezekana kama wakina Kingai walifanya mateso waliyoeleza watuhumiwa kesi ya Mbowe basi walisaini mkataba wakuifanya kazi hii...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro, tunaomba Umhamishe Kamanda ACP Blasius Chatanda wa Simiyu, apangiwe kazi nyingine

    Commander Blasius Chatanda wa Simiyu, ulimhamisha kutoka Tanga ukampeleka Simiyu, hivyo ikupendeze kumtoa simiyu Umpeleke Misenyi au Katavi au mpangie kazi nyingine. Itakuwa ni hali ya kawaida ya kuboresha utendaji kazi wa Jeshi la Polisi na kwa nia njema tu. Mkoa wa Simiyu unahitaji mtu...
  18. comte

    JamiiForums Tanzania Lema bhana kamchagulia RJMT, DCI, DPP, IGP filamu ya kuangali kumbe anawasema mh. Kibatala na wenzake kuwa hawana uwezo wa kumtetea Mbowe

    Godbless E.J. Lema @godbless_lema Mh Rais SSH,nakuomba sana kama unaweza tafuta muda wewe pamoja na familia yako mtazame hii movie. Pia DPP , DCI , IGP , DG TISS , CJ na Jaji Kiongozi ukitazama nao itakuwa vyema zaidi. Inaitwa ... " JUST MERCY "
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro aagizwa kuchunguza wahitimu wa polisi wanaotaka kupangiwa utrafiki na bandarini

    Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro pamoja na wakuu waandamizi wa polisi kuchunguza sababu za wahitimu wengi wa mafunzo ya polisi kuomba kupangiwa idara ya usalama barabarani na bandarini kama maeneo yao ya kazi na si maeneo mengine...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Moshi: IGP Sirro ataka Watuhumiwa watendewe haki

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amesema watuhumiwa wanatakiwa kuheshimiwa na kutendewa haki kama watu wasio na hatia mpaka itakapobainika vinginevyo. IGP Sirro alitoa kauli hiyo jana, wakati akifunga mafunzo yaliyoandaliwa na Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN-Women)...
Back
Top Bottom