igp

IGP is an online retailer of personalised, floral, gourmet and handmade gifting products. The company is headquartered in Mumbai, India and has offices in India, Singapore and the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 17/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi Ungana nami katika uzi...
  2. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba amdai IGP Sirro saa yake

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGPSimon Sirro kuitafuta saa yake ya mkononi aliyonyang'anywana askari wake wakati wa mvutano ulioibuka karibuni. Akizungumza na wanachama wa chama hicho na wananchi mkoani Tabora, Lipumba...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Makosa ya IGP Sirro akiwa ofisini yaanze kukusanywa, Hana kinga kikatiba

    IGP Sirro ni Kati ya ma-IGP wa hovyo Sana kuwahi kutokea Tanzania. Tulijua wa mwisho atakuwa mahita Ila siro kaharibu mno. Tuanze kukusanya ushahidi ili akistahafu mwaka 2022 asafishwe na mahakama. Siro ni doa ndani ya serikali.
  4. M

    JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro: Kama una mtoto wako au mume wako mharifu tuletee polisi tukusaidie

    #Manyara "......unamtoto wako mhalifu au mume wako mhalifu tuletee Polisi tukusaidie" IGP Sirro #UmojaWetuNdioNguvuYetu https://t.co/thNHUw97bH
  5. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kwa IGP kustaafu kulinda heshima yake, Pumzi imekata

    Kwa matukio kadha wa kadha ya kesi za kubumba ambazo Mahakama imezituma, ambazo mama Samia amezikemea; Kwa ambacho kinaendelea sasa juu ya ushahidi wa makomandoo wa jeshi letu katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake, kwa mabacho kilitolewa na jeshi la polisi kuhusu kutekwa kwa MO...
  6. zipompa

    JamiiForums Tanzania IGP sirro wawajibishe wakuu wa vituo vya polisi Katavi

    Wakuu salama, Kumeibuka wimbi la watoto wadogo miaka 15-17 kwa Dar wakiitwa panya road huku katavi wamekuwa na vikundi vya vijana hao (damu chafu, mazombi, watoto wa kaburi moja, fulldoz, avengers, changanyikeni), wakishirikiana na baadhi ya polisi wasio waaminifu kufanya vitendo vya kipuuzi...
  7. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania IGP Simon Siro, ondoa ACP Ramadhani Kingai mrudishe HQ

    Huu ni ushauri wangu mfupi tu kwako IGP, huyu bwana atakuharibia kazi yako. Kama kweli inavyotajwa na Mashahidi alichukua shilingi 260,000 za mtuhumiwa Adamoo, ingawa huu ni ushahidi lakini tayari imeshamtia doa na hataaminika popote. Arudishe pesa za watu, hata akizikana lakini tayari...
  8. K

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro, bado unawahitaji Hawa watu au uhalifu wao umekoma?

    Je, IGP bado anamtafuta Kigogo2014 ? Je, IGP bado anamtafuta Mange Kimambi? Je IGP bado ana kesi na Manji? Tunaamini Polisi ya Tanzania inapambana na wahalifu au inapambana na watu wenye mtizamo tofauti na CCM na viongozi wake? Kama wanapambana na mitizamo hasi dhidi ya CCM ni lina tutapata...
  9. issenye

    JamiiForums Tanzania Balile: DPP, IGP, DCI lifutieni taifa aibu kesi ya Mbowe

    Na Deodatus Balile Imenichukua muda kuandika makala hii. Ninafahamu kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, anashitakiwa kwa tuhuma za kufadhili ugaidi kwa Sh 600,000. Anashitakiwa pia kwa tuhuma za kupanga njama za kulipua vituo vya mafuta katika miji ya...
  10. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro achana na ukaguzi wa mafunzo ya kidini, staafu kwa fahari

    Bado naendelea kushtushwa na kitendo cha IGP kusema kua wana mpango wa kukagua mafunzo yalotolewayo na na taasisi za kidini humu nchini, watuambie kua Polisi huo ujuzi wameutoa wapi na wanaruhusiwa na sheria ipi kuingilia imani za watu? Afande Sirro mzee wangu unataka kufika mbali sana, staafu...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Askari waliopambana na Hamza wapewa zawadi

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ametoa zawadi ikiwemo fedha na vyeti kwa maaskari polisi walioshiriki katika tukio la kupambana na Hamza aliyezua taharuki karibu na zilipo ofisi za ubalozi wa Ufaransa Dar es Salaam Agosti 25 mwaka huu. Taarifa hiyo imetolewa leo Septemba 20...
  12. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro viatu vimekupwaya mno, omba kupumzika

    Kulikuwa na haja gani ya kusema kuwa Polisi wataanza kukagua shule za dini zaidi ya kuleta taharuki na kuzalisha chuki? Kama Polisi inadhani kuna matatizo huko kwenye shule za dini, je mbinu sahihi haikuwa kuchunguza kimyakimya na kwa siri? Alafu bila aibu anasema eti amejifunza Rwanda! Kitu...
  13. Nawatania

    JamiiForums Tanzania Rais atoe taarifa za kweli juu ya tozo na fedha za IMF

    Rais Samia awe makini kukwepa kusema uongo mbele ya umma Rais Magufuli alipenda propaganda ndio maana watu werevu walimchoka mapema kwa propaganda Alichukua pesa za michango ya rambirambi Bukoba na kwenda kufanyia mambo mengine kabisa. Mara tunajenga kwa pesa zetu Sasa na Samia ameanza...
  14. B

    JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro arejea toka Rwanda, ziara ya kikazi imegundua mengi kuhusu Tanzania

    10 September 2021 IGP SIRRO AFUNGUKA KUHUSU UGAIDI, ATAJA ALIYOYAKUTA RWANDA "KIKOSI MAALUM, VYUONI, MADRASA" Baada ya Inspector General of Police (IGP) Dan Munyuza wa Rwanda kukutana na IGP Simon Sirro wamefanya mapitio ya taarifa za kiintelejensia zilizokusanywa kuhusu makosa yanayovuka...
  15. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania IGP anawezaje kutumika kama muamuzi wa siasa nchini? Utawala wa kiraia umeporwa na wachache

    Jeshi la Polisi pamoja na majeshi mengine yote hayana uwezo wa kubadiri taratibu na sheria za nchi yetu. Kitendo cha Jeshi la Polisi kuingilia mikutano ya vyama vya upinzani ni kitendo hatari kinachoweza kuhatarisha usalama wa nchi. Sheria zetu zipo wazi na zinaweka wazi majukumu ya Jeshi la...
  16. K

    JamiiForums Tanzania SACP Engelbert Kiondo - Kamishna mwandamizi msaidizi wa polisi anatakiwa kuwa IGP

  17. Mr Putin

    JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro afanya ziara nchini Rwanda

    Kukaa week nzima Rwanda kutafta ujuzi au?
  18. B

    JamiiForums Tanzania Je, Msajili wa Vyama vya siasa alikaa lini na IGP akaambiwa kuna kikao?

    Ni lini Msajili wa vyama alikaa na IGP wakapanga kuwepo kwa kikao Cha IGP na vyama vya siasa? Nani aliyeandaa agenda za kikao hicho? Ni vyama vipi vilifika kwa msajili kuomba kuwepo kikao Kati ya IGP na vyama hivyo? Hiki kikao kipo chini ya sheria gani? Maamuzi ya kikao hicho yatatekelezwa...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Spika atishia kuwaita IGP Siro, AG, na waziri M.Ndani kamati ya maadili kwa kushindwa kushughulika na Gwajima

    Nafurahi ninapoona mihimili inakinzana na hii inaonesha kweli Kuna separation of power. Nimeshangaa Leo Spika anamlaumu Siro kwa kutokumkamata Gwajima, na ametishia kuwaleta maadili Siro Waziri wa Mambo ya Ndani na Mwanasheria Mkuu, hii ni nzuri kwakuwa mihimili Sasa inanguvu sawa, ndo...
  20. mshale21

    JamiiForums Tanzania Serikali yamwekea pingamizi Mbowe kesi aliyofungua dhidi ya DPP, AG na IGP

    Dar es Salaam. Serikali imemwekea pingamizi Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, katika kesi yake kikatiba, ikitaja sababu nne na kudai kuwa kesi hiyo ni batili kwa kuwa ina upungufu wa kisheria. Hivyo Serikali inaiomba mahakama hiyo iifute kesi hiyo bila kuisikiliza hoja za msingi. Mbowe...
Back
Top Bottom