IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Salaam Wakuu

Hatuwezi kukubali ndugu zetu waendelee kufa kimafia halafu watu wanazusha Story ya kutrend.
0.jpg

Polisi wa Kawe waende pale Mbezi kwa Marehemu wazungushie Utepe na wawachukue maelezo familia ya Masanja.

Pia Mke wa Marehemu akamatwe na ahojiwe.

Mtashangaa Matokeo yake.

Polisi wana weredi mkubwa wakiamua kufanya kazi.

Pia Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe ajiuzulu au apelekwe makao Makuu ili kupisha Uchunguzi.

Je, nani alithibitisha mwandiko ule ni wa Marehemu?

Ipo wapi Intelejensia ya Polisi?

Hatuwezi kukubali watu wauliwe kishenzi namna hii. Halafu mnatuletea Stori za Mapenzi. Uhai wa binadamu hauna Spea, acheni kuchezea uhai wetu.
IMG_20221003_112103_113.jpg

Mchungaji Masanja Kulia akiwa na Marehemu.
 
Mimi ukiniambia mwanaume kajiua sababu ya mchepuko, tena mchepuko unaomzidi umri, mchepuano ambao unaona kabisa mtongozaji ni mwanamke, nitakataa mpaka kesho kutwa.

Yule dogo hawezi kujiua sababu ya mke wa Masanja kamwee.

Something is wrong somewhere.
 
Mimi ukiniambia mwanaume kajiua sababu ya mchepuko, tena mchepuko unaomzidi umri, mchepuano ambao unaona kabisa mtongozaji ni mwanamke, nitakataa mpaka kesho kutwa.

Yule dogo hawezi kujiua sababu ya mke wa Masanja kamwee.

Something is wrong somewhere.
Tuseme kweli ilikuwa planned ameuliwa...
Iweje barua aliyoiacha imchafue mke wa jamaa?
Yaani wapange halafu mke achafuliwe kiasi hicho na hakuna ukweli wowote. Hebu nifungue akili...
 
Ahsante kwa uzi mzur mkuu, umewaza kama mimi..

This is not a suicidal but a carefully planned assassination...either ni issue za pesa au siri .. hata kama ni mapenz lakn nobody with monkey brain can do as such..... wahuni wengi wanajisibisha na rulling party duniani kote ili kufanya uhuni.. to make them the untouchables..

IGP wambura kaz kwako boss
 
Back
Top Bottom