Habari.
Napendekeza Mange Kimambi awe mkuu wa idara ya upelelezi na ujasusi wa Gen Z.
Tukishamteua, naye atateua/atapndikiza agents katika idara nyeti kama jeshini, polisi, uhamiaji hadi ikulu ambao watakuwa wanampa habari.
Pia, napendekeza au nasharu kuwe na viongozi wa Gen Z katika mikoa...
Idara ya Uhamiaji inakanusha taarifa zinazosambazwa kwa njia ya Audio Clip kwenye mitandao ya kijamii kwamba raia wa Tanzania waliopo nje ya nchi wanaporejea nchini kupitia viwanja vya ndege au vituo vingine vya kuingia nchini wananyang'anywa pasipoti na fedha zao na kutakiwa kwenda kufanyiwa...
Kama kuanzia huyo “Rais” mwenyewe na Ikulu yake wakichapisha chochote mtandaoni wanafunga comments, maana yake Umma umeshinda.
Jeshi la Polisi, Idara, viongozi binafsi na taasisi zote ambazo zinalalamikiwa kwa dhulma na maovu pia wanafunga comments, kuanzia Msemaji wa Serikali hadi akina...
Kila baada ya miaka kama 8 kuwe kuna swap, idara iliyoongozwa na Mzanzibar awekwe wa Bara na vice versa.
Mfano
UPANDE A
Jeshi la wananchi wa Tanzania
Jeshi la Magereza
Idara ya Uhamiaji
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)
UPANDE B
Jeshi la Polisi Tanzania
Usalama wa Taifa...
Donald Trump anadai idara ya ya sheria ya Marekani/Department of Justice(DoJ) imlipe $230 million kwa kadhia za uchunguzi na kesi mbalimbali zilizoendeshwa na idara hiyo dhidi yake katika miaka iliyopita, madai hayo itabidi yapitie kwa watu aliowateuwa kuongoza idara hiyo ambao wengi wao...
1.Idara ya elimu ya msingi
2.Idara ya kilimo
3.Idara ya michezo
4.Idara ya mifugo na uvuvi
5.Idara ya usafi na mazingira
6.Idara ya utawala
7.Idara ya ujenzi
8.Idara ya Elimu secondary
Huko watu wamepauka hadi huruma
Tuna miezi miwili hatupati maji mtani kwetu. Lakini toka ziara ya Mh Raisi ianze kutangazwa kuwa anakuja Mwanza maji hayakati.
Ni siku tatu sasa maji yanatoka siku nzima. Najiuliza maswali mengi bila majibu. Kwamba Samia ametanguliza mabomba mlivyokuwa mnasema yameharibika au ni hujuma za...
Wakuu baada ya kufatilia maojiano ya The Chanzo na mwanzilishi wa Jf kuhusu kufungiwa kwa huu mtandao nikabaki na maswali mengi! Moja ya sababu iliyotajwa na TCRA ni kuhusishwa kwa RA na ununuzi wa mgodi wa makaa ya mawe!
Sasa kama ikiwa ni kweli au si kweli kwanini huyo jamaa asijitetee...
Korea Kusini inamtuma waziri wake wa mambo ya nje kwenda Marekani katika juhudi za kuzuia hali ya kutoridhika inayozidi kuongezeka kufuatia msako wa uhamiaji kwenye kiwanda huko Georgia, isiendelee kuwa mgogoro mkubwa unaoweza kudhuru kwa muda mrefu uhusiano kati yake na mshirika wake muhimu...
Wafanyakazi wa Idara ya Ardhi Mkoa wa Shinyanga na wale wa Manispaa ya Shinyanga wanafanya kazi zao kwa mazoea sana huku wakitengeneza mazingira ya kupokea rushwa kutoka kwa wananchi.
Kama week mbili zilizopita kulikuwa na zoezi la urasimishaji wa ardhi katika kata ya Kizumbi, kijiji cha...
Anonymous
Thread
ardhi
idaraidara ya ardhi
kazi
manispaa
mkoa
shinyanga
utendaji
wafanyakazi
Kuna nafasi za ajira jeshi la Magereza zimetoka na nna mdogo wa kwa upande wa mama wa kambo anataka kuomba,lakini yeye ana changamoto ya kuishi na Virusi vya ukimwi.
Je kwa mwenye uzoefu anijuze ; inawezakana akapata nafasi endapo vigezo vyote anavyo isipokua hapo kwenye suala la afya ambalo...
Huko x na instagram kuna watu wanashangikia kifo cha mkurugenzi wa kitengo. Nadhani serikali inapaswa kukanusha ili kuondoa taharuki. Pia wanao shangilia wajitahidi kuzuia furaha yao maana huo si utamaduni wetu.
By Ponjoro wa Kinondoni
Kwasasa safarini kizimkazi.
Idara ya Uhamiaji Wilaya ya Kakonko mapema wiki hii imeendesha mafunzo ya ki-uhamiaji kwa wanafunzi wa Jeshi la Akiba katika Kata ya Kasanda iliyopo Wilaya ya Kakonko Mkoa wa Kigoma kupitia kampeni ya "Mjue Jirani Yako".
Mafunzo haya yalilenga kuwajengea wanafunzi uelewa juu ya majukumu...
Rest in peace Dr Hassy Kitine—the former Director General of Tanzania Intelligence and Security Service (1978-1980).
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Mbunge wa Makete na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayesimamia Usalama wa Taifa, Dr. Hassy (Hassan) Kitine amefariki dunia...
Kuna kila hali tangu JPM atutoke viongozi wenye nguvu kwenye mfumo wamekuwa wakitumia nguvu na ushawishi wao ku diverse mapendekezo ya idara jambo sasa limekuwa ni hatari na kitisho cha usalama maana idara inafanya kazi ngumu kulinda uhai wa taifa na ukisha waingilia hawa jamaa na kuweka siasa...
Tetesi za ndani zinaonyesha misemo ya chini chini kuhusu idara hii nyeti ya serikali, hasa baada ya jaribio la kumuua kwa kumchinja engineer mmoja aliekuwa amelazwa Hospitali ya Muhimbili kutofanikiwa.
Mtazamo uliopo ni kwamba matukio mengi ya ukatili wa kupita kiasi yanayofanywa na...
Anashangaa yeye ana cheo na ukwasi zaidi yangu ila tukii gia ligi sehemu namtoa, yeye anakataliwa mimi nakubaliwa. Sasa kuna pisi kali ilikuja hapa, yeye katumia nguvu nyingi hadi pesa ila amemkosa, mshua sijamtongoza ila dada anajigonga gonga sana kwangu. So naona tumeshaongia uhasama kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.