idara

Idara Victor is a Nigerian-American stage, television and film actress best known for her lead roles in Rizzoli & Isles and Turn: Washington's Spies.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Idara ya Marine Parks: Mfano wa Serikali Inayojihujumu Yenyewe

    Kwa wakazi wa Dar-es-Salaam masikini na tajiri, kwa muda mrefu , wamekuwa wakienda kwenye visiwa vya Mbudya na Bongoyo kwa ajili ya mapumziko ya masaa. Wanafunzi wengi sana kutoka kwenye vyuo wamekuwa wakimiminika kwa wingi siku za weekend kwa ajili ya mapumziko. Gharama zilikuwa nzuri sana na...
  2. Inspector Abdala

    JamiiForums Tanzania Mpanda, Katavi: Nyachia Kunju, anadaiwa kwamba hafuati Sheria za manunuzi kwenye Idara

    Naisaidia serikali ya awamu ya sita chini ya Mama Samia na Waziri Umy Mwalimu kama waziri wa TAMISEMI. Inadaiwa Halmashauri ya Mpanda, kuna jamaa anaitwa NYACHIA KUNJU, huyo jamaa anaimiliki IDARA ya manunuzi hasa kwenye miradi iliyochini ya Idara ya Afya na Elimu. Anaamua nani apewe kazi nani...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Namna gani mtumishi wa umma anaweza kuhama idara moja hadi nyingine?

    Nataka kupata msaada ni namna gani mtumishi wa umma anaweza kuhama idara moja anayofanyia kazi hadi idara nyingine? Mfano mtumishi wa Idara ya mahakama kuhamia idara ya ardhi. Au ardhi kuhamia mahakama. Msaada kwenye tuta.
  4. SAKA25

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 350 Idara ya Uhamiaji Tanzania 2021

    Idara ya uhamiaji Tanzania wametangaza nafasi za kazi 350 kwa watanzania kama tangazo linavojieleza hapa chini
  5. nyboma

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wengi wa 'idara nyeti' ni matapeli na hupenda kujifunua utambulisho wao kwa wauza bia bar

    Nimekaa nikajiuliza sana kwanini watumishi wengi wa idara nyeti (wengi mtakuwa mmenisoma na maanisha nini), watu hawa ukiangalia kazi wanayofanya na maisha yao mtaani ni vitu viwili tofouti kabisa maana vijana hawa wamejawa na tamaa hadi kufikia kutapeli watu hovyo mtaani kwa kigezo cha kufanya...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mipango Miji na idara mbalimbali kwanini zisitungwe sheria na kanuni kila nyumba iliyopo barabarani kuwa na fremu zenye bei elekezi

    Kiukweli watanzania wanamitaji midogo ya kupata sehemu za kujiegesha kwa ajili ya biashara zao. Lakini wenye nyumba hawa tengenezi aina mifumo ambayo hata yule kijana au yoyote anayetaka kufanya biashara basi hata kuwa na sehemu ambayo ni elekezi na bei nzuri. Kwa Dar es Salaam naona...
Back
Top Bottom