Ukiona mkuu wa idara anaejifanya yuko serious, halafu from nowhere tu, kajikuta anafunguka. Na mimi sijamjibu hata kidogo, nikajifanya kama sisikii, mana alichoniitia hakikua hata cha maana, hii inaonesha ameshajaa.
This is my power and I have to use It very subtly. Najua anaweza kujilaumu kwanini amefunguka vile, na kazini sijamaliza hata mwaka, watu wanasema huyu dada ni yuko mkali sana ila naona ameshazama.
Na mimi namkazia moja kwa moja.
Mkuu utajaa tu ipo siku isiyokuwa na jina.
Muda na wakati ni mwalimu mzuri sana kujifunzia toka kwake.
Hili la kupiga chini umetushirikisha, lakini la kunanilii hautakuja lisema abadani na sisi hatutakuja kulijua aslani.
Atakayetaka kuyafuatilia ataambiwa aache kuchunguza maisha ya watu afuate mambo yake na kipengele hicho kitakulinda wewe, maana wastaarabu ndivyo tunatakiwa tuishi.
Nimesema haya yote kwa kuwa mambo hayo ninayajua kwa sababu nilishayaishi.
Ilikuwaga dem akijifanya kukaza, mi nafungulia kock ya pesa, sikujali hasara lilipokuja suala la mahusiano, ilikuwa ni hobby yangu.
Na ninapoongelea pesa, simaanishi zile za kuhonga direct tu, ambazo unaweza kujibaraguza kunirushia nazo usoni kujifanya kukazia msimamo wako wa dharau, nilikuwa nahonga kwa njia ya ushawishi wa kukuzunguka.
Ama naweza kusema 'human psycology' inaeleza kuwa: 'wengi wenye kuonesha misimamo mikali ya namna hiyo kwenye kadamnasi, ni walaini sana wawapo faraghani' wakibananishwa kunako mahusiano.
Ko inaweza kuwa jamaa tunavyoongea hivi ashapiga, ama kama bado anajichelewesha yeye mwenyewe tu.