ibrahim

Ibrahim (Arabic: إبراهيم, Ibrāhīm; Arabic synonym of "Abraham") is the 14th chapter (surah) of the Qur'an with 52 verses (āyāt).
The surah emphasizes that only Allah knows what goes on inside a man's heart, implying we must accept each other's words in good faith (14:38).Regarding the timing and contextual background of the revelation (asbāb al-nuzūl), it is a "Meccan surah", which means it is believed to have been revealed in Mecca, instead of later in Medina. It was revealed around 2-3 years before Hijrah, in a later stage of Muhammad preaching in Mecca when persecution of him and fellow Muslims had become severe.

View More On Wikipedia.org
  1. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Young Africans yanasa saini ya kinda Shekhan Ibrahim Khamis (18) kutoka JKU

    Klabu Ya Yanga SC imekamilisha usajili wa kiungo Shekhan Ibrahim Khamis (18) kutoka JKU. Yanga SC imekamilisha Usajili wa Kiungo Huyo Fundi Kutoka Zanzibar kwa mkataba wa miaka mitatu Shekhan alikuwa sehemu ya kikosi cha Zanzibar kilichoshiriki CECAFA U18 mwaka huu 2023 Kenya. Awali wekundu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Noam Chomsky asema kuwa Wayahudi wa Ashkenazi hawana uhusiano wowote na kizazi cha Ibrahim bali wanatokana na falme ya Khazar

    Mtaalamu bingwa wa mambo ya Linguistic, Noam Chomsky, ambaye naye pia ni myahudi amesema kuwa ni FACT kuwa Wayahudi wa kizungu na yeye akiwa mmoja wao, hawana uhusiano wowote na asili ya hapo middle east, bali asuili yao ni caucus mountains huko Ukraine ilipokuwa Kingdom ya Khazaria. Kwa...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania TBC1 Kurasa Darasa: Kitabu Cha Maisha ya Rajabu Ibrahim Kirama

    ''Baada ya suluhu ile ya Captain Eltz na Alexander Le Roy iliyomaliza vita ile, Muro Mboyo aliondoka Machame kuelekea Old Moshi. Nyuma akiwa ameacha mke na mtoto mdogo wa kiume aliyeitwa Kirama Muro, ambaye mama yake alikuwa anatokea Kibosho. Jina la mama yake Kirama Muro lilikuwa Makshani...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mambo makubwa ambayo wengi hawayajui kumhusu Nabii Ibrahim

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Licha ya Umashuhuri wa jina lake, ambao mpaka leo hakuna mzee wa nyakati zake ambaye anamfikia kwa umaarufu na umashuhuri. Umashuhuri wa jina lake umebebwa na Ufuasi wa kufa kuzikana, machozi, jasho na damu kwa waumini wa dini zenye Chimbo lake ambazo ni...
  5. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

    Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim...
  6. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ibrahim baba wa imani ila kizazi chake kimekuwa chanzo kikubwa cha vurugu duniani

    Nyie mnaonaje? Baba wa imani huyu kizazi chake kimekuwa ni moto mkali sana duniani. Mpaka leo unaona kabisa dunia nzima kwa anaefahamu huu mgogoro ni either atakuwa timu mke mkubwa au mke mdogo. Sasa je, Ibrahim kaleta baraka au kaleta balaa duniani?
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Historia kamili ya Israel-Palestine war toka enzi za Ibrahim mpaka sasa

    Kwamjibu wa taarifa za ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, Madai ya Waisraeli yanaanzia katika misingi ya kidini ambapo katika Biblia (kitabu kitakatifu kwa Wakristo na Wayahudi), kitabu cha kwanza cha nabii Musa kiitwacho Mwanzo sura ya 12 inaonesha jinsi Ibrahim anavyoitwa na mwenyezi Mungu ili...
  8. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Israel, Waarabu, na Ibrahim

    Tupeane elimu kidogo, kuna watu wanachanganya mambo. Hapa tufundishane jambo moja. Kitu cha kwanza kabisa watu wanachokichanganya ni kuhusu Ibrahim, wengi wanasema Ibrahim alikuwa Mwarabu, ndugu yangu, nikwambie tu kwamba jamaa hakuwa Mwarabu. Ibrahim baada ya kuzaa na kijakazi ambaye alikuwa...
Back
Top Bottom