ibrahim

Ibrahim (Arabic: إبراهيم, Ibrāhīm; Arabic synonym of "Abraham") is the 14th chapter (surah) of the Qur'an with 52 verses (āyāt).
The surah emphasizes that only Allah knows what goes on inside a man's heart, implying we must accept each other's words in good faith (14:38).Regarding the timing and contextual background of the revelation (asbāb al-nuzūl), it is a "Meccan surah", which means it is believed to have been revealed in Mecca, instead of later in Medina. It was revealed around 2-3 years before Hijrah, in a later stage of Muhammad preaching in Mecca when persecution of him and fellow Muslims had become severe.

View More On Wikipedia.org
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore akikutana na Putin na akikutana na waafrika wenzie

    Ukoloni hauwezi kuisha. Sema tu mwafrika anachagua Mzungu ambaye ana endana na maslah yake. Hapa unamwona Dogo Bastola hana na Gloves kavua amsalimie Mbabe Putin. Sasa umkute anaonana na Blacks wenzie au wale wazungu ambao hawalindi maslahi yake. Hakuna kiongozi wa Kiafrika hana Bwana...
  2. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traoré ni Kibanga aliyempiga mkoloni

    Captain Ibrahim Traoré rais wa Burkina Faso ameiweka nchi yake kwenye headlines za vyombo vya habari duniani kote. Umaarufu na uungwaji mkono wa Mwanamapinduzi huyu umeenea sio tu Ouagadougou na ndani ya mipaka ya Burkina Faso, bali Afrika yote. Ni jambo lililo wazi kuwa captain amekuwa ndiye...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Vijana tumtafute Ibrahim Traore wa Tanzania tuache woga na kuliallia

    Ibrahim Traore ni kijana hodari aliyechukua madaraka ya nchi ya Burkina Faso mwaka 2022 akiwa na umri wa miaka 35 tu. Traore ni mfano wa vijana wachache hodari wa bara la Africa. Vijana ndio tulipaswa kuwa tunakula matunda ya nchi na sio akina mzee Wassira. Badala ya vijana wengi wa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore awasili Moscow-Urusi kuhudhuria sherehe za kumbukumbu ya ushindi dhidi ya Wanazi

    Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traore amewasili mjini Moscow nchini Urusi leo tarehe 8 Mei 2025. Kapteni Traore ni miongoni mwa viongozi walioalikwa nchini Urusi kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kumbukumbu ya ushindi walioupata Urusi dhidi ya wanazi kutoka nchini...
  5. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania UZUSHI: Ibrahim hajawahi kufika Mecca

    Ibrahimu hajawahi fika Makka Alkaaba ndio nyumba ya Allah yaani ndio msikiti wenyewe; na ndio kiini cha ibada ya Waislamu ulimwenguni mwote. Nyumba hii ikidaiwa ilijengwa na Ibrahimu. Muislamu yoyote asiposali kwa kuelekea kibra (ilipo alkaaba) ibada yake aiswii (kukubalika). Moja ya nguzo...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ibrahim hakuwahi fika Saudi Arabia/ Makka hata siku moja. Hili nalo tulitafakari

    1. Ushahidi wa Kiakiolojia (Archaeological Evidence) Hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa kiakiolojia (mabaki ya majengo, maandishi ya kale, nk) unaothibitisha kwamba mtu anayeitwa Ibrahim alifika au kuishi katika Makka au sehemu yoyote ya leo ya Saudi Arabia. Sababu kuu: Makka haikuwa kituo...
  7. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Unamshabikia Ibrahim Traore halafu unaipenda CCM. Unajidanganya!

    Wewe ni mwana CCM halafu unajifanya kumshabikia mwana umajumui wa Afrika Rais wa Bukinafaso Ibrahim Traore, wewe ni mzushi! Mwana CCM anayemshabikia Traore ni mzandiki!
  8. Alvin_255

    JamiiForums Tanzania Historia ya Rais Ibrahim Traoré na Jinsi Anavyopendwa na Vijana Wengi wa Afrika.

    Katika zama hizi za mabadiliko makubwa duniani, bara la Afrika linashuhudia kuibuka kwa viongozi vijana wanaojaribu kuvunja minyororo ya ukoloni mamboleo na kuchochea ari ya kizalendo. Miongoni mwa sura zinazong'aa zaidi ni Kapteni Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso. Kupitia uongozi wake wa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Donald Trump anataka Ibrahim Traole akamatwe,Macron aunga mkono

    Tukisema USA ni taifa la chokochoko,dhulma,wivu na uonevu mnatuambia sisi tuna chuki na Marekani. YouTube · Afro Page 4.7K+ views · 4 days ago US Wants to Arrest Capt. Traoré for Trading Gold for Protection Rais wa USA Donald Trump anataka Rais kijana,mzalendo wa nchi yake,na mwenye uchungu na...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kazi za ubunifu za Ibrahim Said wa Misri kwa kutumia tope la mfinyanzi

    Kutoka kwenye barabara nyembamba, tanuri za kufinyanga udongo, na karakana zenye kelele za Fustat, Ibrahim Said alizaliwa mwaka wa 1976. Fustat ni eneo la Cairo, Misri ambalo limejikita katika historia ya tasnia ya ufinyanzi tangu ushindi wa Kiislamu. Ibrahim anatoka katika familia ya...
  11. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Trump anaipambania Marekani kwa faida ya kina nani, mbona hata Ibrahim Traore anaonekana kumshinda uzalendo?!

    Niaje wakuu Leo ningependa kujua haya anayoyafanya Trump sasa ivi hapa duniani na nchini kwake kwa ujumla anayafanya kwa faida ya nani? 1. Nchi? 2. Wananchi 3. Au yeye na genge lake? Nauliza hivi kwa sababu toka amekamata wahamiaji, na kuwarudisha kwao kwa nguvu hakuna mabadiliko yoyote ya...
  12. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso:Mkosoaji Wa Ibrahim Traore Akamatwa

    Mamlaka nchini Burkina Faso zinamshikilia mwanachama wa asasi ya kiraia kwa kosa la kukosoa utawala wa kijeshi wa Kapteni Ibrahim Traore. Katika taarifa yake ya Aprili 4, 2025, asasi hiyo iitwayo Patriotic Front ilikiri kukamatwa kwa naibu katibu mkuu wake, Romuald Yaro, wakati akiwa katika...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore Special thread

    Nimehamasika na maajabu anayofanya huyu rais kijana nchini mwake tena kwa kipindi kifupi sana na kwa kutumia vyanzo vya mapato ya ndani.. Ni wazi si wazungu tuu bali hata marais wenzake wa Afrika wanamuonea wivu na kijicho Kumuenzi nimeamua kuuweka uzi huu maalum kwa ajili yake ukawe Kama...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tuna mengi ya kujifunza Burkinafaso

    Rais wa Burkinafaso Bwana Ibrahim Traore ameamua kuwaongezea mshahara walimu na madaktari nchini kwake Burkina Faso huku akiwa ameshusha mishahara ya wabunge wa nchini humo. Maoni ya mdau: Yaani kaangalia kaona wabunge wanachukua pesa za bure bila kufanya kazi, hizo pesa bora nikawaongezee...
  15. Bramo

    JamiiForums Tanzania John Heche ni zaidi ya Ibrahim Traoré

    Nimekuwa nikimfuatilia sana John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Ni wazi uzalendo wa John Heche kwa hii nchi ni zaidi ya Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traoré. Kwa Maoni yangu John Heche ndio anafaa kuwa Raisi wa hii nchi. Namtabiria Makubwa sana John Heche
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traoré akionesha ufundi kwenye Soka akiwa na Jay-Jay Okocha na Adebayor

    Rais wa Burkina Faso 🇧🇫Ibrahim Traoré ni mtu wa boli kweli kweli, hapa akiwa anacheza na wakongwe wa boli kwenye mchezo wa kirafiki akiwemo fundi wa Mpira kutoka Nigeria Jay-Jay Okocha, Emmanuel Adebayor na wengine.
  17. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Petition ya kumfanya Ibrahim Traore kuwa Rais wa Afrika iliyoungana

    Africa ni bara lililogawanyika sana.Mgawanyiko huu haukuja kwa bahati mbaya,it is by design.Wakoloni walijua kwamba kama wangeacha bara la Africa liwe na umoja,wasingeweza kuitawala na kuiba rasilimali zake kwa urahisi.Kwa hiyo ili Africa isiwe na sauti moja, waliligawanya bara letu katika...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore ni Gaddafi mpya wa Afrika?

    Kama kuna kiongozi Africa aliyekuzwa, kutukuzwa na kusifiwa sana kwa propaganda za kila aina na uongo mwingi sana barani Africa basi ni Muamar Gaddafi. Huyu bwana aliimbiwa sifa zote kiasi kwamba ungeweza kufikiri aliifanya Libya sawa na peponi ila uhalisia ulikuwa ni tofauti kabisa, alipewa...
  19. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ibrahim Traoré Rais wa Burkina Faso amewasili nchini kuhudhuria Mkutano wa Nishati

    Wakuu Nimeona vyanzo mbalimbali vimepost hii taarifa huko YouTube. Je, ni kweli Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso, amewasili nchini kuhudhuria mkutano wa nishati ambao unaendelea leo kwa siku ya pili?
  20. R

    JamiiForums Tanzania Viongoz wa CCM wanamkubali Ibrahim Traore?

    Je, viongozi wa chama tawala wanakubaliana na Ibrahim Traore kama Rais Wa Burkina Faso?
Back
Top Bottom