Ibrahim (Arabic: إبراهيم, Ibrāhīm; Arabic synonym of "Abraham") is the 14th chapter (surah) of the Qur'an with 52 verses (āyāt).
The surah emphasizes that only Allah knows what goes on inside a man's heart, implying we must accept each other's words in good faith (14:38).Regarding the timing and contextual background of the revelation (asbāb al-nuzūl), it is a "Meccan surah", which means it is believed to have been revealed in Mecca, instead of later in Medina. It was revealed around 2-3 years before Hijrah, in a later stage of Muhammad preaching in Mecca when persecution of him and fellow Muslims had become severe.
Hali ya demokrasia imekuwa ni mbaya kupitiliza kila kukicha
Viongozi sio chaguo la wananchi na wanafanya kila namna kuhodhi madaraka kwa dola na yeyote anaekuwa tishio kwenye nafasi zao hushughulikiwa
Akizungumza Julai 26, 2025 katika hafla ya kuongoza dua maalum kwa ajili ya kumuombea heri na ulinzi Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu,aliyeko rumande kwa tuhuma za uhaini na uchochezi, Sheikh Kaniki alieleza kile wanachokisimamia CHADEMA ni ridhaa kutoka kwa wananchi.
Alisema "Chadema...
Inalilah waina ilahi rajiun
Ibrahim sow kutoka Ivory coast.
Aliekuwa mshindi wa Quran mwaka Jana pale uwanja wa mkapa amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 16.
====
Mshindi wa Mashindano ya Quran Tukufu Ibrahim Sow raia wa Ivory Coast amefariki.
Taarifa kutoka vyombo mbalimbali Nchini Ivory...
Power corrupts, and absolute power corrupts absolutely.
Madaraka yakianza kulevya.
Sababu alizotoa hazina mashiko.
Bado moyo wangu ni mzito kumkubali Ibrahim Traore kama ambavyo mitandao mingi inavyomshabikia kwa "mafanikio hewa.
Cc Nyani Ngabu
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza maswali mengi kitendo cha Rais Samia kumteua Prof. Ibrahim Juma aliyekuwa Jaji Mkuu wa Mhimili wa Mahakama aliyestaafu juzi tu kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha UDOM. Je, kwa kitendo hicho kuwapi dhana ya separation of power ya mihimili ya dola?
Je hii haidhihirishe...
Pamoja na mambo mengine Professa Ibrahim Lipumba amehimiza kila kata zilizo katika wilaya ya Ubungo ni muhimu kuwa na ilani inayoendana na hali ya eneo husika.
MAKTABA IMEPOKEA KITABU CHA RAJABU IBRAHIM KIRAMA
Rajabu Ibrahim Kirama ndiye aliyeuingiza Uislam Uchaggani kiasi cha zaidi ya miaka 150 iliyopita.
Katika maajabu ya Allah alipofariki watoto wake walihifadhi nyaraka zake zote ambazo zinafika umri wa miaka 100.
Nyaraka hizi zilihifadhiwa...
Mtu Aliyetawala Biashara ya Dawa za Kulevya...
Alilelewa huko Mombasa na wazazi wa kiPakistani, akianza kama mjasiriamali halali, akiendesha kampuni ya usafirishaji Akasha Transporters, ikiingiza mizigo ndani na nje ya Kenya kupitia bandari ya Mombasa.
Je, umewahi kufikiria jinsi Bandari ya...
MADHABAHU ALIZOJENGA IBRAHIM
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Katika Biblia, Ibrahimu alijenga madhabahu katika maeneo mbalimbali kama ishara ya ibada kwa Mungu, shukrani, na imani. Hapa ni madhabahu kuu alizojenga:
---
1. Shekemu (Sikemu) – Mwanzo 12:6–7
Baada ya kuitwa na Mungu na kufika Kanaani.
Mungu alimtokea...
Hakika hiki kimbunga cha Ibrahim Traore hakizuiliki.
Huenda hata kukiita kimbunga ni kutokukitendea haki.
Hili ni tsunami kabisa.
Mwanamuziki nguli wa R&B kutoka jiji la Chicago, jimbo la Illinois, R. Kelly, kaachia wimbo matata sana akimpongeza Rais wa Afrika, Le Capitaine Ibrahim Traore na...
https://www.youtube.com/live/2qqTsst4p7A?si=-AST3P5ebKD9C8hX
Huyu dogo katika umri wake wa miaka 37 lakini ana ufahamu na uelewa wa hali ya juu sana..
Jamaa unaweza kudhani ni kama wanajeshi wengine tu ambayo wengi wao ni weupe kichwani zaidi ya kujua kubeba na kutumia bunduki tu..
Lakini...
Waislamu ni rahisi kutumika kwa maslahi ya wakuu
Ona sasa Traore ambaye ni muislamu mwenzao wanamshambulia. Juzi magaidi wa Alqaida ambao wanaundwa na kabila la Tuareg waliua wanajeshi 90 wa Burkinafaso. Jana wameua tena wanajeshi 200 wa Burkinafaso.
Wanajiita Jama’a Nusrat ul-Islam wa...
Ukiona mtu anazushiwa sifa lede kede basi ujue huyo mtu ni mweupe kichwani.
Sasa inadaiwa eti Ibrahim Traore kamuandikia barua Papa Leo.
Inadaiwa ni barua ambayo hakuna kiongozi mwingine wa Kiafrika ambaye amewahi kuthubutu kuandika maneno ambayo dikteta uchwara aliandika 🤣.
Huamini...
Dini maarufu zaidi duniani yaani Uislamu, Ushahidi na Ukristo, inaonekana shina la Imani zake, limejengwa kumzunguka Ibrahim.
Dini zote hizo tatu zinamtambua Ibrahimu kama ni binadamu aliyekuwa anafuata maelekezo ya Mungu wanayemuamini.
Lakini dini hizo tatu kila Moja inaona dini nyingine...
Mzuka wana jamvi ??
Nashangaa sana chuki zimekuwa nyingi kwa Kamanda Rais wa Burkinafaso Captain Ibrahim Traore kutoka kwa Pro_West maarufu humu jukwaani tena chuki za kipuuzi sana.
Tukianza na Hawa ;
Yoda ; huyu ni chawa mkubwa wa Marekani na matendo yake ameshika usukani kwa vinyuzi yake...
Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo?
Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso.
Habari nyingi kumhusu yeye ni za uongo.
Kwa bahati mbaya zaidi, watu wanaouamini huo uongo ni wengi sana na ni Waafrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.