huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huyu hapa mfanyakazi bora

    PPPC Yamtunuku Mwanaid Araba Tuzo ya Mfanyakazi Hodari 2025|2026 == Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimempongeza Mwanaid Araba, Afisa Mwandamizi Msimamizi wa Fedha, kwa kuchaguliwa kuwa Mfanyakazi Hodari wa mwaka 2025|2026. Menejimenti na watumishi wa kituo hicho...
  2. JamiiForums Tanzania Huyu nyoka anaitwa pambe ni mpole sana

    Kabila la wasukuma humuita pambe nimependa kutumia pande kama kichwa cha uzi kinavojieleza Nyoka huyu hana nouma kabisa hua anaaibu sana mara nyingi wasukuma humtumia kwenye michezo yao ngoma za kijadi. Ila ajabu ya nyoka huyu ni kwamba indapo utamchanganya na nyoka wengine basi utakuta wote...
  3. JamiiForums Tanzania John Heche: Huyu Mama alitoa ndege iendea Dubai kuwaokoa ndugu zake dhidi ya Mabomu ya Iran si Watanzania

    Salaam, Leo Makamu Mwenyekiti akiwa kwenye Mkutano wa Ndani ya chama huko Kibamba Shule Dar Es Salaam, amesema Huyu mama anayeongoza Nchi, alitoa ndege ifuate ndugu zake na Familia yake huko Dubai kwa gia ya kwamba wanawafuata Watanzania Wasidhuriwe na Mabomu ya Iran. Kama alitoa ndege...
  4. JamiiForums Tanzania Leo nilipata time ya kuskilizia Ngoma za Tupac Shakur...one by one aise huyu jamaa alikua machine.

    County down
  5. JamiiForums Tanzania Chris Mauki ana maneno mixer vitendawili hatari

    Chris mauki special thread 😎😎😎😎😎 Cheka kwenye kikopo afu nuna 📍📍📍
  6. JamiiForums Tanzania Shuhudia Hiki Kinachofanywa na Pastor Huyu wa Jirani Zetu, kisha Compare na Kinachofanywa na ma Pastor Wetu!. Nimeguswa!

    Wanabodi Tanzania tuna ma pastor wengi wakijiita majina mbalimbali kuanzia Mchungaji, Mwinjilisti, Padri, Baba Paroko, Askofu, Mtume, Nabii, Kuhani, Kardinali hadi Papa Mtakatifu, wote hawa ni viongozi wa kiimani, kazi yao kubwa kuhubiri neno la Mungu, wengine wakifanya miujiza ya uponyaji na...
  7. JamiiForums Tanzania Huyu Igor Thiago ndiyo atakuwa main striker wa Brazil?

    Jamaa analijua goli? Goli 21 EPL akiwa na Brentford! Brazil wana striker bora zaidi ya huyu?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Britanicca ndio wewe? Unajisikiaje sasa?

    Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika survive kwa masaa 48 yajayo kutoka sasa. Police wa Iran wamegoma kupokea orders za IRGC. Reza Pahlavi, ambaye ni crown prince wa Iran anayeishi nchini Marekani, ametuma ujumbe kwa majeshi ya Iran kufanya chagua la kihistoria kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Vijana tujifunze kutoka kwa huyu mwenzetu

    https://vt.tiktok.com/ZSH7Bamqd/
  10. M

    JamiiForums Tanzania Eti wadau, Huyu atakuwa Naibu waziri wa wizara gani?

    Huyu kajichanganya, kapita kwenye njia ambazo walipa kodi huwa wanapita huku CCM wakinadi kuwa nchi ina barabara zimejengwa kwa kiwango bora sana huku sehemu kubwa ya nchi ikiwa hoi kama hivyo licha ya kelele kuwa wamewaletea maendeleo wananchi. Haya huyu atakuwa wa wizara gani huyu?
  11. JamiiForums Tanzania Mrembo huyu hapa akipiga kazi. Nyie wengine kazi kushinda saloon na kupiga simu za vibumu. (Mizinga)

    Urembo wako usiwe guarantee ya kudate na wanaume kibao Ili wakuweke mjini. Acha kushinda saloon binti acha kushinda mtandaoni kutingisha makalio, kurembuarembua Ili upate likes. Kama mrembo, mbona warembo wapo kibao na wengine walishaiga dunia. Na bado kuna wengine daily wanazaliwa. Punguza...
  12. JamiiForums Tanzania Huyu ni Kibo Marreale

    Kaka Pascal Mayalla, huyu ni Kibo Marreale mtoto wa Mangi Mwitori Petro itossi Marreale, huyu ni fisi na simba na apumzike anapostahili alikuwa mnyama na muuaji
  13. JamiiForums Tanzania Huyu afande amenisikitisha sana kwa kweli kama ndio hivyo tumekwisha

    Hbr za muda wakuu wangu ! ...ni kweli nimeadimika sana humu ndani ila tupo pamoja ni majukumu ya kitaifa na shughuli zangu binafsi vinanibana sana hadi kukosa muda wa kuja kuwatembelea na kuwa tia moyo kwa yale mnayo yapitia us individual au groups poleni san wanangu ama hakika Mungu yupo...
  14. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa ni hatari huko upande wa pili

    MUHOOZI ANATAKA BIKRA..😀 Kiongozi wa jeshi la Uganda na mtoto wa Rais wa nchi iyo, ametoa kauli isiyo ya kawaida kwa kuitaka nchi ya Turkish Uturuki itemize masharti yafuatayo haraka. 1) Uturuki itoe kiasi cha U.S Dola billion 1, kwaajili ya maendeleo ya nchi yake. Ikiwa ni pamoja na kuongeza...
  15. JamiiForums Tanzania Iani Dialo from kenya Radio presenter wangu Bora wa muda wote huyu jamaa ana IQ kubwa sana.

    Aliwahi kufanya kazi EA redio katika kipindi cha EAST AFRICA DRIVE ndinga mpya town akiwa na David rwenyagira. Jamaa ana madini sana.
  16. JamiiForums Tanzania Nampenda sana huyu dada

    min -me nitafutie huyu mwanadada mwanajeshi kwa jina ephen_
  17. JamiiForums Tanzania Unadhani mtuhumiwa huyu atapona?

    POLISI MBEZI KWA YUSUFU MNASTAHILI PONGEZI! Mtu huyu (pichani) aliyejitambulisha kwa jina la Juma kutokea maeneo ya Bulula - Kimara Suka alikuwa amekamatwa akituhumiwa kufanya vitendo vya wizi leo mchana eneo la Rift Valley, Kimara Suka. Watu wenye hasira walikuwa wakimshambulia kwa mawe...
  18. JamiiForums Tanzania Mtazame huyu mwimbaji mwenye Magongo, Alafu jifunze kitu!

    Aict Nyamikoma Choir wakiwa wanaimba katika Kanisa la Africa Inland Church Tanzania Buswelu Dayosisi ya Mwanza.Mtazame huyu mwimbaji mwenye magongo, anamtumikia Mungu kwa Furaha. Sijui Wewe utumishi wako mbele za Mungu ni furaha au majuto? CC.Inland tv
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mimi kumrudia Mwanamke huyu (EX) Kwa sasa?

    Habari wana jamvi ! poleni na hongereni kwa kila jambo mwaka fulani nilifanikiwa kupata kibarua kampuni (X), hapo baada ya miezi nilikutana na mwanamke mmoja mrembo kwa taarifa nilizopewa yeye alikuwa na watoto wawili kwa wakati huo. Yaani Single mother of two kids mimi wakati huo bado yanki so...
  20. JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke bado anajua mgumu kutoa hii mimba nifanyaje aisee

    Juzi nilileta Uzi humu kwamba Kuna mwanamke anasema anaujazito wangu nimemuambia atoe Sina shida na mtoto Sasa hivi sababu najitafuta umri wangu miaka 28 maisha ya tanzania magumu nitazidisha matatizo Cha ajabu Kila siku anakuja kushinda nje ya mlango wa geto langu yaani hata mda huu yupo nje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…