Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 8,382
- 13,388
Aisee Mangi habari yako haijajitosheleza hata kama mnatambulika kama watu wakatili sana kwenye hela na mambo ya mapenzi.Kaka Pascal Mayalla, huyu ni Kibo Marreale mtoto wa Mangi Mwitori Petro itossi Marreale, huyu ni fisi na simba na apumzike anapostahili alikuwa mnyama na muuaji
Huyu alikuwa muuajiAisee Mangi habari yako haijajitosheleza hata kama mnatambulika kama watu wakatili sana kwenye hela na mambo ya mapenzi.
Kiafrika,we don't talk bad of the dead!Kaka Pascal Mayalla, huyu ni Kibo Marreale mtoto wa Mangi Mwitori Petro itossi Marreale, huyu ni fisi na simba na apumzike anapostahili alikuwa mnyama na muuaji
Nasubiri hilo andiko ila jamaa ukichek picture zake utajua mtoto wa mjini@ Pascal mayalla, fanya hima.
Marangu coach sio moshi wale?Nasubiri hilo andiko ila jamaa ukichek picture zake utajua mtoto wa mjini
Ila Thomas itosi na Petro itosi ni ndugu wale au ?? Mfn hizi gari za marangu coach ni kwa Marialle yupii mleu ndege maake kwenu si hapo marangu kitemboni
Sindio alikuwa punga huyu au?Kaka Pascal Mayalla, huyu ni Kibo Marreale mtoto wa Mangi Mwitori Petro itossi Marreale, huyu ni fisi na simba na apumzike anapostahili alikuwa mnyama na muuaji
Mbona ulipokuwa pale East Africa redio, uliwahi kumsema anko kimtindo huku akiwa tayari mavumbini?Kiafrika,we don't talk bad of the dead!
Kibo alikuwa mtu poa sana!
RIP Kibo Marealle
P
HAta mm najua hvo bwashee ila kuna kina marealle wapo maeneo hayo ya huko old MoshiMarangu coach sio moshi wale?
Kwetu ni Sanya juu.Nasubiri hilo andiko ila jamaa ukichek picture zake utajua mtoto wa mjini
Ila Thomas itosi na Petro itosi ni ndugu wale au ?? Mfn hizi gari za marangu coach ni kwa Marialle yupii mleu ndege maake kwenu si hapo marangu kitemboni
Nimemaanisha ni ukoo wa moshiiHAta mm najua hvo bwashee ila kuna kina marealle wapo maeneo hayo ya huko old Moshi
Hv kwann kule kwetu tunawaita nyie watu wa moshi kuanzia watu wa huko kirua mpk siha
😅 weww nae wa nyumbni kumbeKwetu ni Sanya juu.
Sana tu 😎.😅 weww nae wa nyumbni kumbe
Pascal, nipo Lyamrakana nakusanya data kaka the man was cruel and brutalKiafrika,we don't talk bad of the dead!
Kibo alikuwa mtu poa sana!Anayefahamu kuhusu kifo cha Kibo Marealle naomba atushirikishe
RIP Kibo Marealle
P
SafiSana tu 😎.
nikumbushe nilimsema nani?Mbona ulipokuwa pale East Africa redio, uliwahi kumsema anko kimtindo huku akiwa tayari mavumbini?