huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Gaidi huyu aliomba kifo Israel wakamtimizia haja yake!!

    Siku mbili zilizopita, gaidi wa Hezbollah Abbas Awala alionekana katika moja ya video za Hezbollah akiendesha kifaa cha kurusha roketi huku akiwa amevaa sanda ya mazishi, tayari kwa kifo chake. Jana, IDF ilikubali ombi lake na kumuua bila huruma yoyote!! Allah-Akbar Adiosamigo mdogoee @gallna...
  2. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna msanii mkali wa singeli kuzidi kaje double killer huyu 45 anatisha sana

    Ngoma zake hazijapoa huyu jamaa ndio msanii wangu Bora wa singeli mda wote sababu ngoma zake Zina ujumbe sana na ni Kali jamaa kabalikiwa kipaji kikubwa sana na ametokea kukubalika sana na raia ukisikiloza ngoma zake maisha unayaona simple sana 45 namba chafu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mjibu wetu sisi Wa Iran weusi wa Tandale, Netanyahu tulishamdedisha, huyu anayeomba uungwaji mkono na mataifa anatokea wapi?

    Hii habari ya Kuuwawa kwa Netanyahu, tufute tuanze upya kumsaka Mbona tulishamdedisha? Huyu anayekaa na kuwa na press mbalimbali kujidai atawauwa viongozi wetu wenye Iran yao, anatoka wapi? Nahitaji kufahamishwa, Au tulipigwa na kitu kizito shabaha yetu ililenga mdoli wa Netanyahu na...
  4. PLOII

    JamiiForums Tanzania ARTETA IS THE ROTTEN WALKING BOY; Hovyo kabisa huyu afukuzwe tu. Miaka 8 no trophy. Kweli EFL tumekosa tena dhidi ya City?

    Straight to ostracize poor approach & strategies Plugged in the Team by this Rude boy, Arteta. Game ya Jana anaanza na Forward wawili lakini primary approach ni kujilinda so Forward walikuwa wa kazi gani? Foward za Arsenal ni Butu lakini bado aweka trust kwao kweli huyu ni Kocha? Jana...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mungu atakuwa wa ajabu kupokea sala ya ambaye anamuweka mtu jela akidai muhaini na huku hana kosa

    Nina tamani nifungue mashitaka dhidi ya Mungu anae POKEA maombi ya mtu kama huyu Alie mfunga Tundu Lissu kwa kesi ya uhaini Ili Hali sio muhaini. Je nisubilie nife, nizikwe nikakutane nae uko Mbinguni? Najiuliza hivi kweli huyu nae alifunga Nini? Anamwomba Mungu ampe uhai? Je ampe mume...
  6. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Na huyu ndio yule Mdudu anaependwa zaidi Duniani kuliko Wadudu wote Ila ana vituko

    Picha inajieleza.
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT: Pamba SC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba

    Mechi kali ya Ligi jioni ya leo inapigwa Mwanza katika dimba la CCM Kirumba Kikosi cha Simba Sports Club kitawakosa washambuliaji wake wawili dhidi ya Pamba JIJI FC, Baraka Mwangosi na Seleman Mwalimu. Mwangosi aliumia kwenye mechi dhidi ya Singida BS na hajasafiri kwenda Mwanza wakati...
  8. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Ndio maana mnaambiwa brand ni muhimu kwa mafanikio yako. Hebu imagine kila mtu anamjua huyu ni nani!!

    Umeshamjua huyu ni nani?😂😂
  9. Mjusi Sharobalo

    JamiiForums Tanzania Huyu mzee atakuwa na miaka mingapi hivi sasa?

    Mwamba hazeeki kabisa!
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ebu tu-share stori mbili tatu kuhusu huyu mwamba uliemuona katika picha hii

  11. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Wahaya ndio wana sifa kiasi hiki au huyu ni tapeli tu?

    Daah Nakutana na vituko gani sijui Huyu sasa ni Muhaya yaani kwa namna anavyojisifia ananikata stimu Sasa kuna haja gani ya mwanaume kuanza kujisifiasifia mara nina mabiashara mara mahela Halafu hayo maswaga wanatongozewaga wanafunzi Anyway kwani wahaya ni kweli mko hivo yaani mnasifa...
  12. mrangi

    JamiiForums Tanzania Huyu derevea yupo sawa kweli? Kwanini amehatarisha maisha yake na wenzake hivi?

    Nimetumiwa hii clip ikazidi Kunishangaza,maana kuna madereva bado hawajifunzi sijui ni ukichaa Ujuaji mwingi ! Mtu unaona kabisa kuna mafuriko kuna hali ya hatari wewe unapitisha chuma hapo! Kwa wenzetu uzoefu wangu nnayoonaga mfano snow(barafu)likiwa kali mpk barabara inakuwa kama kioo...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Simba sasa hivi hawana striker, kwa sarakasi hizi anaweza akacheza huyu

    Utani wa Mwigulu Nchemba kwa Klabu ya Simba, "Sasa hivi hawana Mshambuliaji"
  14. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Huyu dogo kasema ukweli

  15. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Sina imani na huyu mwakilishi wa UN naona kama wanamtandao wameshatuzidi kete

    Huyu mwakilishi wa UN sina Imani kutokana na UN ilivyosasa ni kama kikundi fulani cha wahuni na wahuni wanaweza kukitumia pia kuwalizisha wananchi wa nchi ya kusadikika na wasichukue hatua yoyote.
  16. E

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza huyu mzee unaona kabisa Nchi za Wenzetu watu wako serious na Masilahi ya Nchi zao

    Kweli anaizungumzia Nchi na kuijali kama familia yake , Afrika tuhubiri kwanza Uzalendo tuko nyuma sana . https://youtube.com/shorts/7bpZjoxy2Lg?is=zPTHUjErKG4H9MSd
  17. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu mwanamke ni mke wa mtu kweli wakuu?

    Siko hapa kujitapa kuwa usafiri wangu ni wa ndege kama ambavyo baadhi yenu mnaweza kutafsiri. Ila issue nzima iko hivi leo asubuhi nilikua na flight ya kuelekea mikoa ya nyanda za juu kusini. Pembeni yangu alikaa binti mmoja mrembo aliyekua katulia tuli..katika uchokozi wangu nikagundua yule...
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kuona mwanaume mwenye matiti/manyonyo kama huyu?

    Ni kweli wapo wengine pia wana njisia zote mbili kisukuma wanaitwa bhakima gosha(jike dume) haya ni maumbile yao walizaliwa hivyo na hawana namna. Sasa kisayansi imekaaje hii watalaamu je kuna uwezekano iwapo mtoto akizaliwa akiwa bado mdogo akafanyiwa japo upasuaji na kuwa na jinsia moja tu...
  19. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Huyu demu alikua hanijibu meseji Sasa hivi anajibu nikiwa Sina mzuka nae inakuaje hii wazee

    Yaani alikua ananisumbua kinyama Sasa nashangaa Sasa hivi anashobo na Mimi nishamchoka hata kabla sijagonga aisee yaani nashangaa tu sinamzuka nae hizi meseji za Jana sijamjibu mpaka Leo ananiambia piga ila nimekausha kiufupi Sina mzuka nae kabisa Sasa hivi wezangu mlishawahi kukutana na hii...
  20. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna rapa wa kitapeli kama huyu jamaa

    Huyu jamaa mistari yake hapana Utasikia 1) Wanataka nife Ili Aishi manula 2)Vyombo vya habari vinaoshwa kwenye besen 3) Hata wachawi wanajua mchawi pesa 4)Dirisha la usajili wameweka mapazia 5)Nanunua kanga mbele ya maulidi kitenge 6) Nimeongea na ndugu yangu anaitwa Maneno akasema Hana...
Back
Top Bottom