huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mishahara ya Ngorongoro Conservation Area huwa ni kiasi gani?

    Habari wakuu. Tafadhali naomba msaada kujua mishahara ya ngorongoro conservation area? Naomba kujua hasa NCAA 3, NCAA 4 na NCAA 5. Na je hili jeshi usu huwa inachukua muda gani kuhitimu. Asanteni sana🙏🏾
  2. JamiiForums Tanzania Nini ambacho uliwahi fanya/kutofanya katika mapenzi/mahusiano, na huwa unatamani muda urudi nyuma ili ukirekebishe?

    Wakuu hii story yangu ambayo niliandika kama kisa ambacho siwezi kukisahau na huwa kinanitesa mpaka leo kwenye maisha yangu, na nilikiandika kama mchango katika uzi wa ndugu yetu laskaboza , lakini kwa mapendekezo ya wadau ni bora kuwepo na uzi wa visa vya nyuma wenye mlengo wa mapenzi au...
  3. JamiiForums Tanzania Siku ya Mtoto wa Afrika: Huwa unamsomea mwanao hadithi?

    Wazazi wa zamani walikuwa wanatuhadithia sana hadithi. Hasa walizosoma. Bahati mbaya mabadiliko ya maisha, wameachia kazi hiyo TV na Cartoon. Utamaduni wa kusomea watoto hadithi bado unafaa leo? Vipi, huwa unamsomea mwanao hadithi?
  4. JamiiForums Tanzania Ni asilimia ngapi ya bajeti huwa inatekelezwa?

    Kila mwaka bajeti inaongezeka, nina wasiwasi inaongezeka namba tu lakini kwenye utekelezaji ni tuko palepale. Kwa kawaida ni kiasi gani cha bajeti hutekelezwa?
  5. JamiiForums Tanzania Huwa mnafikiri nini wanawake kisha kuingia kwenye mahusiano?

    Mapenzi hayanitesi sana siku hizi, lakini kiukweli warembo wanazidi kunikataa na sielewi ni kwanini. Huwa najiuliza wasichana huwa mnawaza nini kabla ya kumkubali Mwanaume, Tuweke mbali Pesa, kipi huwa mnajiuliza kabla ya kumkubali mwanaume. Baadhi ya Maswali yenu nimeweza kuchambua.. lakini...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini NHIF huwa haiendi na wakati linapokuja suala la gharama za matibabu?

    Gharama za matibabu huwa zinabadirika mara kwa mara kulingana na gharama za maisha zinavyobadiriki na Kinachopandisha gharama za maisha ni bidhaa muhimu kupanda gharama hususani mafuta ya dizeli na petroli. Mfano ni hii ya sasa kabla ya 2021 lita ya mafuta ya petrol haikuzidi 2300-2600. Kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Wavaaji huwa Wana maana gani?

    Kuna aina ya bangili huwa zinauzwa na wamasai za copper Mara nyingi huvaliwa na wanaume, je huwa Zina msaada gani mwilini au hasara gani kwa mvaaji?. Nawasilisha
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwambieni huyu mbunge kwamba mwanaume huwa ananyonya titi hanyonyi maziwa

    Huyu mama atakuwa kakutana na mlugaluga kunako faragha akaanza kumnyonywa maziwa badala ya kunyonywa titi. Wajanja wa mjini huwa wananyonya titi tu ili kumsisimua mwanamke. Hawatafuti shibe ama kukata kiu kwa kunyonya (kunywa) maziwa. Naomba serikali inipatie mimi Sexless fursa ya kutoa...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi huwa wanakaa siti ya nyuma kwenye magari yao?

    Kuanzia Rais, Makamu, Waziri Mkuu na viongozi wengine wakuu wa kitaifa hupenda kukaa siti ya nyuma kwenye magari na sio siti ya mbele? Nini huwa sababu hasa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia huwa anacheza vizuri halafu mambo yanapoelekea kukaa sawa anabutua?

    Samia alipoingia Madarakani alianza vizuri sana, akatuliza Taifa, Taifa likampenda, mambo yakawa yanaenda vizuri. Kha Ghafla akamkamata Mbowe, akamuweka ndani, Sehemu kubwa ya Taifa ikaanza kumuangalia kwa jicho baya! Likaja suala la wamachinga, Mwanzo alitoa hotuba, akasema wapangwe vizuri na...
  11. JamiiForums Tanzania Ivi ujauzito huanza kujitokeza au kuonekana baada ya muda Gani

    Wakuu ningependa kufahamu mwanamke akipata ujauzito tumbo lake huanza kuonekana baada ya muda gani kubwa Nauliza kwa maana kuna mahala tiyali mtoto wa mtu kabeba ujauzito wangu
  12. JamiiForums Tanzania HOLLYWOOD MOVIES: kwa nini huwa wanaweka filter za rangi za ajabu ajabu hasa kwenye scenes au movies zinazohusu Africa, India, .......?

    Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa movies utagundua jambo hili. Movie au vipande vingi vya sinema vinavyohusu nchi zisizo za kimagharibi utakuta wameweka rangi kama kuna vumbi vumbi😀. Hivi huwa wanatuonaje? Mfano huu hapa chini Moja ya picha ya kipande toka kwenye kampuni kubwa ya kutengeneza...
  13. L

    JamiiForums Tanzania China hufanya makosa, Marekani huwa sahihi? Huu ni umwamba!

    Hivi sasa China imekumbwa na wimbi jipya la janga la COVID-19, hususan huko Shanghai, ambapo kesi za maambukizi ya virusi ni nyingi. Ili kulinda maisha ya watu, China imechukua hatua mbalimbali madhubuti. Lakini kwa mara nyingine tena, Marekani imejitokeza na kuishutumu China, ikisema mwitikio...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Jaji Mkuu anatumia hii sehemu ambayo Rais ndo huwa anatumia wakati wa hotuba?

    Habari za leo ndugu, jamaa na marafiki. Leo nimewaza nimeona ni vema niwashirikishe na nyie.. hapo aliposimama Jaji Mkuu binafsi huwa namuonaga Rais wa nchi peke yake, hata Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge na Katibu Mkuu kiongozi kwa upande wangu sijawahi kuwaona hapo (sijui...
  15. JamiiForums Tanzania Birthday party: Hizi sherehe Huwa zinachangiwa kama ilivyo kwenye masuala ya harusi na send-off????

    Ni kawaida kukuta reservation kwenye mabar, ma pub na maeneo mengi mashuhuri. Hawa wanaokutana as if ni jambo la maana Sana hivi mdg zangu wanachangia au Ndio mambo ya kifahari. Naenda Zang maeneo nakuta Kuna reservation imewekwa🧐💅💅baada ya Muda naona mabox ya keki yakiingia. Ukiuliza ni nn eti...
  16. JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia, Ila ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi

    Tunamshukuru sana Rais Kwa Miaka 7 ongezeko la mshahara linekuwa leo tena Kwa asilimia 23 kuzidi nchi nyingi zilizo tu zunguka Asante Rais wetu.Ila Ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha Kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi kwa ukweli kwamba wanafanyakazi hao wa...
  17. JamiiForums Tanzania Utafiti binafsi: Wanawake huwa hawafurahii kufanya mapenzi kama hawako katika siku za kupata ujauzito

    Mwanamke huwa anapata hamu kwa kipindi maalum, sio kila siku, yaani yupo kama ng'ombe jike huwa Ana period maalum. Ukikutana nae kimapenzi akiwa hayuko kwenye muda niliotaja hata upigeje hatapata utamu wowote, ingawa atakudanganya tu! Lakini ukimkuta kwenye siku ambazo yai lake lipo tayari...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini huwa serikali inaingia mikataba bila kuishirikisha Bunge kama kweli kazi ya Bunge ni kuisimamia na kuishauri serikali?

    Nauliza tu maana sielewi vizuri sana maana mambo ya kiwa hovyo huwa naona bunge linasema iundwe tume kuchunguza jambo fulani.
  19. JamiiForums Tanzania Daktari: Mimba zinapoharibika, Asilimia 80 vyanzo vya kuharibika huwa havijulikani (sababu zinazotajwa huwa ni 20% tu)

    Tatizo la ujauzito kuharibika limekuwa likitokea kwa wingi miaka ya hivi karibuni hasa katika nchi zinazoendelea na zile zinazoendelea, utafiti wa kitaalamu ni kuwa asilimia 80 ya mimba zinazoharibika huwa hazijulikani sababu ya kuharibika kwake. Hivyo, zile sababu ambazo huwa zinatolewa na...
  20. JamiiForums Tanzania Eti wadau, ule msalaba kwenye chupa Dompo huwa una maana gani??

    Eti wadau, ivi ule msalaba kwenye chupa ya dompo huwa una maana gani??
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…