Simba SC (hasa Uongozi) hapa ndipo huwa 'mnanikera' hadi 'nawangangeni' Kutwa hapa 'JamiiForums' hebu muwe mnanielewa sawa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,518
108,793
Hebu sikieni Simba SC inahitaji yafuatayo tu na achani Kujambishwa ( Kupanikishwa ) na Propaganda za Usajili za Yanga SC kisha nanyi mnaingia Mtegoni Kwao na Kuharibu kila Kitu kisha Wao wanatucheka na Kutuona ni Mazuzu ( Majuha ) zaidi.

Najua mnanichukia sana tu ila kwakuwa nina Mapenzi na Simba SC na kamwe sitoacha Kushauri nasema haya.

1. Tafadhali sajilini Wachezaji wa Kigeni wenye Uwezo wa Kucheza Viwanja vyote vya Ardhi ya Tanzania
2. Tafadhali mrudisheni haraka sana (na msione Aibu) kulamba Matapishi yenu Yule Kocha wa Viungo Zrane
3. Tafadhali mkimaliza Kusajili itishen Kikao na Wachezaji Wazawa wa Simba SC muwaanye waache Kurogana
4. Tafadhali kabla ya Kuanza kwa Msimu Mpya Kipigwe Kisomo cha Uhakika ili Kuondoa Nuksi na Kuilinda Timu
5. Tafadhali hakikisheni mnawaambia Wachezaji wa Simba SC kuwa Jezi ya Klabu yetu ina Thamani Kubwa
6. Tafadhali Wachezaji wa Simba SC wawekewe Malengo na hata Mishahara yao watapewa Wakiyatimiza
7. Tafadhali Waambieni Wachezaji wa Simba SC kuwa mwaka huu tumewasamehe ila Msimu ujao tutawapiga

Nimemaliza.
 
Msimu huu ndio mmeona wachezaji hawathamini na kuziheshimu kisa tu hawajabeba ubingwa? Simba walikuwa wanashindana wenyewe kwa wenyewe hawakuwa na wapinzani? Ifikie wakati matu akubali tu kuwa mpinzani alikuwa bora na kajipanga zaidi kuliko nyie.

Kocha wa Viungo juzi tu kasinya kandarasi huko uarabuni pamoja na Gomez, vipi Mo anayo record ya kuvunja mkataba wa mchezaji wa Africa Mashariki tu?
 
2. Tafadhali mrudisheni haraka sana ( na msione Aibu ) kulamba Matapishi yenu Yule Kocha wa Viungo Zrane

3. Tafadhali mkimaliza Kusajili itishen Kikao na Wachezaji Wazawa wa Simba SC muwaanye waache Kurogana
 
Wachezaji wata acha vipi kurogana wakati sera ya klabu ni ulozi!! Ni hivi majuzi klabu yetu ya Simba imetambuliwa rasmi na CAF kama klabu Bora Kwa ushirikina barani Afrika.
Sema sera ya vilabu vya kariakoo
Uto nao unawaachaje kwanza
 
Attachments

  • FB_IMG_16558201034602352.jpg
    FB_IMG_16558201034602352.jpg
    39.9 KB · Views: 7
8. Tafadhali sana viongozi wangu wa timu! Mpeni Julio timu, halafu asaidiwe na Matola! Naamini kwa kuwatumia wazawa, timu yetu itafika fainali ya Klabu Bingwa Afrika msimu ujao! Tuachane na haya mambo ya kupoteza hela kwa kuajiri makocha kutoka Real Madrid na Getafe!

Maana Julio ni Mhamasishaji bora kabisa wa timu huku akiwa na vyeti vya ukocha. Hivyo kwa kushirikiana na kocha wetu makini kama Matola, naamini msimu ujao utakuwa ni wa makombe tu.

9. Tumpe nafasi yoyote ile ya uongozi Mh. Hamis Kigwangala pale Msimbazi ili aweze kufanya kazi kwa ukaribu na mwekezaji wetu Dr. Mudi katika kuiletea mafanikio timu yetu.

10. Tuanzishe tawi la simba la jamii forums. Mimi shabiki namba 1 wa Simba nipewe nafasi ya uenyekiti! Halafu GENTAMYCINE awe msaidizi wangu, Katibu awe Proved . Scars na Ghazwat wawe maafisa habari wetu, Mshana Jr apewe kamati ya ufundi, huku akishirikiana kwa ukaribu na Matola! cocastic na mwenzake Kalpana, wawe watunza fedha wetu! Na mashabiki wengine ambao sijawataja, basi mtakuwa wajumbe.
 
Kuna Watu hapa JamiiForums nikiambiwa kuwa hamvuti Bange / Bangi nitabisha kabisa Dar es Salaam mpaka Kigoma .
 
8. Tafadhali sana viongozi wangu wa timu! Mpeni Julio timu, halafu asaidiwe na Matola! Naamini kwa kuwatumia wazawa, timu yetu itafika fainali ya Klabu Bingwa Afrika msimu ujao! Tuachane na haya mambo ya kupoteza hela kwa kuajiri makocha kutoka Real Madrid na Getafe!

Maana Julio ni Mhamasishaji bora kabisa wa timu huku akiwa na vyeti vya ukocha. Hivyo kwa kushirikiana na kocha wetu makini kama Matola, naamini msimu ujao utakuwa ni wa makombe tu.

9. Tumpe nafasi yoyote ile ya uongozi Mh. Hamis Kigwangala pale Msimbazi ili aweze kufanya kazi kwa ukaribu na mwekezaji wetu Dr. Mudi katika kuiletea mafanikio timu yetu.

10. Tuanzishe tawi la simba la jamii forums. Mimi shabiki namba 1 wa Simba nipewe nafasi ya uenyekiti! Halafu GENTAMYCINE awe msaidizi wangu, Katibu awe Proved . Scars na Ghazwat wawe maafisa habari wetu, Mshana Jr apewe kamati ya ufundi, huku akishirikiana kwa ukaribu na Matola! cocastic na mwenzake Kalpana, wawe watunza fedha wetu! Na mashabiki wengine ambao sijawataja, basi mtakuwa wajumbe.
Haya Tatenaneeee. Simba guvu moyaa
 
Hebu sikieni Simba SC inahitaji yafuatayo tu na achani Kujambishwa ( Kupanikishwa ) na Propaganda za Usajili za Yanga SC kisha nanyi mnaingia Mtegoni Kwao na Kuharibu kila Kitu kisha Wao wanatucheka na Kutuona ni Mazuzu ( Majuha ) zaidi.

Najua mnanichukia sana tu ila kwakuwa nina Mapenzi na Simba SC na kamwe sitoacha Kushauri nasema haya.

1. Tafadhali sajilini Wachezaji wa Kigeni wenye Uwezo wa Kucheza Viwanja vyote vya Ardhi ya Tanzania
2. Tafadhali mrudisheni haraka sana (na msione Aibu) kulamba Matapishi yenu Yule Kocha wa Viungo Zrane
3. Tafadhali mkimaliza Kusajili itishen Kikao na Wachezaji Wazawa wa Simba SC muwaanye waache Kurogana
4. Tafadhali kabla ya Kuanza kwa Msimu Mpya Kipigwe Kisomo cha Uhakika ili Kuondoa Nuksi na Kuilinda Timu
5. Tafadhali hakikisheni mnawaambia Wachezaji wa Simba SC kuwa Jezi ya Klabu yetu ina Thamani Kubwa
6. Tafadhali Wachezaji wa Simba SC wawekewe Malengo na hata Mishahara yao watapewa Wakiyatimiza
7. Tafadhali Waambieni Wachezaji wa Simba SC kuwa mwaka huu tumewasamehe ila Msimu ujao tutawapiga

Nimemaliza.

Msimu huu umeichangia Simba sh ngapi ? Kwa maana ya jezi,viingilio michango mbali mbali n.k ?

Leo nimetizama Mechi ya Simba viingilio ndo hivyo buku 5, ila nimeona uwanja wa mkapa mashabiki hawazidi elf 5 , sasa unajiuliza hawa mashabiki ndo wanamtaka Victorian Adebayor ? Hawa ndo wanataka timu isajiri wachezaji classic ? Kwa mapato Yapi ? Maswali ni mengi sana ila ki ukweli hizi timu hatuzipi support zaidi ya kulalamika tu.

Hii michango ya nani zaidi tu mpaka sasa si Simba wala Yanga wamefikisha mil 200 ? Si utani huu. Kwa supporters wa ukweli hizi timu zingekuwa zime hit 1+B .
 
Hebu sikieni Simba SC inahitaji yafuatayo tu na achani Kujambishwa ( Kupanikishwa ) na Propaganda za Usajili za Yanga SC kisha nanyi mnaingia Mtegoni Kwao na Kuharibu kila Kitu kisha Wao wanatucheka na Kutuona ni Mazuzu ( Majuha ) zaidi.

Najua mnanichukia sana tu ila kwakuwa nina Mapenzi na Simba SC na kamwe sitoacha Kushauri nasema haya.

1. Tafadhali sajilini Wachezaji wa Kigeni wenye Uwezo wa Kucheza Viwanja vyote vya Ardhi ya Tanzania
2. Tafadhali mrudisheni haraka sana (na msione Aibu) kulamba Matapishi yenu Yule Kocha wa Viungo Zrane
3. Tafadhali mkimaliza Kusajili itishen Kikao na Wachezaji Wazawa wa Simba SC muwaanye waache Kurogana
4. Tafadhali kabla ya Kuanza kwa Msimu Mpya Kipigwe Kisomo cha Uhakika ili Kuondoa Nuksi na Kuilinda Timu
5. Tafadhali hakikisheni mnawaambia Wachezaji wa Simba SC kuwa Jezi ya Klabu yetu ina Thamani Kubwa
6. Tafadhali Wachezaji wa Simba SC wawekewe Malengo na hata Mishahara yao watapewa Wakiyatimiza
7. Tafadhali Waambieni Wachezaji wa Simba SC kuwa mwaka huu tumewasamehe ila Msimu ujao tutawapiga

Nimemaliza.
We POPOMA hapo kwenye heading umeandika "nawanganeni" ukimaanisha nini? au ulitaka kuandika "nawanangeni"?
 
8. Tafadhali sana viongozi wangu wa timu! Mpeni Julio timu, halafu asaidiwe na Matola! Naamini kwa kuwatumia wazawa, timu yetu itafika fainali ya Klabu Bingwa Afrika msimu ujao! Tuachane na haya mambo ya kupoteza hela kwa kuajiri makocha kutoka Real Madrid na Getafe!

Maana Julio ni Mhamasishaji bora kabisa wa timu huku akiwa na vyeti vya ukocha. Hivyo kwa kushirikiana na kocha wetu makini kama Matola, naamini msimu ujao utakuwa ni wa makombe tu.

9. Tumpe nafasi yoyote ile ya uongozi Mh. Hamis Kigwangala pale Msimbazi ili aweze kufanya kazi kwa ukaribu na mwekezaji wetu Dr. Mudi katika kuiletea mafanikio timu yetu.

10. Tuanzishe tawi la simba la jamii forums. Mimi shabiki namba 1 wa Simba nipewe nafasi ya uenyekiti! Halafu GENTAMYCINE awe msaidizi wangu, Katibu awe Proved . Scars na Ghazwat wawe maafisa habari wetu, Mshana Jr apewe kamati ya ufundi, huku akishirikiana kwa ukaribu na Matola! cocastic na mwenzake Kalpana, wawe watunza fedha wetu! Na mashabiki wengine ambao sijawataja, basi mtakuwa wajumbe.
nguvu 1.

Usisahau msako wa chekechea unakusubiri huko. afu Rivers pia wamo.
Dj waleteeeeeeeeh.
 
Back
Top Bottom