huruma

Huruma Estate is a residential estate located in the northeast of Nairobi, the capital of Kenya. It borders Kariobangi and Dandora to the east, Moi Air Base to the south, Mathare to the north and Eastleigh to the west.
In April 2016, during Kenya's rainy season, a building collapse in Huruma resulted in the deaths of 52 people. The building's owner, Samuel Karanja Kamau, was charged with manslaughter.

View More On Wikipedia.org
  1. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania Afrika kutia huruma sio solution badilikeni

    Wa Afrika wanajulikana duniani kote kwa ulafi wa madaraka pasipo kufanya maendeleo ya kuridhisha katika nchi zao. Haikubaliki kiongozi kukaa muda mrefu katika uongozi kana kwamba nchi ya baba yenu, Kwamba kwasababu wewe umeingia msituni kupigania nchi ndio huifanye nchi ya baba yako. Umri...
  2. Ndondocha mkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soma unaweza jifunza kitu: Mwanamke kuna muda anaweza kukulilia, kukuapia kumbe anahitaji huruma yako tu

    Habari za usiku wana jf. Leo nimekuja kutoa mkasa mmoja uliotokea siku 2 nyuma juu ya hawa wanawake. Nina rafiki yangu sana ambaye alikua na mpenz wake ambao wamedumu kwa miezi kama 9 wakiishi tofauti ila ni mtaa mmoja. Sasa kuna jamaa mwngine ambaye nafahamiananae alikua hajui kama yule ni...
  3. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Hawa walioshambulia Russia ni wakuonewa huruma.

    Ni vyema hawa walioshambulia Russia wangejiripua au kujiua kwa namna yoyote ile. Ila kukamatwa kwao ni wa kuwaonea huruma zaidi. Aisee warusi wana roho za kikatili nikifikiri yanayo enda kuwakuta. Hawa watu watafinywa katika namna ya ajabu. Natumahi wengi wetu mliona zile picha za wafungwa...
  4. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Maisha hayana huruma, ukiwa unayahurumia

    Jioni hii ya tarehe 21th march, nimekaa nikatafakari ya kuwa maisha yana siri kubwa sana , jinsi unavyo yaishi na wewe yanakuishi hivyo hivyo. So live according to the situation....ukipata fursa ikamatie mpaka ikamatike. Ndiyo maana hata watu wakipata sehemu za kupiga hela wanapiga...
  5. Midimay

    JamiiForums Tanzania Serikali ituonee huruma wananchi mkoa wa Arusha katika masuala ya uhifadhi

    Habari za Alfajiri Watanzania wenzangu. Bila shaka kila mmoja wetu ni shahidi kwamba Mkoa wa Arusha umekuwa ni HOST wa uhifadhi hapa nchini hasa unaohusisha Wanyama Pori. Na hili sio automatic. Sababu kubwa ni nature ya watu wa asili wa mkoa wa Arusha kutokuwa adui kwa Wanyama Pori kwa maana...
  6. sanalii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namuonea huruma binti yangu, sijui ataolewa na kijana wa aina gani

    Vijana wa kiume wanazidi kuchanganyikiwa, 1. Wabahili 2. Wanapenda mtelemko 3. Wanalishana ujinga sana 4. Hawana hofu ya Mungu Wamekuwa na wivu kama wake wenza, yaani mwanaume anataka mke achangie kibapo, bado awe romantik na apendeze, how is that possible? Vidume vya zamani vinaenda porini...
  7. Teslarati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WOMENS DAY (MMU): Wanawake asili yenu ni roho ya huruma na kujali. Siku hii iwakumbushe kurudia asili yenu ya huruma na kujali hasa kwa wapenzi wenu

    Wanawake asili yenu ni kuwa na huruma na kujali, lakini imekua opposite hasa kwenye sekta ya mahusiano na mapenzi kwa ujumla. Wanawake wa kipindi kile walikua wanawajali sana waume/wapenzi wao. Ukitoka kazini unakuta msosi umefunikwa kwa ungo lenye maneno matamu, hapo kuna maji ya moto...
  8. Strong and Fearless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama mwanaume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi na yeye kumkimbia akifukuzwa kazi bila huruma

    Kama mwanume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi pia mwanamke kumkimbia mwanaume akifukuzwa kazi Au akikosa kipato tena bila huruma.
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Misri kujenga ukuta mwengine upande wake kina maana gani. Wana njama na Israel au ni huruma kwa wapalestina

    Hivi karibuni Benjamin Netanyahu alisikika akisema anataka jeshi lake liingie Rafah na kufanikisha mpango wake wa kuwamaliza Hamas kabla mwezi mtukufu wa Ramadhani haujaingia hapo Machi 10. Baada ya kitisho hicho Misri imekuwa ikitishia kuvunja mkataba wa camp david baina yake na Israel.Hata...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Huruma ya mama kwa mwanae ilivyomtesa

    Q
  11. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kenya Airways na Air Tanzania: Anayeathirika ni Air Tanzania

    Eti wanapiga stop Kenya Airways kwa jeuri gani wakati kila siku mko huko kujikomba? Msichokijua labda Kenya Airways ni mbia wa KLM-Air France kuizuia kutua Dar/Tanzania kunaathiri KLM-Air France pia, hivyo hakuna kitu hapo. Kenya Airways itatua Dar na biti la Air Tanzania Kenya litabakia kwani...
  12. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Kikwete (Rais Mstaafu) ni Muungwana kuliko, mwenye huruma na utu uliopitiliza

    Jamani habari wanajf, ukweli Rais Mstaafu Dkt. Kikwete ni kiongozi wa kipekee Sana tangu nianze kuwafahamu viongozi wengine. Ni kiongozi anayeguswa na matatizo ya watu moja kwa moja hasa misiba, na matukio ya kijamii. Mhe. Kikwete hajawahi kusikia Msiba kwa watu ambao unafikika akashindwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwijaku ajenga nyumba ya kitajiri Kigamboni - funzo kwa vijana, dunia haina huruma kwa mwenye aibu,wenye kuwaza ndugu watanionaje

    Habari wadau, Mwijaku chawa na influencer maarufu amejenga nyumba ya ghorofa kigamboni Mwijaku anafanya kazi amazo wengi tunaona ni za aibu ila ana maisha mazuri ambayo wasomi wengi wa zama zake hawana hata nusu yake. Mwijaku ni graduate wa university of Dar es salaam (Udsm) class of 2013 -...
  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mama tuonee huruma wanao tunakufa njaa huku.

    Mama yetu mpendwa, najua upo humu jamvini kama ulivyosema hapo awali. Mama, hali ya maisha huku mtaani ni mbaya sana. Bidhaaa zote zimepanda mara dufu, sukari kilo moja kutoka 2600 hadi 4000 hivi sasa, mchele ule choka mbaya unaupata 2500 kwa kilo. Maharage choka mbaya unayapata kwa 3600 kwa...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania 2024 utakuwa mwaka wa Mapambano kabambe ya Kisiasa, hatutakuwa na Huruma na Mamluki

    Kwanza kabisa niwapongeze wote waliopambana humu JF na kwingineko kwa ajili ya kupigania haki kwenye Nchi yetu, Nchi ambayo ndimo tulimozaliwa na ndio Nchi ambayo wamo ndugu zetu na huenda tukazikwa humu humu siku zetu zitakapofika mwisho. Si kazi rahisi kupiganiia haki kwenye nchi kama...
  16. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Masikini sio mtu wa kumuonea huruma leo ndio nimejifunza zaidi

    Kuna mdau humu aliwahi kuliongelea hili na leo ndio nimepata funzo zaidi. Masikini ukiishi kwa unyenyekevu bila kumuonesha dharau ya aina yoyote kwa akili zake atamuhisi umemuogopa, masikini wengi wenye umasikini uliopitiliza (absolutely poverty) pia huwa na sifa ya kuwa wapumbavu, na ndio hawa...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani inajifanya janja sana.Eti Israel iwamalize Hamas wote lakini ipunguze vifo vya wapalestina wengine.Hiyo si huruma bali ni kuakhirisha kifo.

    Siku za karibuni Marekani imejifanya ina huruma na wapalestina na huku anapeleka silaha na anahimiza Israel iendeleze kazi yake. Kuanzia raisi Biden ,Blinke mpaka wairi wa ulinzi Lord Austin wote wmejifanya wana huruma na kurudia ziara za mazungumzo ya siri na Israel.Wakiibuka hadharani wanasema...
  18. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Niliwahi kusema hapa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki...
  19. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Messi alimdhalilisha sana Ronaldo, ona hii Clip mpaka huruma 😄

    458KB Messi kawadhalilisha sana wachezaji 😄😄
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Katika historia hakujawahi kuwa na himaya, falme wala tawala ya Palestina, hata taifa la Palestina la sasa ni kwa huruma ya Israel

    1. Hapo kabla eneo lote lilikuwa koloni la Uingereza baada ya himaya ya Ottoman kushindwa vita ya dunia, ndipo uingereza akachora mipaka kuwe na Israel na Palestine, upande wa Israel hawakuona shida lakini hao wa kuitwa wapalestina walikataa mpango huu kwa kutaka ardhi yote iwe yao na ndio...
Back
Top Bottom