WOMENS DAY (MMU): Wanawake asili yenu ni roho ya huruma na kujali. Siku hii iwakumbushe kurudia asili yenu ya huruma na kujali hasa kwa wapenzi wenu

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
1,735
6,796
Wanawake asili yenu ni kuwa na huruma na kujali, lakini imekua opposite hasa kwenye sekta ya mahusiano na mapenzi kwa ujumla.

Wanawake wa kipindi kile walikua wanawajali sana waume/wapenzi wao. Ukitoka kazini unakuta msosi umefunikwa kwa ungo lenye maneno matamu, hapo kuna maji ya moto yanakusubiri ukaoge. Ukimaliza kuoga chaguo ni lako uanze kula kipi. Na hio haijalishi kama umefanikiwa huko kwenye mizunguko au lah!

Ila siku hizi unatoka kwenye mizunguko unafika nyumbani mara mwanamke anataka ww ndo uanze kumbembeleza, chakula unakuta vilivyobaki mchana unachemshiwa tu kisha unatupiwa mezani, na maudhi mengi tu yanafuatia.

Sasa ujiroge mpeane talaka, atahakikisha anakufirisi hadi hizo boxer.

Wanawake leo hii jueni kwamba sifa kuu ya mwanamke ni 'uanamke', kuzaliwa mwanamke na kuwa mwanamke ni vitu viwili tofauti, wanawake kuweni wanawake hasa kwenye mahusiano.

Happy women's day to all feminine women.
 
Mahusiano ndo mdudu gani, hakuna kitu kinaitwa Mahusiano in God's Kingdom.

Kuna ndoa.

Lakini tunaelekea mwisho so sitegemei turudi tulikotoka bila BWANA kuingilia kati kwahiyo,

ENDELEENI NA MAHUSIANO ILI ZILE NYAKATI NGUMU ZILIZOTABIRIWA ZITIMIE ILI MWOKOZI WETU YESU KRISTO ARUDI.

NASEMA HIVI .... MAHUSIANO NA YAENDELEE...
 
Out of topic, shut up!
 
watu wana miaka zaidi ya elfu moja wanamsubiri arudi , yeye mwenyewe Yesu alisema atarudi kabla ya kizazi kile kupita, mpaka leo vimepita vizazi vingapi?
 
Kwa mfano,
kwenye daladala muwe na huruma kwa wanawake wezenu mathalani waja wazito, ama wenye watoto.

Unakuta muMama kabeba kitoto labda kutokana na hali ya hewa mule ndani ya daladala, unakuta katoto kanalia sana hadi huruma, na wewe umesimama huna msaada, lakini muMama kwenye siti anang'ata meno asitajwe au kuombwa aachie siti, anajidai kasinzia haskii kilio cha mtoto eti au yuko na concentration muhimu sana Instagram 🐒

saa zingine,
Mjamzito anasimama anachoka hadi ana chutama chini kachoka na hali ya uja uzito, lakini kuna mumama ameuchuna kwenye siti anachungulia kistep mwenzie anavyohangaika, licha ya kwamba ni Kweli wengine kwenye siti wana matatizo yao hawawezi kusimama.

Lakini muwe na huruma basi kwa wanawake wenzenu achilia mbali wanaume 🐒
 
FB_IMG_1678271940974.jpg
 
Mahusiano ndo mdudu gani, hakuna kitu kinaitwa Mahusiano in God's Kingdom.

Kuna ndoa.

Lakini tunaelekea mwisho so sitegemei turudi tulikotoka bila BWANA kuingilia kati kwahiyo,

ENDELEENI NA MAHUSIANO ILI ZILE NYAKATI NGUMU ZILIZOTABIRIWA ZITIMIE ILI MWOKOZI WETU YESU KRISTO ARUDI.

NASEMA HIVI .... MAHUSIANO NA YAENDELEE...
Punguza hasira.
 
watu wana miaka zaidi ya elfu moja wanamsubiri arudi , yeye mwenyewe Yesu alisema atarudi kabla ya kizazi kile kupita, mpaka leo vimepita vizazi vingapi?
Wewe ulikuwa unategemea vipite vizazi vingapi kabla hajarudi? Maana sisi tulikuwa tunasubiri uasi utokee kwanza na ile habari njema ihubiriwe ulimwenguni pote kwanza ndo mwisho uje. Na ishara za kuja kwake akatupa kabisa, kizazi ambacho kingeona ishara zote si ndo hicho! Na tunaziona in real time.

Na nyie si ndo mliandikwa:

"Awali ya yote jueni kwamba siku za mwisho watakuja watu ambao mienendo yao inatawaliwa na tamaa zao mbaya. Watawadhihaki nyinyi na kusema: “Aliahidi kwamba atakuja! Je, sasa yuko wapi? Mambo ni yaleyale tangu babu zetu walipokufa; hali ya vitu ni ileile kama ilivyokuwa mwanzo wa ulimwengu!” Watu hao, kwa makusudi, husahau kwamba zamani Mungu alinena, nazo mbingu na dunia zikaumbwa. Dunia iliumbwa kutoka katika maji na kwa maji; na kwa maji hayo, yaani yale maji ya gharika kuu, dunia ya wakati ule iliangamizwa. Lakini mbingu na dunia ya sasa zahifadhiwa kwa neno la Mungu kwa ajili ya kuharibiwa kwa moto. Zimewekwa kwa ajili ya siku ile ambapo watu wasiomcha Mungu watahukumiwa na kuangamizwa."
(2 Petro 3:3‭-‬7 BHN)
 
Wewe ulikuwa unategemea vipite vizazi vingapi kabla hajarudi? Maana sisi tulikuwa tunasubiri uasi utokee kwanza na ile habari njema ihubiriwe ulimwenguni pote kwanza ndo mwisho uje. Na ishara za kuja kwake akatupa kabisa. Na tunaziona in real time.

Na nyie si ndo mliandikwa:

"Awali ya yote jueni kwamba siku za mwisho watakuja watu ambao mienendo yao inatawaliwa na tamaa zao mbaya. Watawadhihaki nyinyi na kusema: “Aliahidi kwamba atakuja! Je, sasa yuko wapi? Mambo ni yaleyale tangu babu zetu walipokufa; hali ya vitu ni ileile kama ilivyokuwa mwanzo wa ulimwengu!” Watu hao, kwa makusudi, husahau kwamba zamani Mungu alinena, nazo mbingu na dunia zikaumbwa. Dunia iliumbwa kutoka katika maji na kwa maji; na kwa maji hayo, yaani yale maji ya gharika kuu, dunia ya wakati ule iliangamizwa. Lakini mbingu na dunia ya sasa zahifadhiwa kwa neno la Mungu kwa ajili ya kuharibiwa kwa moto. Zimewekwa kwa ajili ya siku ile ambapo watu wasiomcha Mungu watahukumiwa na kuangamizwa."
(2 Petro 3:3‭-‬7 BHN)
Yesu ata rudi kwa nyie kondoo wake kuna maelfu ya watu sio kondoo wake ,hii naona haituhusu sana.
 
Kwa mfano,
kwenye daladala muwe na huruma kwa wanawake wezenu mathalani waja wazito, ama wenye watoto.

Unakuta muMama kabeba kitoto labda kutokana na hali ya hewa mule ndani ya daladala, unakuta katoto kanalia sana hadi huruma,
na wewe umesimama huna msaada, lakini muMama kwenye siti anang'ata meno asitajwe au kuombwa aachie siti, anajidai kasinzia haskii kilio cha mtoto eti au yuko na concentration muhimu sana Instagram 🐒

saa zingine,
Mjamzito anasimama anachoka hadi ana chutama chini kachoka na hali ya uja uzito, lakini kuna mumama ameuchuna kwenye siti anachungulia kistep mwenzie anavyohangaika, licha ya kwamba ni Kweli wengine kwenye siti wana matatizo yao hawawezi kusimama.

Lakini muwe na huruma basi kwa wanawake wenzenu achilia mbali wanaume 🐒
Hili hakika wakiweza kulifanya watakuwa wamepiga hatua sana,hakuna mwanaume anayehitaji huruma ya mwanamke muhimu wajitambue waelewe hali za walio dhaifu kati yao na wanaohitaji msaada maalumu.

Kwa sisi tunaotumia usafiri wa umma ukweli mule wanawake wanafanyiana roho mbaya sana,kuna siku nilipanda mwendokasi fire to Mbezi akaingia mama na mtoto hakupishwa kiti na mwanamke hata mmoja mtoto analia wala hawajali nyuso kwenye smartphones zao hadi mzee mmoja wa makamo akampisha kiti.
 
Back
Top Bottom