Huruma Estate is a residential estate located in the northeast of Nairobi, the capital of Kenya. It borders Kariobangi and Dandora to the east, Moi Air Base to the south, Mathare to the north and Eastleigh to the west.
In April 2016, during Kenya's rainy season, a building collapse in Huruma resulted in the deaths of 52 people. The building's owner, Samuel Karanja Kamau, was charged with manslaughter.
Nikienda dukani kwakwe anachanganyikiwa sana, kuna muda anaongeza change, kuna muda ata haelewi anafanya nini. Hata anapopima vitu, anazidisha sana.
Yani mke wa mtu anampenda ghafra mwanaume mwengine hadi anachanganyikiwa. Nadhan hajazoea kukutana na ma handsome, mana sio kwa kuvurugwa huku...
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times Israel. Advertisement
============
Serikali ya Israel imetuma mamia ya mamilioni ya shekeli kufadhili utaratibu mpya wa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza, kituo cha habari cha Kan kiliripoti Jumatano, kinyume na...
Leo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri
Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani
Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio...
Balozi wa Marekani nchini Israel Mike Huckabee anasema "haifai" kwa Ufaransa, au mtu mwingine yeyote, kulazimisha "taifa la Palestina" kwa wakati huu ambapo Israel watu wake 1,200 waliuwawa na wengine kutekwa nyara na magaidi wa Hamas
Aliongeza kuwa ikiwa Wafaransa wana huruma sana juu ya...
Magaidi wa Hamas wanaendelea kuangamizwa huko Gaza!!! Na Gaza inazidi kusawazishwa na muda si mrefu itakuwa sawa!!
https://x.com/vividprowess/status/1928494110580896113?s=61
https://x.com/vividprowess/status/1928494110643818982?s=61
Wakati Dr. Dre anapelekewa Eminem ili amsaini, alimshangaa, hakuwa akiamini kama Mzungu huyo angeweza kuchana kama watu weusi lakini alipomsikiliza, sasa akawa na uhakika alimpata mwamba, mtu aliyekuja kuwa na ukubwa usio wa kawaida.
Huyu Eminem hakuwa na mahusiano mazuri na mama yake kama...
Wazungu weupe ni asilimia saba tu 7% only!, pato la kiuchumi kwa nchi hiyo kwa taarifa mapato ya zaidi ya 80% nchini humo, na juhudi za weupe hao ambao ni only 7%, that mean 93% za weusi ndizo ujazia pengo la 20%,wanatokea wanasiasa uchwara jamii ya kina Heche, wanawa propergate, wazungu...
Namuonea huruma Che Fondoh na Hamza kudadadakiii
Huyu mwamba kufunga Kwake ni jambo la kawaida, Si mlizoea pira papatu papatu la Refa Sasa njooni Morocco
Remember the Name Oussama Lamlaoui.
Kuna mipaka ya ubinadamu ambayo baadhi ya watu huivuka kwa makusudi, wakiacha nyuma maumivu, mateso, na chuki inayowasha moto wa hasira moyoni mwangu. Kuna makundi fulani ya watu, hata wakilia mbele yangu, wakilia kwa machozi ya damu, bado sitaweza kusikitika. Na kama ningekuwa na lita 20 za...
Huruma Si Malezi
Kumpenda mtoto haimaanishi kumuachia kila kitu au kumuogopa akilia. Kuna wazazi huamini kuwa kila kosa la mtoto litapita likisahaulika kwa kumbembeleza, kumkingia kifua au kumtetea mbele ya watu. Lakini ukweli mchungu ni huu: mapenzi yasiyo na mipaka hayajengi, yanaharibu...
Mke wa Mdude_Nyagali akilia kwa uchungu muda baada ya Polisi kufika nyumbani kwa Mdude kufanya Uchunguzi. Mtoto aliyebeba ndo mtoto wao.
Polisi wanataka kumtenganisha huyu Dada na mmewe lakini pia wanataka mtoto akue bila malezi ya Baba.
"Kwanini Polisi mko hivi, kwanini Polisi mna roho mbaya...
Uzoefu wako kwenye mazingira yako ya kazi na utafutaji unasemaje.
Je kuna tofauti ya haiba ya uongozi na utawala kati ya wanaume na wanawake? Ni kweli kwamba viongozi wanawake ni waelewa na wana huruma zaidi hasa kwenye changamoto binafsi kama za kiafya au matatizo ya kifamilia?
Huku kuna familia fulani mahali. Hili ni sakata la kweli sema ITV haijajua ingetangazwa.
Huyu baba tumuite Martin , na huyu mama tumuite Jeska.
Martin alikuwa mfanya biashara wa kati. Alikuwa anasafiri sana. Mpaka anasahau kumpa jeska unyumba.
Martin alikaa nje ya ndoa takribani miaka kumi...
Ikiwa Pasaka Inaishia niseme kisa cha Pasaka hii cha kweli sijui JF wa tafuta maana mada nyingne wanafuta mno bila actual reason.
Kuna mahali huwa napenda kunywa kinywaji mida ya jioni. Soda ni kinywaji Bia ni kinywaji hata juice pia...sweki bayana n nn.
Sasa Kuna M Dada mzuri huwa namkuta...
Naona vilaza wa ccm wamehsa anza kutengeneza hoja za udini dhidi ya tamko ta TEC acheni ujinga huo, msitafute huruma kijinga namna hiyo, pimeni madai yao na mjitafakari
Kwa akili zenu zilivyo ndogo na chama kilivyo kosa washauri wazuri kwa sasa sio muda mtawatuma BAKWATA wajibu mapigo...
Katika mahusiano mengi ya watu wanaoishi kinyumba, mara nyingi mwanaume anaendelea kubaki na mwanamke hata kama moyoni alishamaliza safari—si kwa sababu ya mapenzi, bali kwa huruma. Unakuta kabisa mwanamke hana ile spirit ya kupambana na maisha; kwa wenzetu wengine kulelewa na kutegemea ni kama...
Km kichwa cha mada kinavyojieleza ningependa nieleze kwa ufupi sana sababu mimi sio mwandishi mzuri.
Lakini ningeanza na wanawake mjitafakari sana mnapoingia kwenye mahusiano. Ipo hivi unakuta mwanamke ana umri 28+ jioni ile pale jua lishazama kashatembea kilometres nyingi kashaishi sana...
IDF imemwangamiza Gaidi Haitham Sheikh Khalil, kamanda wa Kikosi cha Hamas Shejaiya aliyehusika na shambulio la Nahal Oz Oct 07,2023 Khalil alipanga oparesheni za kigaidi dhidi ya wanajeshi wa IDF, alitega vilipuzi, na akaongoza shughuli za handaki ya Hamas. Kifo chake kinafuatia kuangamizwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.