humphrey polepole

Humphrey Polepole is a Young Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Video: Ndugu wa Humphrey Polepole wakimwombea ndugu yao

    Ndugu wa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba 'aliyetekwa' takribani miezi mitatu iliyopita leo, Jumanne Januari 06.20226 wamefanya maombi kwenye nyumba aliyokuwa akiishi mpendwa wao wakimuomba Mwenyezi Mungu amlinde mpendwa wao huko aliko na arejeshwe akiwa salama...
  2. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Augustino, kaka yake Humphrey Polepole?

    Mara ya mwisho alitoa masaa 24 na tishio kali sana kwa samia na genge lake. Kwa alivokuwa anazungumza inaonekana lilikuwa ni jambo lilio ndani ya uwezo wake kuwadhuru magaidi hawa. Kinachonishangaza ni ukimya wake tangu siku hio, hata attempt yoyote haijaonekana hata kwa hawa askari wadogo...
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Wewe Samia Suluhu Hassan unajua alipo Mteule wako Humphrey Polepole?

    Nakuagiza ututangazie alipo kama tulivyo tangaziwa alivyo teuliwa. Hii ni amri sio ombi.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam Regional Commissioner Albert Chalamila asked about the whereabouts of the abducted ambassador Humphrey Polepole

    Dar es Salaam Regional Commissioner Albert Chalamila asked about the whereabouts of the abducted ambassador Humphrey Polepole The most contentious questions asked by the press to governor of Dar es Salaam county Mr Abert John Chalamila revolved around the intelligence failures leading up to...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polepole: Wapo wanaotengeneza orodha ya watakaoshiriki Katika 'Maridhiano' Baada ya Uchaguzi

    "Kuna watu wakiwemo wazee wanatengeneza orodha ya nani na nani watashiriki kwenye maridhiano baada ya hii kitu kinaitwa uchaguzi mkuu mimi naita kiini macho watakao shiriki kwenye maridhiano kutupatanisha, sasa hivi wamekaa kimya kwa sababu wanaulaji, mimi naanza kuwakataa leo mmepoteza uhalali...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe, kinyume na hapo atalipa kisasi

    Kaka yake Humphrey Polepole, anayejitambulisha kama Kanali Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe au apelekwe Segerea kwa Mama yake, vinginevyo Kikwete, Ridhiwani, Samia, IGP na wengine waongeze ulinzi maana atalipa kisasi
  7. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Kaka wa Humphrey Polepole, Kanali Augustino Polepole azungumza mazito zaidi ikiwa leo ni kumbukizi ya mdogo wake

    Baada ya kimya kirefu kidogo, kaka wa balozi Humphrey Polepole, Kanali Augustino Polepole atokea na kuzungumza na umma wa watanzania yasikilize aliyosema leo ikiwa ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya balozi humphrey polepole Habari njema: Tanzania mpya imeshakuja na hakuna wa kuizuia kwa namna...
  8. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Humphrey Polepole, Watanzania wanakukumbuka sana

    Happy birthday. Lakini moyoni mwangu bado nakuwaza. Mimi, pamoja na wengi, tunaendelea kutumai kuwa huenda siku moja tungepata majibu, kwa kuwa bado kuna sauti ndani yetu inayosema labda bado upo hai. Hilo ndilo linalouma zaidi. Maumivu yangu huwa makubwa ninapomuona mama yako akiendelea kuomba...
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Unamzima Humphrey Polepole anabuka Larry Madowo; Serikali Isipuuzie Sauti za Raia

    Shida ya serikali yetu imechukua mizizi kwamba njia pekee ya kuwanyamazisha wananchi ni kuwatia mbaroni au kuwatisha kwa jeuri au kauli kali. Wamesahau kabisa kwamba kila siku watoto wa binadamu wanazaliwa. Kwa hiyo, kila siku wanaharakati wapya, wenye damu changa na shauku mpya, wanakuja...
  10. Griss

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baada ya Polepole sasa anayewindwa ni Lissu. Lissu anatakiwa kulindwa kuliko kitu chochote

    Nimerudi kuwasanua mwenye masikio na asikie: asiyesikia la mkuu uvunjika guu. Kuna wahuni wanapanga kutumia mwanya wa maandamano kuchochea kuni zaidi kwa maslahi yao binafsi. Sasa hivi ni wazi kabisa ni Lissu anayekuwa mhitajiwa. Kuna mpango unaosukwa, wanamtandao wanasema, baada ya kuona...
  11. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Humphrey Polepole na Josephat Gwajima ndiyo pekee ambao wakiachiwa na kuongea neno, kidogo itatuliza fukuto

    Hii miamba mitatu ndiyo kwa sasa ina "Public Trust" kubwa nchi hii kuliko yeyote yule katika nyakati hizi. Hawa ndiyo imani ya wananchi wengi iko kwao, neno lao lina nguvu kushinda yeyote yule! Hawa ndiyo the only "Checkmate" wa kututoa kwenye hili sekeseke na kutuliza hali ya hewa ya nchi...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Agustino Polepole: Kikwete alisema Humphrey Polepole aendelee kushikiliwa

    Kwa mujibu wa kaka yake Balozi Humphrey Polepole, Kanali Agustino Polepole, amesema kuwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ndiye aliyetoa maelekezo kwamba Humphrey Polepole aendelee kushikiliwa. “Kikwete alisema Humphrey Polepole aendelee kushikiliwa.” Kanali Agustino Polepole, kaka wa Balozi...
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kwa nini jina la Polepole halipo kwa wanaotakiwa kujisalimisha polisi?

    GT Mungu nimwema mara zote humuumbua mjinga,sasa hawa police mbona hawajamtaja polepole kama moja ya watu waliohamasisha raia kutoka?
  14. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Sasa wahuni wamethibitisha uhuni aliokuwa akiongelea Humphrey Polepole

    Kwa ukatili na unyama ulioandamana na mauaji ya halaiki, tumethibitisha hoja za Polepole kuwa tunatawaliwa na wahuni. Bila uhuni, haya mambo yasingetokea. Ikibidi, tuanze upya kuwapatiliza hawa wahuni wasije kutuharibia nchi. Washindwe wahuni wote chini ya mhuni mkuu na mwenzake anayemtumia...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala awataka wananchi kupuuzia taarifa zilizodai kuwa Polepole alipatikana katika eneo la ufukwe

    Kwa Tafsiri isiyo rasmi kupitia ukurasa wake wa Intagram Wakali Peter kibatala ameandika kuwa; "Kwanza kabisa tunaomba radhi kwa kukosa kutoa taarifa katika kipindi cha giza totoro; lakini kama mnavyoelewa, hicho kilikuwa ni kipindi kigumu zaidi katika historia ya maisha yetu hapa nchini, na...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hatutanyamaza mpaka wakina Polepole waachiliwe

    Kesho tutakinukisha mpaka wakina Polepole waachiliwe hakuna kufungua huduma zozote tutasimamisha nchi hatutarudi nyuma
  17. M

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI: Ushauri alioutoa Humphrey Polepole kwa Samia ukapuuzwa

    Hebu tujikumbushe:
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Azim Dewji: Sidhani kama Humphrey Polepole ametekwa. Labda ameamua kujificha kimkakati

    Wewe babu unaongea kabisa kwa ujasiri! Yani Polepole ajifiche tu acha uchawa wako huo. Umri wako ulipaswa kuongea kwa hekima. Usiropoke kama unavyoropoka ukiwa unaiongelea Simba ================== Mfanyabiashara maarufu nchini, Azim Dewj, amesema kuwa hana imani na taarifa zinazodai kuwa...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uamuzi wa kesi ya Polepole dhidi ya jamhuri kutolewa leo Oktoba 24, 2025

    Shauri namba 24514 la mwaka 2025 lililofunguliwa na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) na wenzake, linatarajiwa kutolewa uamuzi leo, Ijumaa Oktoba 24.2025, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Kuna maswali kuhusu Polepole, alisema ametelekezwa Cuba halafu ghafla ikawa ametekwa Tanzania!

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema "Kupotezwa Watu ni uhalifu na CCM hakina Sera ya kupoteza Watu. Lakini uhalifu ni uhalifu, na uhalifu unabadili sura, na wakati mwingine uhalifu unaweza kufanyika kwa ajili ya kuchonganisha jamii" "Uhalifu siyo ishu ya...
Back
Top Bottom