Watanganyika tunamlilia Humphrey Polepole

Afcon kinanuka

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2026
Posts
761
Reaction score
2,014
Mimi kama mtanganyika nilimkubali sana hamphrey polepole kutokana na elimu aliyokuwa anatupa watanganyika kwenye kipindi chake cha elimu ya uongozi.

Toka yaanze maandamano sikuwahi kushiriki lakini kwa kumteka polepole na wengine zaidi ya miamoja kama inavyoonesha taarifa ya TLS iliyosomwa na rais wa chama hicho boniphace mwambukusi imenipa ujasiri wa kuandamana siku ya sabasaba.

Bila kukinukisha kisawasawa,haya mambo ya utekaji hayataisha.haiwezekani mtu anauliwa mchana kweupe halafu wenye mamlaka wanakenua meno tu(mzee kibao,pepole,mdude,chaula,soka.n.k

KUIDAI HAKI LAZIMA BAADHI WAUMIE,WATANGANYIKA TUSIOGOPE KUUMIA MAANA HATA BAADHI YA MABABU ZETU KIPINDI WANAMTOA MKOLONI MWEUPE WALIUMIA NA KUPOTEZA MAISHA,NA SISI TUSIOGOPE KUMTOA MKOLONI MWEUSI.

Aluta continua...
 
Hatupambaniki, mtu akijitolea kutupambania tunatafuta kitanda tunalala tunamtegea na kumuacha peke yake, hatusaidiki

Tunatakiwa tujitoe pale tunapopata mtetezi, mtetezi anapotea na walengwa tupo kimya, hatusaidiki, hatuwezi kujitoa bado tuna safari ndefu tuukubali ukweli

Tunaishia kusonya tu mitandaoni
 
ndio washamuua sasa utadhani na wao hawatakufwa, nchi imevimba imejaa damu visasi na husda, mwenyezi Mungu pekee ndiye anayeweza kulinusuru taifa hilo.
 
Watanganyika tuna tabia ya kusubiri mtu aathirike ndipo tunaanza kuona umuhimu wa haki za binadamu.

Pathetic!
 
Samia na kizazi chake siku moja watakiri walikosea sana kumteka Polepole.

Hakuna sehemu wataenda kujitetea bila kuulizwa yuko wapi Polepole
 
Mimi kama mtanganyika nilimkubali sana hamphrey polepole kutokana na elimu aliyokuwa anatupa watanganyika kwenye kipindi chake cha elimu ya uongozi.

Toka yaanze maandamano sikuwahi kushiriki lakini kwa kumteka polepole na wengine zaidi ya miamoja kama inavyoonesha taarifa ya TLS iliyosomwa na rais wa chama hicho boniphace mwambukusi imenipa ujasiri wa kuandamana siku ya sabasaba.

Bila kukinukisha kisawasawa,haya mambo ya utekaji hayataisha.haiwezekani mtu anauliwa mchana kweupe halafu wenye mamlaka wanakenua meno tu(mzee kibao,pepole,mdude,chaula,soka.n.k

KUIDAI HAKI LAZIMA BAADHI WAUMIE,WATANGANYIKA TUSIOGOPE KUUMIA MAANA HATA BAADHI YA MABABU ZETU KIPINDI WANAMTOA MKOLONI MWEUPE WALIUMIA NA KUPOTEZA MAISHA,NA SISI TUSIOGOPE KUMTOA MKOLONI MWEUSI.

Aluta continua...
Veni, vidi, vici
 
Back
Top Bottom