Je, ya Humphrey Polepole ndio ya Paschal Mayalla?

Je, ya Humphrey Polepole ndio ya Paschal Mayalla?

Sakwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2022
Posts
245
Reaction score
879
Wakuu hongereni na poleni sana na harakati za maisha.

Mtaji wa kwanza kwa mwanadamu ni Afya tusiache kulingia afya tuliyonayo maana wapo wenzetu humu na wengine ma hospitalini huko wana pambania Afya zao.

Turudi kwenye mada tajwa hapo juu leo nikaona sio sawa kupita hivi hivi bila kurejea visa vya watu mashuhuri walio pitia joto la watawala baada ya kukosoa au kuhoji serikali na mifumo ya utawala.

Swali langu kwenu wataalamu,watu wazima na watu mliowahi kushika au kupewa nyadhifa mbalimbali,

Je ni sawa kuhoji au kukosoa utawala na mifumo yao? Turejeee
(swali la kikatiba la bwana PASCHAL MAYALLA tena kwa head of state aliyekiri kuwa sio mtaalam wa sheria na kulivagaa swali na kutoa majibu yasiyokuwa na muelekeo)

Hoja za bwana Humphrey tena kwa watawala walio mnufaisha na baadaye akaja na maswali mazito (alipo mpka leo hakujulikani)

Wenu katika ujenzi wa taifa

Sakwe sakwe
Binadamu mashaka 🙏
 
Nisamehe ndugu yangu kwa kuchelewa kukujibu mkono wa Rehema ulipita na mimi niko kwenye kipindi cha uangalizi vibaya mnoo
Mungu ni mwema ndugu utavuka.

Mi bado kauli yako inanichekesha kuwa “kesho mambo yakienda vizuri nitafukuzwa kazi” Hii kauli itachelewa sana kuondoka kichwani 🤣

Ndio maana na mimi nikakuuliza “ulifanikiwa”? 😅
 
Mungu ni mwema ndugu utavuka.

Mi bado kauli yako inanichekesha kuwa “kesho mambo yakienda vizuri nitafukuzwa kazi” Hii kauli itachelewa sana kuondoka kichwani 🤣

Ndio maana na mimi nikakuuliza “ulifanikiwa”? 😅
Usijali mkuu ni vionjo tuu vya ki uandishi 😂😂
 
Back
Top Bottom