humphrey polepole

Humphrey Polepole is a Young Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Polepole anafaa kuchukuliwa kama shujaa kweli ? Haya yaliyomtokea yeye na bosi wake Magufuli si ndo waasisi

    Sifurahii utekaji au mauaji ya wananchi kutokana na misimamo na maoni yao kisiasa au kidini. Hebu watanzania tuwe wakweli na tuachie unafiki swala la utekaji na mauaji ya wanasiasa na wana harakati lilianza wakati gani. Huyu Polepole anayeonekana shujaa kwa kuthubutu kuwananga wezi na mafisadi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Watanganyika tunamlilia Humphrey Polepole

    Mimi kama mtanganyika nilimkubali sana hamphrey polepole kutokana na elimu aliyokuwa anatupa watanganyika kwenye kipindi chake cha elimu ya uongozi. Toka yaanze maandamano sikuwahi kushiriki lakini kwa kumteka polepole na wengine zaidi ya miamoja kama inavyoonesha taarifa ya TLS iliyosomwa na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Inatia majonzi, kama Humphrey Polepole hàmja muua mwachieni jamani.

    Msikilize dada wa Polepole
  4. R

    JamiiForums Tanzania Dada yake Polepole aliomba Bunge la Ulaya kutoliadhibu Taifa nzima bali wawekewe vikwazo wanaohusika na ukiukwaji wa haki za binadamu

    Akizungumza mbele ya Tume ya Haki za Binadamu ya Jumuiya ya Ulaya Juni 22, 2026, Agnes Polepole Lerdorf, ametoa wito wa kufanyika kwa uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu kutoweka kwa kaka yake, Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba anaripotiwa kutekwa mnamo Oktoba 26, 2025...
  5. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Napata utata kuhusu video za Humphrey Polepole

    Kwamba ndugu Polepole alikuwa hajui kama kujirecord vidio kama zile na upo ndani ya nchi ingemletea shida? Kwamba alikuwa na uelewa mdogo kuhusu teknolojia? Inakuwaje unajipiga picha au recording na kusema hapa ni wapi kwa jinsi teknolojia ilivyokuwa Au kipindi anafanya hayo alilewa🙄 Pia...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa Humphrey Polepole kumefanya hata walio CCM wajione wao sio lolote wala chochote. Ni onyo ma kitisho

    Hamjambo! Moja ya athari za kupotea kwa Humphrey Polepole ni kuwadogodesha hata wale waliowahi kufikiri ni wakubwa ndani ya CCM iwe kwa nafasi walizowahi kuzishika au wanazozishika hivi sasa. Ni wanaccm wachache sana waliowahi na watakaowahi kufika level ya kisiasa aliyofika Humphrey Polepole...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Godfrey Polepole: Ndani ya siku 4 nitaweka wazi ufisadi wa ndege ya Rais

    Godfrey Polepole ambaye ni mdogo wa Humphrey Polepole ametishia kuweka wazi ufisadi unaofanywa na ndege za rais Gulf Stream 550 na Gulf Stream 700 kama wasipo muachia Balozi Humphrey Polepole. Yetu masikio.
  8. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Je, Baadhi ya Mambo Aliyoonya Humphrey Polepole Yameanza Kujitokeza?

    Tangu alipoamua kuzungumza wazi kuhusu masuala mbalimbali ya uongozi, siasa na utawala nchini, Humphrey Polepole amekuwa mmoja wa viongozi waliozua mjadala mkubwa katika jamii. Wapo waliomuunga mkono wakisema alikuwa anatoa tahadhari muhimu kwa mustakabali wa taifa, huku wengine wakiona kauli...
  9. Sakwe

    JamiiForums Tanzania Je, ya Humphrey Polepole ndio ya Paschal Mayalla?

    Wakuu hongereni na poleni sana na harakati za maisha. Mtaji wa kwanza kwa mwanadamu ni Afya tusiache kulingia afya tuliyonayo maana wapo wenzetu humu na wengine ma hospitalini huko wana pambania Afya zao. Turudi kwenye mada tajwa hapo juu leo nikaona sio sawa kupita hivi hivi bila kurejea visa...
  10. Etwege

    JamiiForums Tanzania CCM mtandao waonesha sura zao halisi kwenye ujenzi wa refinery Tanga, Humphrey Polepole alishatuonya

    CCM mtandao waonyesha sura zao halisi kwenye ujenzi wa refinery Tanga. CCM mtandao kwa mara nyingine tena wameonyesha nani hasa ni adui wa maendeleo ya nchi ya Tanzania baada ya kupinga mradi wa billionea Aliko Dangote wa kujenga kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta takribani mapipa 650, 000...
  11. Etwege

    JamiiForums Tanzania Waliomsaliti Humphrey Polepole waanza kuonja joto ya jiwe

    Mara baada ya kutekwa balozi Humphrey Polepole na kuacha damu nyingi sana, mama yake alitembelea nyumba aliyotekwa Polepole na kuahidi kuwa kila aliyeshiriki kwa namna yoyote ile kupanga, kufanikisha na kumteka balozi Polepole lazima atapatwa na jambo kila mmoja kwa wakati wake. MZEE JOSEPH...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Uwe hai au umeuliwa, Humphrey Polepole umeliponya taifa la Tanganyika

    Ni kweli Humphery sababu ya kisema ukweli tu kuwa Rais Samia anaiba rasilimali za Watanganyika? Kosa lako lilikuwa ni nini? Kuwaeleza ukweli Watanganyika kuwa Samia ni zao la wanaCCM chini ya mstaafu?
  13. Etwege

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Humphrey Polepole waanza kutimia

    Balozi Humphrey Polepole kabla ya kutekwa na kupotezwa alitabiri mambo mengi kwa nchi yetu Tanzania ikiwa itaendelea kuwa chini Rais Samia (2025-2030). Leo nawaletea tabiri mbili tu ambazo nimeona zimeanza kuonekana dhahiri. Rais Samia kutowaheshimu watanzania baada ya uchaguzi mkuu Humphrey...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano mkubwa anayejiita kaka yake Humphrey Polepole akawa na matatizo ya akili na msongo wa mawazo

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna uwezekano Mkubwa sana mtu anayejiita Kaka Yake Humphrey polepole Akawa na Matatizo ya akili pamoja na Msongo Wa Mawazo. Ni mtu ambaye ukimsikiliza vizuri na kwa umakini unabaini wazi kabisa ni mtu ambaye hayupo sawa kichwani na pengine ameelemewa na msongo wa mawazo...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Augustino Polepole: Najua Humphrey Polepole yupo Kigamboni, mumpeleke kwa mama yake, mkimhamisha mtajuta

    Wakuu, Kuna habari gani kuhusu huyo Mafwele, naona mapichapicha tu huko mtandaoni! Kweli jamaa aliingia kwenye kumi na nane za Kanali? Baada ya kaka wa Augustino Polepole kuongea mchana wa leo, amerusha tena video nyingine akisema amepata habari wanataka kumhamisha Polepole kutoka hapo...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kaka yake Humphrey Polepole nadhani hayupo Serious ni wa kumpuuza kwa sasa

    Kama angekuwa amemkamata Mafwele sidhani kama mtu serious anamkamata na kumwachiai. Huo ni uongo wa mchana. Mtu ambaye amemteka ndugu yako au kamuua. Unamkata unamwachia? Yaani unaona adhabu yake ni hiyo kama ni kweli? Ni uongo. Aanze kuwa serious. Huyu bwana mdogo anaongea sana vitendo hamna...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wakili Massawe: Kwani Ali Kibao aliposhushwa, si alishushwa na Polisi, walisema ni Polisi?

    Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe akijibu maswali ya Waandishi wa Habari Februari 10, 2026 wakati akitoa taarifa kuhusu hali ya Haki za Binadamu nchini amesema matukio mengi yanayofanyika kama yale ya Mzee Ali Kibao na Humphrey Polepole, Polisi...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Butiku: Sijui Polepole alipo, ingawa aliniaga

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amesema hajui aliyekiwa Balozi, Humphrey Polepole, alipo hadi sasa ingawa mara kadhaa alikuwa akikutana naye. "Kabla ya kuacha kazi aliniambia, nifanyaje? Nikasema sikiliza ridhaa yako, lakini mara ya mwisho...
  19. Etwege

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole hata wakikuua ulishamaliza wajibu wako kwa taifa, nyeti za CCM mtandao ziko hadharani

    H Polepole alishatusanua, tatizo la nchi hii siyo mabeberu ni ccm mtandao. 1. Ndiyo maana Singa singa wa Iptl alitolewa harakaharaka na kulipwa billioni 349 za kodi za watanzania kinyume kabisa na agizo la bunge. 2. ⁠Ndiyo maana wabunge wote waliokuwa wanahoji kuhusu masilahi ya taifa na...
  20. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Rachel Dangwa adai Polepole bado yupo hai

    Alichosema mtengeneza maudhui ya kukosoa serikali ya Tanzania ni kuwa Humphrey Polepole amekuwa akihamishwa hamishwa sehemu anazohifadhiwa. Amedai kuwa anapohamishwa huvishwa nguo nyeusi. Amepelekwa Mbweni kisha Kigamboni. Rachel amesema wanajisumbua wanaofanya juhudi ya kufungia account zake...
Back
Top Bottom