huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali wafuatilie huduma za mitandao nyingi ni utapeli

    Kipindi cha nyuma kidogo nilijiunga huduma yao ya halo quiz mtandao wa halotel bila kuijui vizuri baada ya muda mrefu jan nikaweka salio ili nijiunge kifurushi natumiwa sms salio limekatwa basi nikaona hii huduma ngoj nijitoe Sasa kilichonileta hapa mpaka naandika uzi huu jana niliingia menu ya...
  2. JamiiForums Tanzania SoC01 Thamani ya Huduma Bora za Uzazi wa Mpango Katika Uwezeshaji Wanawake Kielimu na Kiuchumi

    UTANGULIZI: Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania 2015-2016, umebaini kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu kabla ya utafiti huo, wanawake wa Tanzania wanazaa wastani wa Watoto 5.2. Vilevile, uwezo wa kuzaa kati ya wanawake unatofautiana kwa makazi yao, viwango vya...
  3. JamiiForums Tanzania Tozo Mpya za Miamala: Pigo kwa Sekta ya Mawasiliano nchini

    A new government levy on mobile money introduced last month in Tanzania has sparked outrage from citizens due to the significant increase in costs. With 26 million people, almost half the country’s population, using mobile money the surge in prices has been felt widely. The tax, which has...
  4. JamiiForums Tanzania Huu mjadala wa kususia bidhaa na huduma ni hatari kwa uchumi wa nchi

    Kuna mjadala unaendelea space pale twitter aisee kama haya maazimio ya kususia bidhaa na huduma yatafanikiwa hakika itakuwa hatari kwa uchumi. Ushauri, Serikali wakutane na wapinzani haraka maana hata mishahara ya mapolisi inaweza kukosa huko mbeleni. Ni ushauri tu mnaweza kuufanyia kazi au...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Siasa za Dkt. Mwigulu Nchemba zinadidimiza huduma nzuri za afya Hospitali ya Wilaya Iramba

    Nimefanya utafiti wangu kwa kuitembelea Hospitali ya Wilaya yetu tangu Machi, 2021 mpaka mara ya mwisho jana. Wagonjwa wengi waliokuwa wakiletwa wakiwa katika hali ya kuhitaji huduma ya haraka na ya dharura (emergency) wanakataliwa kupokelewa kwa kuambiwa huduma husika haiwezi kutolewa pale...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Huduma ya ufundi wa bomba katika nyumba

    Habari wanajamvi, Kwa yeyote anayehitaji au atakayehitaji huduma inayohusu uwekaji mfumo wa maji safi na majitaka katika jengo, hata ushauri tuwasiliane kupitia namba ya simu : 0754341362 au Email: hafidhi07@gmail.com
  7. JamiiForums Tanzania NMB Mobile haipatikani

    Wandugu habari za leo Samahan NMB Mobile Application inaniambia huduma hiyo kwa sasa haipatikani vipi wenzangu na nyie uko hivihivi au mim mtu. Msaada tafadhali kwa anaejua
  8. JamiiForums Tanzania Huduma ya Write-ups

    Habari za asubuhi watu wa Mungu. Tunatoa huduma ya kuandika Business plans, proposals, strategic plans kwa ajili ya taasisi yoyote ile either kuomba mkopo bank, kumwandikia mwekezaji au hata kuindikia taasisi yoyote pale inapokuhitaji kufanya hivyo. Taasisi yetu imesheheni fani zote kuanzia...
  9. JamiiForums Tanzania Wananchi tuanze rasmi kususia bidhaa na huduma za wasiolipa Kodi.

    Ndugu zangu wananchi wabunge hawalipi Kodi kwenye mishahara yao na ni mikubwa kwelikweli Sasa swali linakuja kwanini upande Basi lake? Kwanini ulale kwenye hoteli yake? Kwanini ununue chochote kwenye duka lake au hardware yake? Tena Bora lingekuwa lile bunge lililochaguliwa na wananchi la kina...
  10. JamiiForums Tanzania Na wewe umepokea ujumbe huu wa tozo za huduma ya Simbanking?

    U hali gani, Mwana JamiiForums Nimepokea ujumbe toka Tigo Tanzania unaosema, Ndugu, Mteja! Kuanzia JULY 26, 2021 kutakuwa na tozo ya Sh 100 kupitia salio la kawaida la muda wako wa maongezi kwa kila atakayetumia huduma yoyote ya Simbanking sanjari na kuangalia salio. Je, Na wewe umepokea...
  11. JamiiForums Tanzania Ni wapi kwa Dar wanatoa huduma ya ujenzi wa nyumba aina hii?

    Wakuu nazimia sana aina hii ya nyumba kwani zipo very simple,attractive,compact na zinakula nafasi ndogo sana. Ni wapi kwa Dar wanatoa huduma ya ujenzi wa aina hii ya nyumba na gharama huwa ni sh ngapi? Hizi nyumba huwa zinanivutia sana hasa kwenye design yake ilivyo,imagine haka hapa kana...
  12. JamiiForums Tanzania SoC01 Mapendekezo ya uboreshaji wa mfumo wa mabasi ya Mwendo kasi ili kuongeza ubora wa huduma na kupunguza gharama za uendeshaji

    MAPENDEKEZO YA MABORESHO YA MFUMO WA UENDESHAJI WA MABASI YA MWENDO KASI Mabasi yaendayo haraka ni mradi uliobuniwa kurahisisha huduma za usafiri kwa wakazi wa majiji makubwa yenye msongamano mkubwa wa magari na watu. Tangu kuanzishwa kwa huduma hii kumekuwepo na changamoto za kimiundombinu...
  13. JamiiForums Tanzania WhatsApp kuruhusu kutumia huduma zake bila kuunganisha simu

    WhatsApp imesema inajaribu matumizi mapya ya mtandao huo utakaowawezesha watumiaji kutuma na kupokea ujumbe bila kutumia simu zao. Kwa sasa, mtandao huo unakulazimu kuunganisha simu yako na kompyuta ili uweze kutumia huduma zake katika tovuti (web) na programu (desktop app). Mtandao huo sasa...
  14. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu huongeza t kwenye huduma za kifedha karibu kila mwaka. Je, serikali nayo itaongeza tozo kwa wanachi ili kuendana na kasi ya mitandao?

    Wakuu natumaini kuwa hamjambo! Napenda kuuliza hili swali langu dogo; Kwakuwa mitandao ya simu huongeza tozo mara kwa mara kulingana na sababu mbalimbali ikiwemo kuongezeka kwa gharama za uendeshaji. Je, serikali nayo itaongeza tozo kwa wananchi kama watakavyofanya mitandao ya simu au itabaki...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania kwa umoja wetu tuhamie huduma za kibenki

    Eti solidarity fund! Vichekesho vya kuvunja mbavu! Anyway kwa umoja wetu watanzania tuhamie kwa nguvu mpya, kasi mpya, ari mpya katika huduma za mabenki yetu pendwa yanayotujali. Pia hapo hapo hua wana huduma za simu za kibenki ambazo mnaweza kutumiana pesa benki kwenda benki zote na ukaenda...
  16. JamiiForums Tanzania Msingi wa Biashara ya HUDUMA (sio lazima uuze bidhaa, Unaweza fanya biashara ya huduma)

    Kwa Tanzania ukiwa na Biashara ya huduma unaonekana kuwa Huna Biashara. Mpaka Uwe na Bidhaa za Kushika mkononi kama nguo,Kalamu,majembe,nk..Hapo Ndo unaonekana kuwa MFANYABIASHARA. Hiki kitu Siyo Sahihi hata Kidogo. Kwa sababu huduma ni sehemu ya biashara pia. Na Nchi Tajiri zaidi kama...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’

    Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’, “hili ni eneo jipya ambalo tunalifanyia kazi, katika bajeti zinazofuata litakuwa ingizo jipya. Mataifa mengi yanageukia kodi hii.” Kazi na iendelee!
  18. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Airtel ninyi siyo wezi? Huduma zenu mbovu sana

    Huu mtandao umekuwa wa ajabu sana. Watu wanatuma Miamala sms hazirudi kwa wakati, wananunia LUKU sms hawazipati, Internet yao ni weak kupita maelezo. Mbaya zaidi customer care services simu zao hazipatikani kabisa. Mtando umekuwa wa hovyo sana, huku ni kupoteza wateja. Kama kuna tatizo la...
  19. JamiiForums Tanzania Wizara ya Maliasili yasitisha tozo za Loji, kambi za huduma za kitalii katika Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa miezi mitatu

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk.Damas Ndumbaro amesitisha tozo ya pango ya ardhi kwa loji na kambi za huduma za kitalii katika Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa kipindi cha muda wa miezi mitatu kwa lengo la kutoa ahueni kwa Wadau wanaotoa huduma hizo kukabiliana na athari za ugonjwa wa UVIKO 19...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo: Siyo haki kutengeneza sanamu kama ishara ya kumkumbuka marehemu, ingejengwa taasisi ya huduma za kijamii

    Mbunge wa Musoma vijijini, Prof Muhongo amesema siyo kumbukumbu nzuri kumtengenezea sanamu marehemu au hayati na badala yake ni kheri fedha hizo zikatumike kujenga taasisi ya kuhudumia jamii kwa ajili ya kumbukumbu ya huyo anayetakiwa kukumbukwa. Chanzo: Tanzania Abroad tv
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…