Serikali nchini Kenya imesema kuanzia December 21, 2021 watu watalazimika kuonesha cheti kuwa wamechanjwa chanjo ya Covid 19 ili kuweza kupata huduma kwenye Ofisi za Serikali na wale ambao hawajachanjwa hawatopewa huduma.
Baadhi ya ofisi ambazo bila cheti cha chanjo Mtu hatopata huduma ni...