hoteli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kuhusu Hoteli ya Alkael Mbowe kutumia umeme wa wizi

    Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoani Kilimanjaro limeikatia umeme hoteli ya Aish hotel inayomilikiwa na Mbunge wa Hai (CHADEMA), Freeman Mbowe kwa madai kuwa wamebaini inatumia umeme wa wizi na kuisababishia Serikali hasara ya shilingi milioni 10.8. Akiungumza, Meneja wa Tanesco Mkoa wa...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Mbunge na mtalii kutokea Urusi wafa kwenye hoteli moja ndani ya wiki moja India

    Alitangulia kufa mtalii wa Urusi wiki iliyopita, naye mbunge ameaga dunia baada ya kuruka kutoka ghorofa la tatu humo kwenye hotelini India, jameni Warusi waombewe maana wanakufa sana popote walipo, waswa matajiri.... Indian police investigate death of Russian MP The politician who was visiting...
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Somalia: Al-Shabab wavamia hoteli iliyo karibu na Ikulu ya Mogadishu

    Waziri wa Mazingira, Adam Aw Hirsi amesema amenusurika katika tukio hilo lililotokea katika Hoteli ya Villa Rose inayotumiwa mara nyingi na maafisa wa juu wa Serikalini. Inadaiwa kuwa Waziri wa Usalama wa Ndani, Mohamed Ahmed naye amenusurika, ambapo Al-Shabab wamekiri kuhusika na uvamizi huo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Viwanja, Nyumba na Mashamba Dar es Salaam

    1- kinauzwa kiwanja mbezi ya goba kulangwa sq 400 Bei million 17 (maongezi yapo) kilipo si mbali na barabara (dk7- 10 main road) 2- kiwanja kinauzwa MBEZI GOBA sqm 1000 Bei million 57 (maongezi yapo)pia hakipo mbali na barabara 3. Nyumba ya vyumba 6 Mbezi beach Goigi (dk 10 bagamoyo road)...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha hoteli ya Treetops na Zulia la Blue kwenye kanisa la Mt. PHILLIP Kenya 🇰🇪

    Katikati ya mbuga ya wanyama ya Arbedare iliyopo nchini Kenya, kuna hoteli inayoitwa Treetops. (Pichani). Humo ndimo Eliza alitwaa kiti cha Umalkia wa Uingereza na kupata hadhi ya kuitwa Malkia Elizabeth II mnamo mwaka 1952 punde tu baada ya kupokea taarifa za kifo cha baba yake, King George...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya wafanyakazi 150 wapoteza kazi baada ya kusitishwa ujenzi wa hoteli

    Wafanyakazi 150 wa Mradi wa ujenzi wa hoteli ya nyota tano Blue Amber, wamepoteza kazi baada ya Wizara ya Ardhi kusitisha mkataba wa ukodishaji ardhi kwa Kampuni ya Pennyroyal Zanzibar licha ya kuwapo amri ya Mahakama ya kutaka ujenzi kuendelea. Wakizungumza na waandishi wa habari, wafanyakazi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Abiria wa Basi la Shabiby tulalamikia huduma mbovu za hoteli Morogoro tunaomba mbadilishe haraka hoteli

    Sisi abiria tunaosafiri na Basi la Kampuni ya Shabiby kati ya Dodoma na Dar es Salaam tunayo malalamiko yetu makubwa kutokana na huduma mbovu mjini Morogoro ambapo basi la Shabiby husimama kwa ajili ya huduma ya chakula na kuchimba dawa. Mazingira ya hoteli hiyo ni machafu sana na hayaendani na...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Moon Dubai: Hoteli ya kifahari yenye umbo la mwezi

    Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) unalenga kutambulika kama moja ya Nchi zenye Ubunifu wa Hali ya Juu zaidi duniani, na hilo kimekuwa likidhihirishwa kupitia Majengo yake ya kuvutia Hoteli ya Kitalii ya 'Moon Dubai' inatarajiwa kugharimu Dola Bilioni 5 (Tsh. 11,585,000,000,000). Itakuwa na urefu...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Hoteli inawaka moto, Zimamoto wameshindwa kuzima kwa masaa 2

    Salaam Wakuu, Hotel ya new Mwanza inawaka moto, Zimamoto wameshindwa kuzima kwa masaa 2. Moto umeshika kasi ==== Breaking news Klabu maarufu kama Club Dallas iliyoko katika hotel ya Mwanza Hotel inateketea kwa moto muda huu huku chanzo cha moto hup kikiwa hakijajulikana. Mkuu wa mkoa wa...
  10. cupvich

    JamiiForums Tanzania SoC02 Bei za vyakula na vinywaji katika hoteli zinazotumiwa na wasafiri mikoani si sawa waungwana wenzangu!

    Je, umewahi kusafiri safari ya umbali mrefu mfano kutoka Dar es salaam hadi Mwanza? Safari iliyokulazimu upite sehemu zinazotoa huduma ya chakula na vinywaji kwa wasafiri ili uweze kupata chochote kitakachopoza njaa yako? Na je ulinunua Chakula au kinywaji? Kama jibu lako ni ndio leo utakuwa...
  11. Stroke

    JamiiForums Tanzania Gharama ya chumba kwa siku ni Milioni 1.7 kwa Hoteli ya the Ritz Carlton iliyotumika na Msafara wa Royal Tour Marekani

    Msafara wa Royal Tour ulibahatika kufika New York Marekani katika hoteli ya the Ritza Carlton. Gharama kwa chumba cha kawaida kama ukikaa kwa siku zaidi ya moja ni dola mia saba sawa na shilingi za kitanzania milioni moja na laki saba. Ila kama ni usiku mmoja tu ni sawa na dola mia tisa ambazo...
  12. kataip

    JamiiForums Tanzania Muhudumu wa hoteli, logde au bar ili kumuoa naye anahitaji kuchunguzwa?

    Wanajukwaa naomba kusaidiwa kuchumbia mwanamke anaefanya huduma sehemu tajwa vipi anahitaji kuchunguzwa zaidi na keshasema ukweni yeye ni bikra na yupo tayari kuwa mke. Mawazo yenu tafadhali
  13. nyboma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni uzembe sana kwa mwanamme kulipia room (hoteli) usiku wa saa nane kisha uka CASHOUT asubuhi ya saa mbili

    Ni uzembe wa hali ya juu sana kwa mwanamme kumtamani mwanamke katika maeneo ya starehe, unamnunulia vinywaji, unaondoka nae lets say saa nane usiku unampeleka katika hoteli unalipia gharama zote halafu ikifika saa mbili ama tatu una CASH OUT. Huu ni ujinga na uzembe wa hali ya juu, kwangu...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaunti ya Nairobi yaandaa Muswada wa kufanya michezo ya kamari isichezwe nje ya hoteli za nyota tano na casino

    Kenya inaandaa muswada wa Sheria wa kufanya michezo ya kubeti na kamari ziwe zinachezwa kwenye hoteli zenye hadhi ya nyota tano na casino tu. Muda wa kucheza michezo hiyo ikiwa nis aa mbili usiku hadi saa 12 alfajiri Muswada umependekeza Kampuni za Mawasiliano kuondoa USSD codes ambazo...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Kuna mtu mkubwa anataka kujenga hoteli Ngorongoro

    Hii ni kauli ya Godbless Lema kupitia mariaspace muda mfupi uliopita. Kaongeza kuwa wanasubiri wapate makaratasi/ karatasi kuna siku watamtaja. Swali: Mtu huyu ni nani?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana GSM Yanga SC kwa kuamua kuwapokea Mbeya City FC

    Mchezaji (Mshambuliaji) Paul Nonga (Mwalimu Kitaaluma) na mwana Yanga SC Kindakindaki ambaye uliifunga Simba SC Mbeya hadi Kushangilia kwa Kuizunguka Mbeya yote hongera mno kwa kuwa Mratibu Mkuu wa Kuchukua Pesa za GSM Yanga SC na kuwapa Wachezaji wenzako wa Mbeya City FC ili Jumamosi mlegeze na...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kenya wamewekeza kwenye utalii, design za hoteli kwenye mbuga na matangazo yao yanaeleweka

  18. B

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Kumenoga - Serikali Kugharimia Ujenzi wa Hoteli zilizoungua Moto

    SUK kupitia kwa makamu wa pili wa Rais imethibitisha hoteli zilizoungua zitarejeshwa zilivyokuwa na serikali. Kwa hali hii Jussa na hivyo Zitto ishindikane vipi kuwaelewa? Hata hivyo, kunoga huku huko Zanzibar kunatuhusu pia sisi huku bara? Au huku kwetu ni yale ya matetemeko Kagera...
  19. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Madagascar lavamia hoteli wanayokaa Taifa Stars kwa madai ya kutaka kuwaondoa wachezaji wenye maambukizi ya Corona

    TFF imethibitisha kuwa wanajeshi wa Madagascar, wamevamia hoteli iliyofikia Taifa Stars huko Antananarivo na kukaa kwenye korido ya vyumba vya wachezaji wakiwa na bunduki kabla ya mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia dhidi ya wenyeji Madagascar. Askari walidai wanataka kuwatoa wachezaji wa Taifa...
  20. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Ni ipi Hoteli nzuri Morogoro?

    Nategemea kwenda Morogoro kwa shughuli za kiofisi. Naomba anaejua hoteli nzuri isiwe mbali sana na Msamvu anijuze. Napendelea hoteli mpya mpya kwani ndio hua zinakua bado safi, vyoo havijagandia ukurutu, na magodoro hayajawa chapati. Kwavile nina muda kidogo sijafika Moro, naomba msaada kwa...
Back
Top Bottom