hoteli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mtendaji wa UnitedHealthcare auliwa nje ya hoteli Midtown Manhattan

    https://youtu.be/NM2hAO4p8IU?si=6YELos-i_A88ekRw Inavyosemekana mauajj yametokea mapema asubuhi mishale ya saa 12 na dakika 45 nje ya hoteli ya Hilton. Huyo CEO ni Brian Thompson. Inavyoelekea mauaji hayo ni kuwindwa. Jamaa alipomaliza mauaji yake akapanda ki baskeli cha umeme na kutokomea...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kwanini hoteli kubwa zenye hadhi ya 5 stars huwa na bendera za mataifa mbalimbali kwa nje? Siri iko hapa!

    Wakuu, Najua nitakuwa sipo peke yangu, lakini mara nyingi huwa nikienda kwenye hizi hoteli kubwa the likes of Serena, Kilimanjaro Hyatt, huwa nakutana na bendera za nchi mbalimbali. Zamani nilikuwa sijui maana ya bendera hizi na nilikuwa nadhani kwamba pengine bendera huwakilisha aina ya...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Heka Hela za machimboni: Hizi ndizo sifa za Hoteli (migahawa) ya masankuloni ukiwa machimboni

    Enyi wadau ukienda machimboni halafu upite kula masankuloni basi kuwa makini. Kwanza hoteli hizo Huwa chini ya mti mkubwa kama mwembe ama utakuta wamefunga hema na jioni litaondolea nk. Wa mama lishe mara nyingi chakula hupikia kwao majumbani na kubeba Kila Asubuhi Hadi sehemu husika. Mara...
  4. President of China

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, ameongoza kikao muhimu na wamiliki wa hoteli mkoni humo

    Septemba 22, 2024, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed, aliongoza kikao muhimu na wamiliki wa hoteli mkoani Ruvuma. Kikao hiki kilifanyika kama sehemu ya maandalizi ya kuimarisha sekta ya utalii, hasa wakati huu ambapo mkoa unasherehekea Tamasha la Tatu la Kimataifa la Utamaduni...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Hoteli za Pilipili- Zanzibar anatafutwa kwa kosa la Udanyifu Poland

    Raia wa Poland, Wojciech Zabinski, mmiliki wa hoteli za Pili Pili Zanzibar, anadaiwa kutafutwa nchini Poland kwa kosa la udanganyifu. Inadaiwa aliendesha shughuli zake za ulaghai Zanzibar kwa kutoa ahadi za mapumziko ya kifahari kwa raia wa Poland, ambazo ni za uongo Mamlaka za ndani zimedai...
  6. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Kwanini mahotelini huduma ya maji ya kunywa huwa Bure na kwa unyenyekevu mkubwa Toka kwa mmiliki wa hoteli

    Habari wakuu I real hope you are doing good Nimekua nikijiuliza kwanini mtu anapoenda mgahawani kuomba huduma ya maji ya kunywa pasipo kuitaji hudumu upata mapokezi mazuri hita pale ambapo mmiliki wa mgahawa anapokua na mauzo yasiyoridhisha Hii imekaaje ndugu zangu?
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani wamiliki wa Hoteli na Airbnbs, wanaweza kusaidia kupunguza mauaji ya Wanawake?

    Wakuu, Miongoni mwa maeneo yanayotajwa kuongoza kwa kutokea matukio ya Mauaji ya Wanawake Afrika ni kwenye gesti, hoteli na katika miaka ya hivi karibuni Air Bnbs. Sasa, swali ni je? Wamiliki wa maeneo hayo wanaweza kuchukua hatua gani za kiusalama ili kupunguza matukio haya? Karibuni kwa mjadala
  8. B

    JamiiForums Tanzania Video: Mafuriko Manyara, kuaribu vyanzo vya utalii, maji ya funika hoteli ya moja bilionea huyu. Royal tour kupata changamoto

    ROYAL TOUR KUONGEZA IDADI YA WATALII KUPATA CHANGAMOTO https://m.youtube.com/watch?v=Bl1CZq_Uwr4 Mr Chambulo mwenye uzoefu wa industry ya utalii na mwenyekiti wa mawakala wa utalii wa muda mrefu katika mazungumzo exclusive pia anatuonesha mazingira ya maeneo ya utalii. --- Mafuriko...
  9. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Kujenga hoteli ya kifahari kwenye roundabout

    Wakuu kwema, Katika mizunguko yangu hapa Dar nimeona sehemu roundabout nzuri, nimepata idea ya kujenga hotel ya kifahari na njia za juu za kufika bila kusababisha ajali pia ntajenga parking angani. Naanzia wapi kupata vibali?
  10. Amavubi

    JamiiForums Tanzania Hoteli za Morena na Huduma Mbovu

    Tuna kawaida mtu akiandika kitu cha kugusa mahala fulani utasikia umetumwa Mimi naandika haya ambayo nimetendewa na nimeona hii ni fursa ya kuwasilisha dukuduku langu Huenda nisifunguke sana lakini ITOSHE KUSEMA MORENA HOTELS hasa Morogoro MJIREKEBISHE SANA. Huduma zenu ni mbovu sana na za...
  11. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Hoteli za Kitalii Arusha Nyingi Hazijakidhi Hadhi ya Kuhudumia Wageni

    Arusha ni jiji la kitalii, na wageni wengi hufika kila siku kwa shughuli za kitalii, lakini malalamiko ni mengi kuwa Hoteli Nyingi za kitalii hazijakidhi Hadhi ya Kuhudumia Wageni, Mamlaka husika ya mambo ya kitalii na MaHoteli mnatumia vigezo gani kutoa vibali? Pia bila kusahau TANESCO...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Huwa unakagua usafi sehemu unayoenda kupata chakula?

    Wakuu weekend inaendaje? Usafi ni muhimu kila sehemu, na linapokuja suala la chakula mkazo zaidi unahitajika, maana ukizembea kidogo tu unaweza kuathiri vibaya walaji wako hata kupelekea kifo uchafu aliokutana nao hapo ni mkubwa na kutengeneza sumu kali. Umeshawahi kukagua sehemu unayokula...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Vitanda vya hoteli

    Habari zenu wakuu, niliwahi kulala kwenye hoteli moja jijini mwanza ambayo ni miongoni mwa hoteli kubwa jijini mwanza kitu nilichovutiwa nacho ukiachilia mbali mambo mengine ni kitanda kwani hakikuwa vile vitanda nilivyozoea kuviona, nikianza kwenye kitanda chenyewe ni kirefu siyo ile futi 6...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Hoteli ya The Nest Zanzibar yawaka moto

    Hoteli ya The Nest iliyoko Paje Zanzibar yawaka moto, na kwa mujibu wa mashuuda ni kuwa moto huo umesambaa kwa hoteli ya jirani ya inayoitwa Maisha Matamu na unaelekea kusambaa ya tatu! Zimamoto wamechelewa kufika huku chanzo cha moto huo kikiwa hakijulikani.
  15. U

    JamiiForums Tanzania Kuna Hoteli yeyote ya nyota tano maeneo ya Mbagala?

    Wasau hamjamboni nyote? Je, maeneo ya Mbagala Jijini Dar es Salaam kuna hotel yeyote yenye hadhi ya nyota nne au tano? Natarajia mgeni kutokea ighaibuni anayependelea kufikia huko. Karibuni
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa hivi 'Vyuma' vitano nilivyoviona jana hoteli moja kuna Klabu itachukua Ubingwa NBC bado Mechi 15

    Kudadadeki TFF andaeni kabisa Kombe la NBC kwa Msimu ujao wa 2023/2024 kwani kwa vyuma vitano hatari nilivyoviona Mwenyewe na ninavyowajua Uwezo wao mkubwa Uwanjani kuna Timu itabeba Vikombe vyoye vya Tanzania (hata hiki changu ambacho GENTAMIYCINE nanywea Uji wangu wa Ulezi, Mhogo, Karanga na...
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania Rock City: Hoteli ya nyota tano ikishushwa na NSSF

    Jengo la Hoteli itakayokuwa na hadhi ya Nyota tano ambayo inaendelea kujengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF Mkoani Mwanza.
  18. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Pamoja na vivutio vya utalii, Rungwe hakuna hoteli ya maana

    Rungwe kuna:- 1. Hifadhi ya Misitu safu za Mlima Rungwe. 2. Safu za Milima ya Kipengele 'Livingstone Mountains' 3. Crater Lake Ngosi 4. Daraja la Mungu 'Lupoto' 5. Maporomoko ya maji na ya kipekee Kapologwe (Kisondela) 6. Ziwa Kisiba 7. Maporomoko ya maji Malasusa Kapiki (Nkunga) 8. Maji Moto...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Serikali kurejesha hoteli zake zinazoendeshwa na sekta binafsi ili kuboresha huduma

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema Serikali imejipanga kuboresha huduma kwa watalii katika nyanja mbalimbali ili kuvutia watalii wengi zaidi ikiwa ni mkakati wa kuwafanya watalii hao kuongeza siku za kukaa nchini na hatimaye kukuza pato la Taifa. Amesema moja ya mkakati...
  20. Mustapha maDish

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza, kufunga na kufanya marekebisho ya visimbuzi aina zote, pamoja na CCTV Camera na Uzio wa Umeme

    Kwa Tsh 77,000 tu!! Unapata: Dish, Decoder HD, Cable, ( vifaa vyote ), kifurushi Cha family cha Tsh 29,900 na unapata fundi wa kukufungia bila kulipa gharama ya ziada!! Ili kupata offer hii piga 0789476655 WhatsApp +255784378129 Offer hii ni kwa Dar pekee!! Mengineyo yote kuhusu DStv Kama:-...
Back
Top Bottom