hotel

  1. NUNEZ DIAZ

    JamiiForums Tanzania Hotel Zanzibar

    Habari wakuu, Naomba msaada wa hotel nzuri isiyozidi laki 250 Zanzibar, ninampango wa kwenda fungate huko msaada tafadhari.
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia wizara ya mali asili wafikirie kutumia visiwa vya ziwa Victoria kwa uwekezaji wa hotel za kitalii kabla havijavamiwa na makazi holela

    Sijajua kama huwa Kuna vikao vya tathmini, lakini nadhani baadhi ya visiwa vingekuwa chini ya wizara ya mali asili moja kwa moja, na vikaangaliwa kwa fursa ya uwekezaji wa hoteli za kitalii. Hii itasaidia uchumi wa maeneo hayo ya Kanda ya ziwa. Pia, itasaidia utalii wa kutumia boti
  3. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Mwamposa ajenga hotel ya kisasa jijini Mbeya

    Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson. Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii...
  4. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mandhari ya hotel ya Bwana Mwamposa

  5. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro Hotel Korogwe bei ya vyakula ipo juu sana

    Heshima sana, Jana nilikuwa natokea Dar kwenda Arusha.Muda wa saa 2 asubuhi tukapitia hotel ya Kilimanjaro Bus pale Korogwe. Nikaagiza mtori na sambusa tatu na mwenzangu naye akaagiza kama mimi.Baada ya kumaliza tukaletewa bill kibakuli cha Mtori tsh 5,000 sambusa moja 2,000. Nikawauliza huu...
  6. Matope

    JamiiForums Tanzania Hotel nzuri Ruaha National Park ni ipi?

    Wakuu, Msaada wenu naomba kujua hotel nzuri yenye view Kali, yenye kila kitu naweza nipate namba za Simu jina na maelezo ya ziada nahitaji kwenda kuanzia Dec 15 mpk 20 kabla ya kwenda kuhesabiwa Asante.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hotel nzuri iliyoko karibu na UDOM

    Wakuu nitakuwa na safari ya kwenda Dodoma, naomba wanajua maeneo hayo au kama uliwahi kufikia maeneo ya UDOM wa nisaidie majina ya hotel na ukijua bei zao utakuwa imenisaidia sana.
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Hotel ya nyota 5 yenye ghorofa 40 ujenzi wake wakamilika karibu na uwanja wa Kiligolf maji ya chai Arusha

    Mwenye kufahamu mmiliki wa mradi nilioutaja hapo juu aje inbox tafadhali. Hali ya uchumi tunasema ni mbaya ila kuna mradi wa maajabu ulikamilika eneo la Kiligolf Maji ya chai huko Arusha Tanzania. Je ni Lini Mh. Rais wetu mama Samia atakwenda kufungua mradi huo ambao tayari umeshakamilika...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Pitio la Kitabu cha Sheikh Ponda: "Juhudi na Changamoto" Peacock Hotel

  10. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja plot no 157 Medeli East-Dodoma, ukubwa sqm 716 karibu na BOT, Morena Hotel, bei 90 milioni

    Njoo upate eneo la biashara lenye magorofa ya kutosha, haina udalali mmiliki ni mimi mwenyewe. Hati ipo Unaweza kwenda jiji ukamchukua surveyor mwenyewe mkaenda nae hata bila kuniambia ukiridhika nipigie namba 0753477905 tufanye biashara. Napakana na bustan jafo waziri(inapita katikat ya...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Al-Shabaab wateka Hotel na kuua watu 12 Somalia

    Maafisa wa Usalama wamesema takriban watu 12 wameuawa baada ya kundi la Al-Shabaab lenye uhusiano na wanamgambo wa Al Qaeda kuzingira na kushambulia Hoteli ya Hayat iliyopo Mji Mkuu wa Mogadishu. Imeelezwa kuwa Al Shabaab imekuwa ikipigania kuiangusha serikali ya Somalia kwa zaidi ya miaka 10...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tabora Hotel alipohojiwa Bilal Rehani Waikela 1969

    TABORA HOTEL MAHALI ALIPOHOJIWA SHEIKH BILAL REHANI WAIKELA BAADA YA "MGOGORO" WA EAMWS 1969 ''Kilichobakia baada ya kuvunjika kwa EAMWS ilikuwa ni kujaribu kuiweka BAKWATA katika mikoa kama jumuiya inayowakilisha Waislam wote wa Tanzania Bara. Mwaka mzima wa 1969 Adam Nasibu na kamati ya watu...
  13. nyboma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana tafuteni pesa, wikiendi iliyopita binti wa chuo alichonifanyia kwa hotel Dar itabaki kuwa sehemu pendwa ya starehe

    Kwa ufupi kila nikisikia ile nyimbo ya kijana Diamond aliyoimba na Zuchu, mbo..00 inasimama ghafla. Vijana tafuteni pesa ili uzeeni mfurahie maisha, ni wewe kuchagua leo uwe na amina, mke wa khalfani n.K
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania 5 Job Opportunities at Modern Mbeya Highlands Hotel

    Mbeya is a city in southwest Tanzania. It sits at the base of soaring Loleza Peak, between the Mbeya and Poroto mountain ranges. On the town's outskirts is Lake Ngozi, a huge crater lake surrounded by dense forest rich in birdlife. Kitulo Plateau National Park, southeast of the city, is known...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Jeshi la Polisi akiwa Serena Hotel

    Wakili Peter Madeleka adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana muda mfupi baada ya kutoka katika Hotel ya Serena Jijini Dar Es Salaam Jioni hii. ---- Hilda Newton kupitia akaunti yake ya Twitter amesema haya Wakili Peter Madeleka amekamatwa muda huu Serena Hotel Dar Es Salaam na askari...
  16. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Kamisheni ya Utalii Zanzibar kuchunguza Madai ya Mtalii kutoka Naijeria kudhalilishwa kingono

    Zanzibar’s Commission for Tourism has come out to respond to an explosive account of assault shared online by a Nigerian woman on her experience at a ritzy hotel on the island last year. Zainab Oladehinde, through her Twitter account on Saturday, narrated her 23rd birthday celebration at Warere...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

    Katika pitapita zangu za leo nimekutana na tweet hii ya binti kutoka Nigeria,aliyekuja Tanzania kwenye matembezi na kusherekea sikukuu yake ya kuzaliwa . Ameeleza namna ambavyo alikuwa amelala Warere beach hotel na usiku wa manane akashangaa kuna mwanaume kitandani anampapasa papasa na...
  18. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania US hotel chain Marriott to open luxury safari lodge in Maasai Mara

    An artistic impression of JW Marriott Masai Mara Lodge’s junior suite tent bedroom. PHOTO | COURTESY | MARIOTT INTERNATIONAL Global hotel chain Marriott International has signed an agreement with Baraka Lodges Limited to open its first luxury safari lodge in Masai Mara, Narok County. The JW...
  19. Ibrahim daud

    JamiiForums Tanzania Nimesoma Hotel Management, natafuta kazi

    Naitwa Salma Hussein Chuku Nina miaka27 Elimu yangu mpaka form four nimesomea Hotel Management ila si kubahatik kupat ajira popote uzoefu wng ni biashara Msaada wenu waungwana nipate kazi 0684 05 76 98
  20. Chief Kibonde

    JamiiForums Tanzania Nafanikishaje kupata travel insurance certificate, flight reservation, hotel reservation?

    Hello thinkers Salaam wakuu! Nilikiwa naomba mtu mwenye ushauri au ujuzi wa kupata TRAVEL INSURANCE CERTIFICATE, FLIGHT RESERVATION, HOTEL RESERVATION. Hizi ni uambatanisho wakupata viza/Visa ya kusafiria kwa mda. Kama kuna mtu mwenye experience please tujuzane hata kama mtu ataona noma...
Back
Top Bottom