hospitali

Stenoma hospitalis is a moth of the family Depressariidae. It is found in Rio de Janeiro, Brazil.The wingspan is about 29 mm. The forewings are whitish ochreous with the costal edge dark fuscous towards the base. The plical and first discal stigmata are small and ferruginous brown, the plical obliquely posterior. There are two small dark fuscous dots transversely placed on the end of the cell and there is a triangular ferruginous-brown spot on the costa somewhat beyond the middle, and a more elongate one towards the apex. A series of small ferruginous-brown dots is found from the first costal spot strongly curved around beyond the cell, then to two-thirds of the dorsum, and a curved series from the second costal spot to the dorsum before the tornus. There are also some minute marginal dots around the apex and termen. The hindwings are ochreous whitish.

View More On Wikipedia.org
  1. yoga

    JamiiForums Tanzania Madai Hospitali ya Wilaya ya Ilemela kukosa watumishi, huduma nzuri na vifaa, Mganga Mkuu afafanua

    Habari zenu wapendwa, kwa ufupi kabisa niende moja kwa moja kwenye mada. Nimebahatika kuutembelea mji wa Mwanza kwa wiki hii. Moja ya vitu vimenishtua ni hii hospitali ya wilaya ya Ilemela. Kwa upande wa miundombinu hospitali imekamilka kwa asilimia 100 toka 2020. Hospitali hii imejengwa toka...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu azitaka Hospitali za Rufaa kuboresha huduma ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Waziri Ummy Mwalimu amezitaka Hospitali za Rufaa kuboresha huduma ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa Muhimbili, Amesema hospitali za kanda, rufani, mikoa na wilaya huwa wanawahamisha wagonjwa wenye matatizo wanayoweza kuyatibu kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Agizo hilo alilitoa...
  3. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania TAFAKARI: Maduka ya dawa marufuku kuwa karibu na hospitali lakini biashara ya majeneza ruksa kuuzwa karibu na hospitali

    Waziri wa Afya leo ametoa msisitizo kuwa ni marufuku maduka binafsi ya dawa kuwa karibu na viunga vya hospitali za umma hivyo yanapaswa kuwa umbali usiopungua mita 500 kutoka hospitali ilipo. Sababu kuu ni kuwa, huenda maduka hayo ya dawa yanahusika katika kuchochea upungufu wa dawa na vifaa...
  4. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu: Maduka ya Dawa nje ya hospitali yaliyo ndani ya mita 500 kuondolewa

    Leo, Waziri Ummy Mwalimu amesema Maduka yote ya dawa nje ya hospitali yanatakiwa kuwa umbali wa mita 500. Amesema Sheria hii aliipitisha yeye kabla sijaondoka Wizarani na kuongeza kuwa Maduka yaliyo ndani ya Mita 500 ndani ya Hospitali Nchi nzima wanakwenda kuyaondo. Waziri Ummy amehoji...
  5. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Maduka ya Dawa yaliyo nje ya mageti ya Hospitali za Serikali huwa na dawa muda wote lakini ndani ya Hospitali husika hamna dawa

    Kipindi cha awamu ya tano Mheshimiwa Rais Magufuli alipiga marufuku sana ya maduka yaliyo nje ya hospitali za Serikali, kwani ilionekana kuwa hayo maduka ndo chanzo cha Kukosekana dawa ndani ya hospitali hizi za serikali. Wengi tulishuhudia huduma nzuri pamoja na upatikanaji wa dawa ndani ya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mhe Rais hongera kwa madarasa na majengo ya hospitali, ila kwanini kipaombele kwanini kimekuwa makao Mijini na siyo kwenye shule za tembe?

    Mhe. Rais umeeleza madarasa yajengwe Ila waliokwenda kujenga wamekosea strategy, uwezi kujenga madarasa mawili kwenye shule zenye madarasa ya kutosha mjini ukaenda kujenga madarasa mawili kijijini kwenye nyumba za tembe. Zipo shule zilihitaji madarasa Saba yote yajengwe lakini hakuna Fedha...
  7. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Hospitali 10 kujengwa Unguja, Pemba

    HOSPITALI 10 zitajengwa Unguja na Pemba ndani ya kipindi cha miezi sita, hatua itakayoboresha kwa kiwango kikubwa huduma za afya Zanzibar. Hayo yalisemwa na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Wazee, Nassor Ahmed Mazrui wakati akiwapa taarifa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuhusu...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Hospitali Nchini Afrika Kusini zaandaliwa kupokea wagonjwa zaidi

    Rais Cyril Ramaphosa anasema Hospitali Nchini humo zinaandaliwa kulaza wagonjwa zaidi hospitalini, wakati Kirusi cha Omicron kikiendelea kuenea na kupelekea Wimbi la Nne Rais Ramaphosa anasema idadi ya maambukizi ya siku imeongezeka mara tano zaidi ya wiki iliyopita. Amewataka Wananchi kupata...
  9. Dr. Wansegamila

    JamiiForums Tanzania Muhudumu wa afya na mwanafunzi wa udaktari (intern) hospitali ya wilaya Kaliua, mkoani Tabora wasimamishwa kazi kwa kufanya mapenzi wodini

    Mkuu wa wilaya ya Kaliua, Paul Chacha amewasimaisha kazi watumishi wawili wa hospitali ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kushiriki mapenzi hovyo wodini. Chacha amesema awali ulifanyika uchunguzi baada ya wagonjwa kulalamikia vitendo vya wauguzi hao kufanya mapenzi wodini wakiwa zamu za usiku. Mmoja...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya awataka Wakuu wa Wilaya kuchunguza hospitali zinazotoza hela ya kadi ya Kliniki

    Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na watoto Dk. Dorothy Gwajima amewaagiza wakuu wa wilaya zote nchini kufuatilia mienendo ya watumishi wa afya katika hospitali, vituo vya afya na zahanati wanaokiuka sheria za nchi na utaratibu wa utumishi wa umma kwa kuwatoza wakina mama wajawazito...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hospitali ya rufaa Mbeya yazuia maiti ya Eliezer Solomon Njole iliyopo Mochwari inayodaiwa Tsh.1,300,000/=

    Habari za mchana Wadau! Kuna tetesi kuwa Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Mkoa wa Mbeya maarufu kama "Rufaa" imeuzuia Mwili wa Marehemu Eliezer Solomon Njole kutolewa Mochwari. Sababu inaonekana ni kushindwa kulipa deni la Tsh.1,300,000/= anayodaiwa. Je, kama kuna ukweli mliopo Mbeya tujuzeni...
  12. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ametoa mashine za Dialysis kwenye Hospitali za Rufaa sita

    === Mtakumbuka kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ilikuokoa maisha ya watoto wa masikini alipunguza gharama za matibabu ya kuondoa uchafu kwenye damu (dialysis) hii ikiwa ni baada ya figo kushindwa kufanya kazi ya kuondoa maji na taka mwili kwenye damu vizuri === Rais Samia alipunguza bei ya...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wanaokwenda Hospitali kupata matibabu ya kawaida wako hatarini kupata maambukizi ya CoronaVirus

    Data mpya zilizotolewa Nchini Marekani zinasema Watu wanaokwenda hospitali kupata huduma za kawaida (sio za CoronaVirus) wanakuwa kwenye hatari ya kupata Maambukizi ya Virusi hivyo Data hizo zilizotolewa na Shirika la Kaiser Health News zinasema zaidi ya Visa 10,000 vilivyothibitishwa vya...
  14. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Wilaya ya Hai, kumwambia Mama mjamzito anunue vifaa vya kujifungulia ni sahihi kweli au kawaida

    Nimeshangaa na sijaelewa sera ya Serikali kwa kina Mama Wajawazito, tuliambiwa Mama mjamzito kujifungua ni bure ana hudumiwa, sasa Hospitali ya Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Mama mjamzito anaambiwa akanunue Pamba ile kubwa, Gloves na akanunue Vidonge vya kuongeza damu na dawa zingine eti wao...
  15. michlion

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama ya ujenzi wa hospitali

    Jamani samahanini natamani kujua ni gharama gani Yani fedha kwa makadilio inayoitajika kuanzisha hospitali
  16. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Arusha jiji wajengewa hospitali ya kwanza yenye hadhi ya Jiji ya kisasa EAC, Watali sasa kutibiwa Tanzania badala ya Kenya

    Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hospitali zote zinakabiliwa na uhaba wa watumishi

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Hospitali zote zinakabiliwa na uhaba wa Watumishi, akifafanua "Hii ni kutokana na kiwango cha ukuaji wa Uchumi" Amesema hayo leo akiwa Moshi Mkoani Kilimanjaro katika Maadhimisho ya Jubilee ya Miaka 50 ya Hospitali ya KCMC Ameongeza, "Tunapopiga mahesabu ya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hospitali ya Seliani Arusha inayomilikiwa na Kanisa yazuia mwili wa Marehemu wakidai walipwe fedha za matibabu cash

    Nimepata Taarifa kutoka kwa familia moja ambao wameoa huko Mkoani Arusha zikisema walipata msiba wa Mkwe zaidi ya wiki Sasa lakini mazishi hayajafanyika kwa sababu Hospitali inadai haitotoa mwili hadi walipwe deni la matibabu. Taarifa zinadai wanafamilia wamepeleka zaidi ya nusu ya fedha na hati...
  19. sinajinasasa

    JamiiForums Tanzania Mnajenga Hospitali za nini?

    Watu ni wajinga sana, kitu cha maana wanachokiona ni kujengewa zahanati kila kijiji, lakini nawaambia hivi Medical system yoyote pale duniani zinafanana kwa principle zake za uendeshaji. Medical system haipo kwa ajili ya kutibu na kufuta magonjwa bali kuyaongeza na kuyaongeza zaidi, watu...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amsimamisha kazi Afisa Manunuzi Wilaya ya Karagwe kwa kutoridhishwa na ujenzi wa Hospitali

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Afisa Manunuzi wa Wilaya ya Karagwe Bw. Yesse Kaganda baada ya kutoridhishwa na viwango vya ubora wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Karagwe ambayo imejengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 2.5. “Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kila wakati...
Back
Top Bottom