#COVID19 Norway yaondoa vizuizi vya kupambana na COVID-19

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Norway imesema inaondoa vizuizi vyote vya kupambana na janga la COVID 19, kwa sababu haioni kitisho kikubwa cha afya kwa raia wake kutokana na janga hilo, licha ya kwamba kirusi cha Omicron bado kinasambaa nchini humo.

Waziri Mkuu wa Norway Jonas Gahr Stoere amesema huu ni muda waliousubiri kwa muda mrefu huku akisema raia wake wanalindwa vyema kwa chanjo ya COVID 19.

Ameongeza kuwa idadi ya watu wanaolazwa hospitali wakiugua corona imepungua licha ya kusambaa kwa kirusi hicho kipya.

Kuanzia leo raia wa Norway hawatolazimika kuvalia barakoa katika maeneo yaliyojaa watu pamoja na kuondoa masharti ya kukaa umbali wa mtu na mtu.

Kukaa karantini kwa muda wa siku 14 kumeondolewa na sasa watu wazima watakaoathirika watalazimika kukaa nyumbani siku nne tu.
 
Ni jambo la muda tu ilikua.

Magufuli was ahead of time, aliona mbali.

Covid ni hoax tu kama uzushi mwingine. Hatari ya korona sio kama ambayo tumedanganyaa ili watu wauze chanjo zao, ni mafua kama mafua mengine.
 
Finland pia inajiandaa kuondoa vikwazo hivyo kesho. Hata hivyo kuna baadhi hususani zile zinazohusu mataifa wasio wanachama wa jumuiya ya Ulaya zitaondolewa mwezi ujao.

Korona kwisha habari yake!
 
Eti Magufuli was ahead of time!!! Yeye alisema ugonjwa haupo, akagoma kuchanja, na korona hiyo hiyo ni tatizo mojawapo (he had several!) lililomuondoa duniani! Hao wanaondoa vizuizi, kwa vile asilimia kubwa ya wananchi wamechanjwa, na ukisoma vizuri amesema watu wake wanalindwa na chanjo ya korona!

Endeleeni kuamini ujinga, hadi mkumbwe nyie! Angalia hata ripoti ya mwisho ya Ummy Mwalimu, kati ya wote waliofariki ni mmoja tu alikua amechanjwa, wengine wot ni wale ambao walikaiddi hawakuwa wamechanjwa! Nanyi ambao hamjachanjwa, subirini zamu zenu tu!

Ujanja kuchanja, chukua hatua sahihi!
 
Eti Magufuli was ahead of time!!! Yeye alisema ugonjwa haupo, akagoma kuchanja,
Unadhani ulikuwa unaishi Tanzania peke yako?

Yale maombi yalikuwa ni ya nini kama alisema ugonjwa haupo?

Hata kama humpendi ila Rais Magufuli kwenye Korona aliwashinda hata hao wazungu unawaona miungu watu. Wanayoyafanya leo ni mambo ambayo mh. Rais aliyafanya 2019/2020. Shida ya watu wenye elements za kitumwa kama zako huwa hawajivunii mambo yao. Tulipaswa kujivunia hili, badala yake ujinga ujinga tu manawaza!
na korona hiyo hiyo ni tatizo mojawapo (he had several!) lililomuondoa duniani!
Wewe ni daktari wake? Kwa hiyo Mh. Rais Samia alidanganya taifa? Yaani Watanzania wengine mnapenda umbeya sana. Ndio mnadanganyana hivyo kwenye vijiwe vyenu?
Hao wanaondoa vizuizi, kwa vile asilimia kubwa ya wananchi wamechanjwa,
Hebu ona ujinga mwingine!
Kwa hiyo sisi Tanzania ambao less than 4% wamechanja, ambao tumekuwa tukiishi bila bugudha na tunaendelea kuijenga nchi yetu nasi tumechanja?

Kaangalie stats za Norway, Sweden na Denmark halafu ndio uje uandike uongo wako hapa. Kama Korona ingekuwa hatari kama unavyotaka kutuaminisha, basi maduka yote kule kariakoo yangekuwa yamefungwa na wangekuwa vitandani hoi na Korona. Ila kwa ground hali ni tofauti na uongo wako huu!
na ukisoma vizuri amesema watu wake wanalindwa na chanjo ya korona!
na Watanzania wanalindwa na chanjo ya nini?

Endeleeni kuamini ujinga, hadi mkumbwe nyie!
Yaani wewe utakuwa kati ya Watanzania wajinga kabisa. Hivi vitisho mmeanza toka 2019 mpaka leo hamuoni aibu tu?

Angalia hata ripoti ya mwisho ya Ummy Mwalimu, kati ya wote waliofariki ni mmoja tu alikua amechanjwa, wengine wot ni wale ambao walikaiddi hawakuwa wamechanjwa!
Yaani kwa less than 4% rate ya waliochanjwa hakupaswa kufa hata mmoja. Ukweli kwamba kuna aliyekufa unakwambia kitu kuhusu hizo unazoziita chanjo!

Hawa pia walikufa kwa sababu hawakuchanja:

Nanyi ambao hamjachanjwa, subirini zamu zenu tu!
Huyu mwenzako alienda mbali zaidi ya wewe na hatunaye, maskini!

Wewe jione uko kwenye safina ya chanjo na uko salama. Sisi wengine tutaendelea kumwamini Mungu aliyetuvusha salama kama nchi. Mwisho wa siku tutaona nani mwenye mamlaka ya mwisho juu ya uhai wa mwanadamu: Mungu wa Mbinguni ama pFizer, Moderna na J & J

Ujanja kuchanja, chukua hatua sahihi!
Wewe kachanje, kama rais alivyosema. Ukiisha tumia hiyari yako imetosha. Wengine tumetosheka na ujinga wetu!
Hatua sahihi kwa wajinga sisi ni kumtegemea Mungu aliyetupa kuishi, ambaye kwa wakati wake atachukua uhai wetu ambao ni mali yake. Hatuishi maisha ya hofu kwa sababu tunajua kuwa BWANA hutoa na Yeye hutwaa. Hahitaji kupata ushauri wa pFizer, Moderna wala J & J kufanya maamuzi yake.

BONUS:

And... FBI
 
Unadhani ulikuwa unaishi Tanzania peke yako?

Yale maombi yalikuwa ni ya nini kama alisema ugonjwa haupo?

Hata kama humpendi ila Rais Magufuli kwenye Korona aliwashinda hata hao wazungu unawaona miungu watu. Wanayoyafanya leo ni mambo ambayo mh. Rais aliyafanya 2019/2020. Shida ya watu wenye elements za kitumwa kama zako huwa hawajivunii mambo yao. Tulipaswa kujivunia hili, badala yake ujinga ujinga tu manawaza!

Wewe ni daktari wake? Kwa hiyo Mh. Rais Samia alidanganya taifa? Yaani Watanzania wengine mnapenda umbeya sana. Ndio mnadanganyana hivyo kwenye vijiwe vyenu?

Hebu ona ujinga mwingine!
Kwa hiyo sisi Tanzania ambao less than 4% wamechanja, ambao tumekuwa tukiishi bila bugudha na tunaendelea kuijenga nchi yetu nasi tumechanja?

Kaangalie stats za Norway, Sweden na Denmark halafu ndio uje uandike uongo wako hapa. Kama Korona ingekuwa hatari kama unavyotaka kutuaminisha, basi maduka yote kule kariakoo yangekuwa yamefungwa na wangekuwa vitandani hoi na Korona. Ila kwa ground hali ni tofauti na uongo wako huu!

na Watanzania wanalindwa na chanjo ya nini?

Yaani wewe utakuwa kati ya Watanzania wajinga kabisa. Hivi vitisho mmeanza toka 2019 mpaka leo hamuoni aibu tu?

Yaani kwa less than 4% rate ya waliochanjwa hakupaswa kufa hata mmoja. Ukweli kwamba kuna aliyekufa unakwambia kitu kuhusu hizo unazoziita chanjo!

Hawa pia walikufa kwa sababu hawakuchanja:

Huyu mwenzako alienda mbali zaidi ya wewe na hatunaye, maskini!

Wewe jione uko kwenye safina ya chanjo na uko salama. Sisi wengine tutaendelea kumwamini Mungu aliyetuvusha salama kama nchi. Mwisho wa siku tutaona nani mwenye mamlaka ya mwisho juu ya uhai wa mwanadamu: Mungu wa Mbinguni ama pFizer, Moderna na J & J

Wewe kachanje, kama rais alivyosema. Ukiisha tumia hiyari yako imetosha. Wengine tumetosheka na ujinga wetu!
Hatua sahihi kwa wajinga sisi ni kumtegemea Mungu aliyetupa kuishi, ambaye kwa wakati wake atachukua uhai wetu ambao ni mali yake. Hatuishi maisha ya hofu kwa sababu tunajua kuwa BWANA hutoa na Yeye hutwaa. Hahitaji kupata ushauri wa pFizer, Moderna wala J & J kufanya maamuzi yake.

BONUS:

And... FBI

Alikiri ugonjwa upo na ndio maana akaweka partial lockdown, alivyoona kwamba ugonjwa wenyewe wa kawaida akasema "tusitishane huu ugonjwa ni wa kawaida tuishi nao kama tunavyoishi na magonjwa mengine....." na ndicho wanachofanya sasa hivi nchi za Ulaya,so alikuwa mbele muda.
 
Eti Magufuli was ahead of time!!! Yeye alisema ugonjwa haupo, akagoma kuchanja, na korona hiyo hiyo ni tatizo mojawapo (he had several!) lililomuondoa duniani! Hao wanaondoa vizuizi, kwa vile asilimia kubwa ya wananchi wamechanjwa, na ukisoma vizuri amesema watu wake wanalindwa na chanjo ya korona! Endeleeni kuamini ujinga, hadi mkumbwe nyie! Angalia hata ripoti ya mwisho ya Ummy Mwalimu, kati ya wote waliofariki ni mmoja tu alikua amechanjwa, wengine wot ni wale ambao walikaiddi hawakuwa wamechanjwa! Nanyi ambao hamjachanjwa, subirini zamu zenu tu!

Ujanja kuchanja, chukua hatua sahihi!
Wewe taahira uwe unasoma majarida yanayotabulika Duniani na yanaandika nini, usipende kukurupuka.

Jarida maarufu la afya Duniani, Lancent Journal limetoa takwimu january iliyopit kwamba maambukizi ya Covid ni 90% kwa waliochanjwa kuliko ambao hawajachanja, sasa wanalimdwa na chanjo gani hiyo?

Ndio maana UK imesema watu wataishi na Covid kama mafua tu kwa sababu hatua zote walizochukua covid iko pale pale wameona wanaweza kuishi nayo tu.

Unasema wanalindwa na chanjo, sisi Tanzania tunalindwa na nini kama watu 2M ndio waliochanjwa huku zaidi ya 59M hawajachanja, vifo vya hao waliochanja na vya Tanzania vinalingana?

Tumia hata akili ndogo uliyonayo kufikiri, ama basi tumia hata makalio kama huwezi kutumia akili.
 
Back
Top Bottom