hongera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Hivi mexence Mello angekuwa weak kwa Hawa CCM tungeshughulikiwaje anonymous! Hongera mexence unafaa kuwa speaker

    Kiuhalisia huyu mmiliki wa jamii forum aliyepelekwa mahakamani na Meko ana nguvu na ustahimilivu wa Hali ya juu kushinda hata wa jobu ndugai, amefanya jamii forum kuwa platform huru sana na ameokoa wengi kutokushughulikiwa. Kama mexence angeweka tumbo lake mbele wanajamii forum wengi wangekuwa...
  2. Maneno Meier

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, nimeukubali msimamo wako. Hongera sana

    Asante sana Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wetu mpendwa, kwa msimamo wako thabiti ulio tuonyesha tarehe 28 mwezi Desemba mwaka 2021 huko IKULU Magogoni wakati wa kushuhudia kutia saini mkataba wa kuendeleza SGR yetu kipande cha tatu kati ya Makutupora Singinda na Tabora. Kusema kweli, hotuba...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Assessment ya Utawala wa Awamu ya 6 tangu Machi hadi leo Desemba 31, 2021. So far so good, hongera Samia!

    Utawala wa Awamu ya sita ulianza rasmi tarehe 17 mwezi machi mwaka 2021, Rais Samia alichukua kiti cha Uongozi baada ya kifo cha JPM. Katika miezi hii 9 na ushee Mama huyu alipochukua kiti cha Uongozi napenda kusema nimeridhika kwa namna ambayo analiongoza Taifa letu pendwa la Tanzania. Amepata...
  4. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kushuhudia utiaji wa saini wa Mkataba SGR

    Mkataba wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha kilomita 368 kutoka Makutupora hadi Tabora utatiwa saini leo Ikulu huku rais Samia akishuhudia Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hongera Baba Askofu Shao wa Kanisa Katoliki Zanzibar

    Kiongozi wa dini ni kiungo cha jamii. Hapaswi kuwa mrengo wa kulia au kushoto (katika kujenga jamii moja). Hivyo ni muhimu mno kwa kiongozi wa dini atumie vema ulimi wake ili mwisho wa siku utoe matunda ya umoja, amani, utulivu, usalama na upendo katika jamii. Ndivyo alivyofanya Baba Askofu...
  6. Mtondoli

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia Suluhu Hassan tunaanza kuiona Paradiso, angalia usihangaike na vipofu wasioona

    Mimi ni muumini wa viongozi Bora na sio watawala Bora. Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha yeye nikiongozi na sio mtawala, tulichelewe sana kumuona huyu mama, zamani nilikuwa mgumu wa kuamini kwamba mwanamke anaweza kuwa shupavu kama huyu Huyu ni bingwa wa diplomasia na ukiangalia hasa moyo...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mhe Rais hongera kwa madarasa na majengo ya hospitali, ila kwanini kipaombele kwanini kimekuwa makao Mijini na siyo kwenye shule za tembe?

    Mhe. Rais umeeleza madarasa yajengwe Ila waliokwenda kujenga wamekosea strategy, uwezi kujenga madarasa mawili kwenye shule zenye madarasa ya kutosha mjini ukaenda kujenga madarasa mawili kijijini kwenye nyumba za tembe. Zipo shule zilihitaji madarasa Saba yote yajengwe lakini hakuna Fedha...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hongera CHADEMA kwa kuwaamsha Watanganyika

    Maana hizi sherehe kubeba jina la Uhuru wa Tanzania huwa ni batili waandalizi inafaa wafunguliwe mashtaka kwa kutumia Jina la Tanzania kuchota hela na kusheherekea Uhuru wa nchi ambayo ilishafutwa na haipo inakuwaje? Sasa sio katiba mpya bali na Tanganyika lazima iwepo ili hizi sherehe za kila...
  9. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Hongera JWTZ kwa kuonyesha umahiri na utayari

    Hakika nalipongeza jeshi letu, JWTZ, kwa umahiri na uweledi katika shughuli zao za Ulinzi wa nchi. Hawa wapiganaji , si wa enzi zetu za JKT, kupigana kwa singe na bunduki za SAR na sana sana SMG. Sasa naona kuna mitambo ambayo ni projectiles zinazohitaji mahesabu na timing. Hongera JWTZ, yo...
  10. Gamba la Nyoka

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali kwa kukubali kumtendea haki mtoto wa kike

    Hatimaye serikali imesikia kilio cha wadau wa elimu waliokuwa wakishauri kuitaka serikali iruhusu watoto wanaopata ujauzito wangali mashuleni waendelee na masomo, binafsi naipongeza serikali kwa kuona kuwa ni vyema na haki kuwaandalia utaratibu watoto hao kuendelea na masomo, Na sababu zangu ni...
  11. Thailand

    JamiiForums Tanzania Hongera Rayvany kupiga show ya kibabe Hungary. Ushauri

    Kwanza nichukue fursa hii kama watanzania wengine kukupongeza ndugu yetu Rayvany kwa kupiga show moja matata sana kwenye tuzo za MTV zilizofanyika Budapest nchini Hungry. Kwa ufupi ile show imekuweka kwenye position nzuri kuendelea kutoboa kimataifa, thamani yako imepanda sana sokoni...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwambe: Mazungumzo ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanza rasmi

    Waziri wa uwekezaji Mr. Mwambe amesema hakuna mkataba wowote uliosainiwa hapo awali kuhusu bandari ya Bagamoyo zaidi ya minutes tu za vikao. Mwambe amesema serikali itaanza rasmi mazungumzo na Oman na China ikiwa na maagizo ya Rais Samia baada ya kuwa amezipitia nyaraka zote. Chanzo: ITV...
  13. BigBro

    JamiiForums Tanzania Samia ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania

  14. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera Wakenya kwa kukuza lugha ya Kiswahili Sudan Kusini

    Niko huku Sudan Kusini nasaka mpunga kwenye mishe fulani hivi na nimefaulu kukatiza maeneo mengi na kushududia namna Wakenya wamehusika pakubwa kwenye kubadilisha maisha ya hawa watu waliokua wamezoea vita maporini. Kiswahili kinazidi kutamalaki na kuzagaa, leo hii kuna ushindani mkali baina ya...
  15. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera Kenya. 92.3% ya umeme wetu ni wa nishati mbadala (renewable energy)

    92.3% ya umeme wetu ni renewable energy. Tutagonga 100% kabla ya mwaka wa 2030. Renewables Provided 92.3% Of Kenya’s Electricity Generation in 2020! As the world races to decarbonize, Kenya’s electricity sector is well on the way to being powered by 100% renewables. According to the latest...
  16. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kusikiliza maoni yetu wanaJF

    Habari wakuu. Nimeona huko kwa Millard Ayo, hela zimetengwa kujenga upya Kariakoo ambayo ita accommodate wafanya biashara 2000! ...hii tulishauri hapa kulivyokua na discussion za kuhamisha wamachinga. .Kariakoo ni mjini, kituo cha biashara mama Samia ametambua ni vizuri pajengwe vizuri, pawe...
  17. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Kutimuliwa kwa wamachinga uchumi utapaa sana, hongera Rais Samia kwa kutumia akili

    Poleni wamachinga wote. Nawapa pole lakini nawalaumu pia,mlijisahau sana, Mlibweteka. Ukiacha kulisha familia yako una faida gani kwa nchi? Je, wewe mmachinga unataka maendeleo kweli huku hutaki kulipa kodi? Unataka mwanao aje asome shule nzuri,apate mkopo, serikali itatoa wapi pesa kama...
  18. Huihui2

    JamiiForums Tanzania RC Mongella, Hongera kwa Kuwajengea Machinga Eneo la Biashara

    Machinga wa Arusha wanajengewa sehemu ya biashara baada ya kuondolewa maeneo yasiyo rasmi. Hata kama hatumpendi Rais Samia kwa hili tumpongeze sana tu. Uongozi siyo maguvu, kelele na matusi bali mipango tu
  19. N

    JamiiForums Tanzania Hongera Samia kwa kumfanya Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

    Kwa jina la JMT, nawasalimu sana! binafsi, nafasi ya waziri mkuu ni moja ya nafasi ninayoiheshimu sana na kuiogopa.......tangu nilipopata akili ya kufuatilia mambo ya siasa, mpaka sasa! nikisikia 'Waziri Mkuu', basi picha inayonijia akilini ni; Ukali (kwa wazembe), Uwajibishaji (kwa wakosefu)...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Poleni Wamachinga lakini hongera Rais Samia kwa uamuzi mgumu uliochukua

    Machinga wameondolewa nini kitafuata? Kwanza niipongeze serikali kwa zoezi hili zuri. Kwa kweli ilikuwa kero na sijui tungefika wapi na wababe hawa, maana walijaa barabarani kama magari, mitaroni kama maji taka. Haikuwa nzuri hata kidogo. Waliowaruhusu waliwaita wanyonge na mkakubari kuuitwa...
Back
Top Bottom