hongera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Hongera wanawake wa Afrika Mashariki, lakini kuna ya kujifunza kutoka kwa wanawake wa China

    Katika nusu ya kwanza ya mwaka huu eneo la Afrika Mashariki limeng’ara tena kwenye ramani ya dunia, kwa wanawake wake kuwa kwenye nyadhifa za juu za utawala. Kwanza ni nchini Tanzania ambako rais Samia Suluhu aliapishwa kuwa Rais, na nchi Kenya ambako Bibi Martha Koome alichaguliwa kuwa jaji...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Salary slip za Juni 2021 zimerekebishwa, Hongera Hazina na waliopaza sauti

    Wale ambao mlikatwa bodi mwezi Juni ila deni halikupungua tatizo hilo limeisha baada ya hazina kufanya marekebisho na kutoa salary slips mpya. Ahsante kwa wote waliopaza sauti pia kwa wahusika waliojitahidi kurekebisha hili kwa haraka. Kazi iendelee. Pia soma Malalamiko ya Makato ya Deni la...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Rebranding Tanzania: Hongera Rais Samia, ni dhahiri Tanzania inaenda kuonekana kwenye ramani ya Dunia kiuchumi

    Amani iwe nanyi wadau! Leo napenda kuongelea kuhusu suala la program aliyoibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kui rebrand nchi yetu na faida ya programu hii kiuchumi huko mbeleni. Kwanza kabisa napenda kutoa pongezi kwa Mama Samia na huu ubunifu wake. Kwa uzoefu wangu, nchi chache...
  4. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali: Ukweli kuhusu Bajeti ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2021/2022

    Kwema wanajamvi, tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uzima na afya. Poleni na majukumu mbalimbali ya kulijenga taifa, Moja kwa moja naomba niende kwenye mada. Wahenga walisema "Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha", baada ya mjadala mrefu juzi Juni 22, 2021 Bunge la Tanzania lilipitisha na kuidhinisha...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kuendeleza magorofa ya Morocco na Kigamboni

    Jana nimepita moroco na Kigamboni magorofa ya hifadhi ya jamii yaliyokuwa yametelekezwa yote yameanza kuendelezwa kwa Kigamboni nimeona wanafyeka majani maana kule hata nyoka walishaanza kufanya makazi kwa msitu wa majani uliokuwa umeanza kuota. Na kwa Morocco ilikuwa ni suala la aibu...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kumbe DPP kutenda haki kunawezekana! Hongera sana, kazi umeianza vizuri. Sasa haki sio tu inatendeka, inaonekana! Kazi Iendelee…

    Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", nikiangazia suala zima za utoaji haki nchini, ambapo makala hii ni muendelezo wa ushauri kwa DPP, ulioanza wiki iliyopita. Wanasheria wana vimisemo vyao vingi vingi vya kisheria, vingi viko kwenye lugha ya Kilatini, na...
  7. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto apostiwa na page mashuhuri ya udaku Marekani (TheShadeRoom)

    Watanzania wote wako proud baada ya mrembo hamisa mobetto kupostiwa na page mashuhuri ya udaku marekani TheShadeRoom. Mrembo huyo amepostiwa kama ndio girlfriend mpya wa mwana muziki na billionaire Rick Rose. Baada ya page hiyo mashuhuri kumpost inaonekana hadi warembo wamarekani wameanza...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hongera Nape, suala la kukaimu muda mrefu ni tatizo

    Katika mchango wake bungeni mh. Nape Nnauye ameshauri itungwe sheria inayoweka ukomo wa kukaimu. Jambo hili nikweli bora litungiwe sheria ili kuboresha mazingira ya utendaji kazi,uwajibikaji na kuondoa viashiria vya rushwa. Madhara yake yanaonekana Tanga Jiji kwani wapo watumishi waliopewa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hongera Ummy Mwalimu kwa Utendaji kazi wako usikivu wako

    Nianze kwa kukusalimu kwa salamu nzuri inayohamasisha ufanyaji kazi katika hali na juhudi kubwa "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania". Siandiki bandiko hili nikitarajia ujira wowote katika kuandika haya na wala siandiki hili kwa kuwa tunatokea Tanga tena mwahako bali naandika kama raia mwema...
  10. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Hongera CP Hamduni Salum kwa kumpigia simu Elioth Lyimo na kuagiza maafisa wa TAKUKURU mkoani Kilimanjaro wafungue jalada la uchunguzi

    Napenda kutumia fursa hii kumpongeza kwa dhati Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP Salum Hamduni kwa kumpigia simu mzee Lyimo na kuagiza maafisa wa TAKUKURU mkoani Kilimanjaro wafungue jalada la uchunguzi. Mzee Lyimo ni mfanyabiashara ambaye aliporwa TZS 25M na aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mafanikio Makubwa ya Kitabibu Yafanyika. Hongera Serikali Awamu ya 6

    Jamiiforums naona kuna baadhi ya threads mnazi delete bila sababu ya msingi. Tupeane Mwongozo Zinatakiwa threads za namna gani pekee? Tunashukuru pia kijiografia nchi kama Usa, Ugiriki, Misri sasa zimesogezwa karibu na Tanzania.
  12. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hongera JamiiForums, Sauti yenu Imefika Wizara ya Elimu kuhusu Watoto kutokufunga Shule Likizo

    Nimefurahi sana baada ya malalamiko yaliyotolewa hapa kuhusu Wanafunzi kutokufunga shule wakati wa Likizo. Nimeona barua ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kitengo cha Udhibiti Ubora wakizataka shule hizo kutoa maelezo kwa nini hawakufunga shule. Nikiwa kama Mwalimu kitaaluma naungana...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na Basi "Made in Tanzania", hongera Rais Samia Suluhu

    Salaam Wakuu, Nimeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma. Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele. Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna...
  14. technically

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ole Sabaya atendewe haki

    Ijapokuwa Ole Sabaya anatuhumiwa kufanya uovu mkubwa wakati akiwa DC Hai, alipaswa kufunguliwa mashtaka ya jinai kortini. Kwa TAKUKURU kumweka mahabusu kwa wiki nzima ni kukiuka sheria za nchi yetu & kuendeleza tabia ya ukiukaji wa haki za binadamu ya vyombo vyetu vya usalama!
  15. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yaacha kununia muungano wa AfCFTA. Hongera Rais Samia, watakuelewa tu

    Kwa kweli huyo mama anafanya yake. ========= The government will ratify the Africa Continental Free Trade Area (AfCFTA) between June and October this year, it was heard in Dar es Salaam yesterday. The document will be taken to Parliament for ratification upon getting the endorsement of the...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzay Mheshimiwa Samia Suluhu leo Mei 22, 2021 amekutana na kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania ( TRC) Masanja Kadogosa Katika mazungumzo hayo muhimu yaliyofanyika Ikulu pamoja na mambo mengine walijadili maendeleo ya Mradi wa...
  17. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Mama Maria Nyerere

  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa maamuzi yako kwenye Corona

    Amani iwe nawe Mama yetu! Kwa mfululizo nimekuwa nikiandika mada mbalimbali za kukushauri juu ya mustakabali wa uchumi wetu sisi Tanzania kama nchi. Leo badala ya kukushauri, napenda sana kukupongeza kwa hatua ulizochukua dhidi ya Corona. Moja ya sifa kuu za kiongozi mzuri ni kuwa anatakiwa...
  19. mediaman

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Maxence Melo

    Kwa heshima na taadhima, nakupongeza na kukushukuru sana Maxence Melo kwa kubuni jamvi hili zuri na kulisimamia vema tangu ulipolianzisha miaka mingi iliyopita. Nakuvulia kofia, Mkuu. Mimi binafsi nimepata faida nyingi sana humu. Kupitia jamvi hili nimeelimika kisiasa, kiafya, kibiashara na...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Hongera Bi Nenelwa Muhambwi kuteuliwa kuwa Katibu wa Bunge, katende haki!

    Binafsi nampongeza sana bi Nenelwa Muhambwi kwa kuteuliwa kuwa Katibu wa bunge la JMT. Katibu wa bunge ndio kiungo muhimu kati ya bunge na serikali tuna imani utakwenda kutenda haki. Kadhalika utawakuta wale wabunge 19 wa Chadema ambao ubunge wao una utata, Tafadhali kamshauri ipasavyo mh...
Back
Top Bottom