hongera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais wa JMT. Nimeona nyumba wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro huku Handeni. Kusema kweli unastahili kuwa Rais wa JMT

    Kusema ukweli Huyu mama sio wa kawaida. Nimeona nyumba za kudumu na kisasa wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro wanaohamishiwa Mkoani Tanga maeneo ya Handeni na Kilindi. Ni nyumba za kisasa zinazoakisi akili ya Serikali yako katika kupanga na kutekeleza mipango thabiti kwa maslahi ya Tanzania...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Hongera Tanzania kwa kusimamia sera ya NAM!!

    Hii ni sera madhubuti na ya kipekee yaani kutofungamana na upande wowote. Non Alignment Movement. Hatuna adui na Hatuna Rafiki
  3. S

    JamiiForums Tanzania Pole sana Freeman Mbowe, hongera kwa kuwa huru na Asante!

    1. Pole sana Mheshimiwa Mbowe kwa kukaa rumande kwa kipindi hicho chote. mambo mengi ya kifamilia, kiuchumi, kijamii na kisiasa yalikwama kwa sababu haukuwepo mtaani. Sisi wafuasi na wapenda haki tuliumizwa sana kwa kuwa ilikuwa ni unyanyasaji wa wazi wa dola dhidi yako na wenzako bila hata...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hongera TotalEnergies si tu kwa kuonyesha upendo, bali kuendeleza upendo. Wengi badala ya kuonyesha upendo, wanaonyeshea ili watu waone

    Wanabodi, Hii ni makala ya Jumapili ya leo. Jumatatu ya wiki iliyopita, February 14, Watanzania tumejiunga na nchi nyingine duniani, kuadhimisha siku ya Wapendanao, yaani Valentine Day, ambayo huadhimishwa kwa watu kuonyeshana upendo na kupeana zawadi mbalimbali za kuonyesha upendo wakiwemo...
  5. Relief Mirzska

    JamiiForums Tanzania Hongera Tundu Lissu kwa kumuelewa Rais Samia Suluhu, japokuwa it had to be the hard way

    Wanajamvi, Waswahili walisema chelewa ufike. Na pia Bora nusu shari kuliko shari kamili. Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kwa Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu kwa hatimae kumuelewa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Amir jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tribute to Silent Heroes & Heroines: Hongera “Idara” Kuhudumia Wastaafu Wake Till D-Day!”. Je Huu Sio Ubaguzi?!. Why Only Some but not All of Them?!

    Wanabodi, Hii ni makala ya Jumapili iliyopita. Naendelea na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", leo ikiwa ni makala ya Tribute to certain Silent Heroes and Heroines, na kuipongeza “Idara” kwa kuwahudumia wastaafu wake hadi mwisho!” kifoni, lakini nina swali, nikiamini binadamu wote ni...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Daraja la Tanzanite. Kongole Rais Samia!

    Daraja limejengwa mita chache kutoka daraja la zamani la Salenda. Lina Urefu wa takribani Mita 1030, Upana wa Mita 20.3 na Urefu wa Barabara Unganishi yenye KM 5.2 zilizojengwa kwa kiwango cha lami. Daraja limekamilika kwa asilimia 100%. Tofauti na madaraja mengi ya namna hii barani Afrika...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Serikali inapokosolewa kwa Constructive Criticism, je, Ifuate Ushauri? Hongera Bunge letu tukufu kufuata ushauri na kutuondolea ubatili huu

    Wanabodi, Hii ni Nipashe ya Leo, 30.01.2022 Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huteremka na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" leo ni swali na pongezi. "Serikali inapokosolewa kwa constructive criticism, kama ushauri uliotolewa ni ushauri nzuri wenye maslahi kwa taifa, jee serikali...
  9. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla; Hongera kwa kushinda vita dhidi ya Ndugai

    Hapo ni April 2018. Kwangu nililiona hili kama ni personal vendetta dhidi ya uhuru wa habari na dhidi ya mwandishi mbobezi Bwana Pascal Mayalla japo mpaka leo hajawahi kutujuza ni nini kulikuwa matokeo ya kikao hicho. Tunajuwa kimoja tu kuwa walikukatia biashara zako za PPR kwenye sekta mbali...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!

    Wanabodi, Hii ni Nipashe ya Leo 23/01/2022 Leo ni mwendelezo wa mada ya wiki iliyopita kuhusu Spika Bora na Bora Spika, Kujiuzulu kwa Ndugai ni Mpango wa Mungu kwa Tanzania ili Tupate Spika Bora. Je CCM Ituteulia Spika Bora, au Bora Spika Kama Kawa?. Isipo...Karma Ita.. ambapo niliwaomba CCM...
  11. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Msukuma apata 'A' zote kwenye matokeo ya kidato cha pili

    Wakati mnapigania elimu bure, nyie mnajua jinsi ya kuwekeza kwenye elimu bora. Namba 5
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hongera Maria Sarungi, mmeanza vyema kupata wajumbe wa Kamati ya Katiba lakini nadhani mmekosea fanyeni maboresho

    Awali nilipokuwa naangalia ujio wa SPACE kama njia ya kufanya bunge la wananchi sikuona Kwa upana ukubwa wa forum Hii. Nikiri Kwamba Maria Sarungi ni Moja ya mtu aliyenufaika kiubunifu na utawala wa awamu ya Tano. Alipofungiwa online TV yake hakukata tamaa alifanya research ni namna gani...
  13. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Nape, Mimi ni Miongoni mwa tulioumizwa sana kutolewa kwako bila sababu

    Hongera Sana Mkuu, Umerudi kwenye Jungu Kuu, Wahuni walifanya sikukuu, Pale ulipokamuliwa jipu na Mkuu, Waoneshe kazi unaiweza, Wala usihangaike nao. Ulikuwa ukitimizaajukumu Yako, Tena Kwa kutumia weledi wako, Ukakumbana na likambako, Ambalo baba alilipaka upako, Waoneshe kazi unaiweza, Wala...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Nape Nnauye kwa kurudi kwenye nafasi ya Uwaziri

    Ninapenda kutumia jukwaa hili kumpongeza waziri wa michezo Nape Nauye. Hizi pongezi ni mahususi kwa Nape kwa sababu ni moja ya viongozi walioweza kusimamia haki na ukweli kwa kulipa gharama kubwa ya kupoteza nafasi yake ya Uwaziri. Funzo: Viongozi mnaoteuliwa simamieni haki bila kujali kama...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Hivi mexence Mello angekuwa weak kwa Hawa CCM tungeshughulikiwaje anonymous! Hongera mexence unafaa kuwa speaker

    Kiuhalisia huyu mmiliki wa jamii forum aliyepelekwa mahakamani na Meko ana nguvu na ustahimilivu wa Hali ya juu kushinda hata wa jobu ndugai, amefanya jamii forum kuwa platform huru sana na ameokoa wengi kutokushughulikiwa. Kama mexence angeweka tumbo lake mbele wanajamii forum wengi wangekuwa...
  16. Maneno Meier

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, nimeukubali msimamo wako. Hongera sana

    Asante sana Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wetu mpendwa, kwa msimamo wako thabiti ulio tuonyesha tarehe 28 mwezi Desemba mwaka 2021 huko IKULU Magogoni wakati wa kushuhudia kutia saini mkataba wa kuendeleza SGR yetu kipande cha tatu kati ya Makutupora Singinda na Tabora. Kusema kweli, hotuba...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Assessment ya Utawala wa Awamu ya 6 tangu Machi hadi leo Desemba 31, 2021. So far so good, hongera Samia!

    Utawala wa Awamu ya sita ulianza rasmi tarehe 17 mwezi machi mwaka 2021, Rais Samia alichukua kiti cha Uongozi baada ya kifo cha JPM. Katika miezi hii 9 na ushee Mama huyu alipochukua kiti cha Uongozi napenda kusema nimeridhika kwa namna ambayo analiongoza Taifa letu pendwa la Tanzania. Amepata...
  18. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kushuhudia utiaji wa saini wa Mkataba SGR

    Mkataba wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha kilomita 368 kutoka Makutupora hadi Tabora utatiwa saini leo Ikulu huku rais Samia akishuhudia Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hongera Baba Askofu Shao wa Kanisa Katoliki Zanzibar

    Kiongozi wa dini ni kiungo cha jamii. Hapaswi kuwa mrengo wa kulia au kushoto (katika kujenga jamii moja). Hivyo ni muhimu mno kwa kiongozi wa dini atumie vema ulimi wake ili mwisho wa siku utoe matunda ya umoja, amani, utulivu, usalama na upendo katika jamii. Ndivyo alivyofanya Baba Askofu...
  20. Mtondoli

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia Suluhu Hassan tunaanza kuiona Paradiso, angalia usihangaike na vipofu wasioona

    Mimi ni muumini wa viongozi Bora na sio watawala Bora. Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha yeye nikiongozi na sio mtawala, tulichelewe sana kumuona huyu mama, zamani nilikuwa mgumu wa kuamini kwamba mwanamke anaweza kuwa shupavu kama huyu Huyu ni bingwa wa diplomasia na ukiangalia hasa moyo...
Back
Top Bottom